Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Bavaria
Katika comments zako za nyuma, ulipata kusema umekuwa ukitumia FNB (Bank) katika trading.
Concern yangu ni kwamba; wakati nafanya deposit kwa broker, akaniambia VISA card yangu haiko 3D secured, hivyo napaswa ku-authorise kwa kuweka exactly amount ambayo deducted from my account.
FNB bado hawako na 3D secure ya kadi.
WEWE NA (WENGINE WENYE UZOEFU) ULITUMIA NJIA GANI?
Contact your nearest FNB branch.
Nadhani sijakuelewa..
 
f54b5fadf900cf2718148dd2a38bd884.jpg


Nawaza kama hii ingekua real Ac,, haka ni kamchezo ka masaa machache tuu.! Wakuu tukomae mambo yanawezekana sana..!
 
Tangu jana nipo ado ado napitia comments za waungwana..... picha inakuja vizuri sana.
 
f54b5fadf900cf2718148dd2a38bd884.jpg


Nawaza kama hii ingekua real Ac,, haka ni kamchezo ka masaa machache tuu.! Wakuu tukomae mambo yanawezekana sana..!

In real account haishauriwi kucheza ulivyocheza. Hiyo size ni kubwa sana kuichezea. Na pros hawachezi kwa namna ulivyocheza hapo.
 
Duh! kamanda umenifungua macho sana kwenye issue ambayo nilikua naifanya kwa wasiwasi ila kwa huu uzi nimepata confidence vibaya mzee; kwa sababu ya ubize kidogo nitaielezea baadae kidogo ni ishu gani ili member wengine wapate kuijua pia. Salute ontario
 
Oooh! inakua na madhara gani mkuu.!

Inashauriwa kuweka rehani only 1% ya fund yako. Otherwise losing disaster will be catastrophic kama trade haitoenda upande wako even for few pips.
 
Wana EURO mnaionaje? Naona inanipaisha. Nilikuwa nasoma Wall Street Journal la leo linasema Euro ina rebound.
 
Salaams wadau hivi kuna group la whatsapp?kama lipo naomba na mimi niunganishwe humo my no. 0718905491
 
Wana EURO mnaionaje? Naona inanipaisha. Nilikuwa nasoma Wall Street Journal la leo linasema Euro ina rebound.



Mkuu ebu tupia hyo link ya Wall street journal na sisi tuwe tunafaidi uhondo...si unajua.Mkuu wengine ni wageni Kabisa kwenye hzi ishu...kama hutojali lkn...

Asante
 
Mkuu ebu tupia hyo link ya Wall street journal na sisi tuwe tunafaidi uhondo...si unajua.Mkuu wengine ni wageni Kabisa kwenye hzi ishu...kama hutojali lkn...

Asante
WSJ/ FT wanoko wanalipisha content za articles zao. Lakini hizi habari zipo zimejaa mtandaoni.

PDF la Wall Street Journal linapatikana kila siku kwenye torrent sites, angalau la siku iliyopita.

Financial Times wana habari kama hiyo hapo chini. Hizi habari zinabadilika by the minute kwa hiyo za kuambiwa changanya na zako, ilahiyo ndiyo trend kubwa.

Sasa hivi nina positions EURO/USD na EURO/JPY

Strategy yangu ni kutafuta slow but sure growth ya $300 -$500 kwa siku badala ya kutafuta high risk growth ya > $5000 ambayo mara nyingine inaliza kama markets zikikataa.

http%3A%2F%2Fwww.ft.com%2Ffastft%2Ffiles%2F2017%2F06%2F20170728-euro.png




YESTERDAY by: Hudson Lockett

The euro has kicked off the European trading day with further consolidation of Tuesday’s gains on the greenback, sparked by European Central Bank chief Mario Draghi’s startlingly upbeat view on the inflation outlook. Citi notes: Draghi’s speech yesterday was important. Inflation is reportedly held back by only temporary factors. Growth will resolve inflation. Policy gets more accommodative as the recovery continues. That means a policy recalibration and exit. ING, meanwhile, urges a little calm: Investors should not get carried away; the implicit reference to removing accommodation in line with changes in the neutral rate suggests a very slow normalisation process. The euro moving beyond $1.14-$1.15 could be seen as an overshoot. After a relatively quiet Asia session the single currency was up 0.2 per cent as trading got underway in London and Brussels at $1.1361. The euro strengthened 1.4 per cent against the dollar on Tuesday to a 10-month high. The euro was also up 0.2 per cent against the pound at £0.88645 after closing 0.7 per cent higher on Tuesday. Sterling was basically flat against the dollar on Wednesday at $1.2817 following a rise of 0.7 per cent in the previous session. The dollar index tracking the greenback against a basket of peers was off 0.1 per cent at 96.306.

Copyright The Financial Times Limited 2017. All rights reserved.
 
EUR/USD ikishuka chini ya 1.1400 katika masaa mawili nakula mpaka $9975 (kutegemea na soko), ikiwa juu ya 1.1400 naliwa $25 kwa position hii. Highly unlikely given the trend.

Not a bad bet,just in case something tanks unceremoniously.

Especially because, during the last minutes, if the market does not tank and people have not taken my position, I can withdraw and not lose even the $25.

Meanwhile kuna positions nyingine nimeweka EUR/USD ikiwa juu ya 1.1400 katika masaa mawili nakula mpaka $2,000.

Nimekaba kotekote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom