Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu broker wako ungemuweka wazi maana wewe pia ni mentor kwetu nadhani ni kweli kila mtu anahitaji kujua broker yupi ila kwa mwanzo hata kwa kutushauri tu broker inakua boraHapo ndio kuna utofauti kati ya broker na broker, among other things lazima uangalie services ambazo broker wako Anakupa. Mfano, mimi broker wangu wa sasa ambae nimefunga nae ndoa ya madhabahuni ananipa karibu kila kitu kama US equities mfano Apple, Amazon, Bank of America, America express, BlackBerry, Chevron, FedEx, IBM, mastercard, Netflix, Nike, Vodafone, Verison, Walmart, Qualcomm, Visa, Pepsi, Coke, Yahoo, ExxonMobil, Microsoft, Goldman Sachs, Ebay, FB, Google, Chevron, JP Morgan nk nk. Ananipa CDF index (.DXA), Future CDF kama copper na silver, Ananipa Indices za NASDAC na S&P500 hata UK500, yani options ni nyingi nyingi - kama currencies zinazokuja kwa kasi mfn USDZAR na USDMXN.
Pia kitu cha kuangalia zaidi ni spreads, unahitaji broker mwenye spread nyembamba sana kitu ambacho ni kigumu sana kukipata kutoka kwa ECN. mfn mimi broker wangu nikitrade OIL nahitaji pips 2 tu kua in deep [emoji838] . Afu nilikuja kugundua XM ni broker mmoja muhuni sana, japo siwezi kusema ni mbaya sana. Saa zingine anaweza akadelay kufungua/kufunga potision yako hivyo akakupunguzia faida ama akakuongezea hasara. Kuna siku zingine (ijumaa) broker anafunga platform ht kabla muda haujafika.
But all in all - skills and trading psychology ndio vinamatter. Ukiwa na hivyo hii game unakua unatereza tu bila kujali factors zingine zilizo nje ya uwezo wako.
![]()
hata mimi nakumbuka na ku na hadi kapicha flani cha JPMKama sikosei alishasema kwenye post za nyuma kuwa anamtumia jpmarket wa sauzi afrika
nimeangali chart ilivyo naona consolidation kama ya wiki moja na zaidi wmisho naona kuna bulish doji candle stick, labda hyo inawez support point yakoKatika analysis naona kama pair ya EUR/USD wiki inayoanza(kesho) itaanza na bullish japokuwa itakuwa inapanda slow slow...
Au mnaonaje wadau?
Asante Mkuu. Nimeisave namba. Nitakucheki tuanzishe group la kuwa tunakutana angalau mara 2 kwa WikiBrothers, miongoni mwetu kama kuna mtu hapa mwanza yuko interested na hii kitu, tuwasiliane kwa namba 0767 088 854
Je unatumia fundamental analysis katika ku-trade?
Ni ukweli usiopingika kwamba technical analysis ni muhimu sana ila hamna namna utafanya forex trading bila kuitumia fundamental analysis!
In brief!
Fundamental analysis. Hii inatumika sana kuweza ku-project trend ya soko kwa kuangalia matukio yanayotokea kwenye nchi za wenzetu (western countries)! Tukio linaweza tokea likawa na madhara hasi au chanya kwenye shilingi ya nchi husika au kanda fulani! mfano mzuri, wiki iliyoisha tumeona jinsi euro ilivyopaa na jinsi dola ilivyoshuka!
Kama hiyo haitoshi pia tuliona jinsi oil (crude oil) ilivyopaa na kufika 48-49 dola kwa tank pia tuliona jinsi gold ilivyoshuka thamani!! Sasa haya yote yalitokea baada ya matukio flani yaliyotokea huko kwa wenzetu!!
Techinical analysis. Hii tunatumia zaidi bei iliyopo kuweza kutabiri muenendo wa soko katika kipindi flani either dakika, dakika tano, lisaa, wiki au mwenzi! hapa utakutana na njia kama fibonacci, moving averages na nyingine kama hizo!!
Lakini techinical analysis pekee haitoshi kuna muda inatupasa sisi kama wafanya biashara wa fedha za kigeni au bidhaa za kigeni kuwa na uelewa wa matukio yanayotokea kwa wenzetu mfano hotuba za wakuu wa benki, chaguzi za nchi mbali mbali na mengine ambayo kwa namna moja au nyingine yanaweza ku-influence mwenendo wa soko au mwenendo wa shilingi ya nchi husika!!
Je ili unaweza kutumia vyanzo gani ili uweze kupata habari za matukio kwa ajili ya fundamental analysis?? Binafsi nimekua nikizitumia hizi...
Daily FX. Wanakupa kila tukio, zaidi ya yote wanatoa elimu hasa katika forex!
Link: Forex Trading News & Analysis
Investing.com Hawana tofauti sana na daily fx. Wao wana app yao pia
Link: Investing.com - Stock Market Quotes & Financial News
Bloomberg. Hawa sijawatumia ila wanaonekana wako bora sana!
Link: Bloomberg - Africa Edition
Swali je, Euro itaendelea kupaa wiki ijayo? je oil itaendelea kupaa wiki ijayo? je dola ya marekani itaendelea kupitia wakati mgumu wiki ijayo?
Pamoja na kufanya technical analysis sio vibaya tukawa tunaangalia pia analysis zetu katika fundamental analysis!!
