Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Aingie kny chat box ya hao XM kisha awaombe wamtumia hilo file lao la demo acc through email au hapohapo kny chat box huyo utakayekuwa una chat naye atakutumia url hapo hiyo demo itafanya kazi...ukipokea file kutoka Google search huwa yanakuwa na shida hiyo kwa baadhi ya brokers
 
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dadadeki ndoto no ehida sana
 
Hata kapicha chief....
Kapicha hakahapa

GBPUSD FX Cross Rate - compare foreign exchange rates – FT.com

Zaidi ya hapo Magufuli anaweza kudai kodi halafu ikawa tabu.


Jana options za mchana nimekula, za kufunga saa tano usiku nimeliwa, nikakataa kushindwa, nikataka ku revenge kwa adabu.

Nimeweka USD 450 kwenye GBP/USD kuamka asubuhi nimekuta zime double karibu $ 900.

Naendeleza libeneke.Nusu naziacha, nusu nazirudisha katika mzunguko. Weekend inaanza vizuri.

Na sasa bado napiga GBP/USD kwenye binary option.

Au vipi?
 
Umetisha mkuu
 
Mwenye uelewa wa hii forex.com naomba msaada kuhusu hii graph , nimeweka mzigo lakin sion kama kuna mwisho wake. Nimeshazoea IQOption 30s.
 

Attachments

  • forex.jpg
    91.2 KB · Views: 63
$1457 profit on 3 hours work option trading GBP/USD on NADEX ( www.nadex.com).

The Pound has been good today.

Closed the trade at 93% to protect gains.One has to know where to enter and where to exit.Being too greedy can cause the gains to backslide.

Not a bad days work.

I do not want to jinx it. This weekend is starting well.

Have a good weekend y'all.
 
Bado uko DEMO AC
 
Damn. Profits looks too seductive. Let me finish with forex first! [emoji3]
 
Nadex mbona kama ni binary option mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…