Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu broker wako ungemuweka wazi maana wewe pia ni mentor kwetu nadhani ni kweli kila mtu anahitaji kujua broker yupi ila kwa mwanzo hata kwa kutushauri tu broker inakua bora

(mimi demo yangu namtumia JPM ambae kaninyima option nyingi za kutrade demo)
 
Katika analysis naona kama pair ya EUR/USD wiki inayoanza(kesho) itaanza na bullish japokuwa itakuwa inapanda slow slow...
Au mnaonaje wadau?
nimeangali chart ilivyo naona consolidation kama ya wiki moja na zaidi wmisho naona kuna bulish doji candle stick, labda hyo inawez support point yako
 
Reactions: MC7
Euro imeamkaa na hasiraaa duhhh Mpk naogopaa... hatar nipo strong vibaya
 

Daily Fx are the best boss.
Ichimoku Kinko Hyo.
 
Jamaniii namm naombeni msahada Kama yupo wadodoma na anafahamu kuhusu hiii biashara naomba anisaidie kujuwa vzur namba yangu 0659507298 na 0673616687
 
halafu mmejipanga namna gani kuhusu transalation khs ufundishaji..hicho kitabu ntakipataje?
 
Mkuu angalau we unauelewa waweza nisaidia...kufungua demo acc n rahisi ila shida ni kumpata broker wa kufungua real acc na uweze kujisajili ili uweze kudeposit!!....Ebu nisaidie jinsi ya kupata real broker kwa ajil ya really acc
 
Nimepitia baadhi ya vitabu vilivyowekwa humu kwny thread naomba mnielekeze what's next?!!
 
Daaah hao maprofesor wanaweza kupata nafasi ya upendeleo wakatuzibia nafasi zetu sasa [emoji2] [emoji2] [emoji2] kama alivokwambia uliziba nafasi za watu basi naomba na ww usiruhusu azibe nafasi za watu(jokin)
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…