Mkuu umedeposit na bank ganifew hours of scalping,hii ni real acc nimeanza leo bandugu.
msaada wako mkuu,nimefungua demo account kupitia XM na nikapata ID no ila kila nikijaribu kulog in inashindikana,naomba kujua sehemu nyingine ambayo naweza kufungua demo account bila usumbufu...nataka ni practice niliyokwisha yasoma.Kwa beginer sishauri zaidi kutrade NEWS. Sio salama kwasababu huwezi jua market movers wana digest vipi hizo news.
Wadau XM na JPM market wapi wazuri??m
msaada wako mkuu,nimefungua demo account kupitia XM na nikapata ID no ila kila nikijaribu kulog in inashindikana,naomba kujua sehemu nyingine ambayo naweza kufungua demo account bila usumbufu...nataka ni practice niliyokwisha yasoma.
Eco bankMkuu umedeposit na bank gani
Hata kapicha chief....EUR/USD ikishuka chini ya 1.1400 katika masaa mawili nakula mpaka $9975 (kutegemea na soko), ikiwa juu ya 1.1400 naliwa $25 kwa position hii. Highly unlikely given the trend.
Not a bad bet,just in case something tanks unceremoniously.
Especially because, during the last minutes, if the market does not tank and people have not taken my position, I can withdraw and not lose even the $25.
Meanwhile kuna positions nyingine nimeweka EUR/USD ikiwa juu ya 1.1400 katika masaa mawili nakula mpaka $2,000.
Nimekaba kotekote.
kweli ndugu tuna kitu fulani huku uswahilini kwetu tunaita "KIMUHEMUHE" teh tehMkuu ONTARIO umekua kimya kidgo, we are waiting for ur update brother.
m
msaada wako mkuu,nimefungua demo account kupitia XM na nikapata ID no ila kila nikijaribu kulog in inashindikana,naomba kujua sehemu nyingine ambayo naweza kufungua demo account bila usumbufu...nataka ni practice niliyokwisha yasoma.
View attachment 532904
Analyisis yangu kwenye EUR/JPY 15min chart inanionyesha Falling wedges pattern. Nitabuy trend yangu ikibreak upper line kwenye green arrow, Stop loss yangu itakuwa chini ya hiyo candle itakayobreak kwenye green arrow, na take profit yangu itakuwa sawa na distance ya blue dots. Niko sahihi bosses Bavaria na ONTARIO ?
Aisee hii trend line uliyoichora sidhani kama ipo perfect sababu imepita katika point chache na kuacha many colinear points ambazo zinaunganishwa na kupitiwa na trend line kwa wingi kuliko ulivyoichora wewe
Pia, na sijui uliichorea katika time frame gani hiyo line. Ila 15 minutes time frame is not suitable kuifanyia analysis na kurely final result kupitia 15 minutes analysis kwa sababu kunakuwa na noisy moves nyingi. Kupata final na clear picture ni vyema ukarely katika top downanalysis price action. Kama ni short term trade anza weekly anaysis, then daily, H4, H1.
Hivyo ni kwa jinsi nilivyosoma, kama kuna marekebisho our masters will hint em out.
CC:Ontario, Bavaria.
Noted, ila kuna video niliangalia wanasema inatakiwa i touch at least mara tatu kwenye upper line na lower line kabla ya kubreak. na naona inaelekea kutimiza hiyo condition. ila ntatrade iwapo tu kama ita retest upper line.