Je wewe unatumia vyanzo gani vya habari katika fundamental analysis??
Lodrick Thomas (Eng.)
Mkuu angalau we unauelewa waweza nisaidia...kufungua demo acc n rahisi ila shida ni kumpata broker wa kufungua real acc na uweze kujisajili ili uweze kudeposit!!....Ebu nisaidie jinsi ya kupata real broker kwa ajil ya really accNi lazima ujue hili....japo sio famous kama mt4 ila mt5 ina features zote za mt4 plus hizo gold na oil!! So its all up to u mkuu!!
Japo lazima ujue pia...
Kama unatumia broker ambaye ha support mt5 then hutaweza itumia!!
Kama umefungua account inayobase kwenye mt4 tu pia hutaweza tumia mt5!!
Ila kama unatumia demo its simple...download mt5 then fungua demo mpya!!
Karibu!
Something like thatnimeangali chart ilivyo naona consolidation kama ya wiki moja na zaidi wmisho naona kuna bulish doji candle stick, labda hyo inawez support point yako
nimesoma baadhi ya taarifa za kibenki, kauli za viongozi, na mienendo ya hizi hela kwa ujumlaSijaelwewa umefanyaje hyo analysis
Daaah hao maprofesor wanaweza kupata nafasi ya upendeleo wakatuzibia nafasi zetu sasa [emoji2] [emoji2] [emoji2] kama alivokwambia uliziba nafasi za watu basi naomba na ww usiruhusu azibe nafasi za watu(jokin)Weekend bhana, leo nimefurahi sana
Unajua bana mimi chuo nilisoma BSc. Petroleum Chemistry hapo UDSM, basically hii ni sayansi inayohusika na refinery ya gas na mafuta. Yani crude gas and oil tunazibadili kua final usable products kama LPG, CNG, Ammonia, ammonium fertiliser, mambo ya diesel, jet fuel, gasoline nk nk. Hapo chuo tulikua wachache watu kama 21 hivi, so Prof ni rahisi kujua darasa zima.
Sasa tulikua na Prof mmoja, alikua kama mama'etu. Yani kwenye pindi lake alikua anatuPump vby mno na kututamanisha kuhusu hii field yetu, kua kuna pesa vby mno, site kuna marupurupu, incentives, mishahara ya kibabe... Basi kila akiwa anakuja pindi watu wanatamani kumsikiliza yule mama, anafundisha kidogo anaruka kwenye mambo ya site, michongo na madili ya gas na mafuta... yani hapo sisi tunakua tunahamasika vby mno, yani tukampendaga bure yule mama. Akawa kama rafiki yetu, akawa academic advisor wa karibia sisi wote... yani she was more than a friend.
Leo bana kuanzia saa 5 asubuhi nilikua Golden Tulip na mtu wangu wa faida. Tumekaa pale, tumezungumza sana, tukala lunch na kila kitu. Mchana mida ya saa 8.30 akaja huyu Prof wangu wa chuo, nikamuona ila yeye hakuniona. Akawasha PC yake akaagiza kinywaji, akaendelea na shughuli zake, baadae kidogo akaja mwenzie ambae ni km mzungu wakaagiza misosi wakawa wanakula.
Mimi nikamshtua muhudumu, nikamwambia yule mama pale nipo nae, so anipe bill yake. Bill ikaletwa nikailipia... Baadae Prof anataka kulipa ndio anaambiwa tyr bill yao imeshalipwa, kucheki ni mimi... Dah basi tukaanza pale story baada ya story.
Madam ananiuliza vipi bana unafanya kazi wapi?? Nikamwambia bado sijaajiriwa Prof, akashangaa sasa imekuaje unaweza kuja huku na kutumbua pesa. Akawa ananilaumu nimesoma Petroleum bure, bora ningesoma hata education hiyo mambo niwaachie watu wengine - kwamba niliwazibia watu wengine nafasi. Ndio nikamweleza kua kusoma petroleum kumenisaidia kuweza kua na uelewa mpana wa OIL hata sasa naweza kutrade OIL professionally. Nikaanza kumwambia mambo ya Spot Crude oil (USOIL.sp), Spot Brent Oil (UKOIL.sp), July Crude Oil (USOIL), July Brent Oil (UKOIL). Prof akabaki anatumbua macho - yani nimempoteza haelewi kitu.
Prof wangu nikaanza kumkamulia pindi pale - prof akawa anatikisa tu kichwa. Nikamwonesha trading platform yangu, yani ndio nikamchanganya kabisa - alivyoona figures ndio akachanganyikiwa kbs tena zikiwa ktk international currencies - yani 1/3 ya mshahara wake wa mwezi mimi naupata in few trading hoursEdited: screen shot nilivyoTrade OIL ijumaa pekee![]()
Yani Prof kawa very inspired, anatamani classes zianze hata leo... kachukua namba zng za simu kanitumia text za kutosha kua nisimsahau. Hahahaaa!!
Demo account!Nimepitia baadhi ya vitabu vilivyowekwa humu kwny thread naomba mnielekeze what's next?!!
Dah mkuu ina maana hivo vitabu ulivosoma hakuna sehemu walipoelezea jinsi ya kufungua demo accs?...Naipataje hiyo demo account?!!