Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hivi nani ametengeneza ata $100 tangu muanze shabikia forex trading? Dahaa! Amakweli! Kweli Magufuli kabana wizi holelaholela watu wanakimbili kwenye Forex!


Wewe bata utarudi hapa kuomba msamaha, afu kutuita watu wezi mama yako ndio mwizi na baba yako ndio tapeli, fala wewe... Acha tuanze, we all know forex is not an easy game, but we will get it done. Acha tuanze, results will speak not words. I spend few hours kuingiza pesa unayoingiza kwa mwaka. Convert $1,800 to Tsh rate ni 2235. Tulikubaliana tupeane muda, batch ya kwanza ikianza naomba unipe miezi mitatu...
 
Pole na mishuhuliko Mkuu.. Naamini watu wakaribu hapo watjitokezay.. Pamoja tunaweza"
 
with due to respect naomba uniwekee batch namba moja tafadhali hao wasaga sumu hata kwetu wapo...
 
Mkuu tunafahamu ni jinsi gani unavyopata hasira unavyo fight kwaajili ya vijana wenzako lakini wachache wanakuja na vi maneno vyao vya kanga.
mkuu watu kama hawa achana nao wasikutoe kwenye line.. Muda utawajibu.. Tulio na imani na hii kitu ni wengi kuliko hawa wanao bwabwaja nonsense..
 
Naomba usipoteze muda kjibu hoja za wapuuzi kama hawa hawataki maendeleo yetu muda utawajibu
kuna binadamu umaskin wako ni furaha kwao
na kumuona mwenzao anafanikiwa kwao ni sumu
 


Naona umeopen position kwa size ya pros.
 
with due to respect naomba uniwekee batch namba moja tafadhali hao wasaga sumu hata kwetu wapo...

Unaendelea na kusoma vitabu vilivyoorodheshwa humu lakini..? If not chukua vitabu uendelee kutoa tongotongo vilivyokuwa recomended uendelee kutoa tongotongo.
 

how about volume ya mzigo.? unaweza tosha katika gari ya aina gani.? Canter, Carry/Kirikuu, Pickup.? ungespecify hili ingewarahisishia watoa msaada.
 
kuna binadamu umaskin wako ni furaha kwao
na kumuona mwenzao anafanikiwa kwao ni sumu
Ujue mtu kama huyu ukimsoma kwa haraka haraka.. Inaonyesha kama hii ishu anaijua vema.. Hapa kinachompeleka ni wivu kwann na hawa wajue.. Anachofanya ni kujaribu kucansel watu..
Ila ni mwambie tuu huwezi izuia ridhiki ya mtu inakuja popote na kwa muda wowote.. Ye apambane kivyake na wengine tutapambana kivyetu.. God with us
 
absolutely true...

huyu anaona na sisi tutatoka
kumbe riziki mafungu sabaa
 
Umewaza na mm nilikokuwa nawaza, Watz wengi tunaroho mbaya! Ndio maana hatufanikiwi.

Kaka acha roho mbaya, hata hela zikipotea ni zetu tumeamua
 
absolutely true...

huyu anaona na sisi tutatoka
kumbe riziki mafungu sabaa
Umeonaeeh
Hataki watu wakimbilie anadhani itajaa.
Hivi nani ametengeneza ata $100 tangu muanze shabikia forex trading? Dahaa! Amakweli! Kweli Magufuli kabana wizi holelaholela watu wanakimbili kwenye Forex!
Umewaza na mm nilikokuwa nawaza, Watz wengi tunaroho mbaya! Ndio maana hatufanikiwi.

Kaka acha roho mbaya, hata hela zikipotea ni zetu tumeamua
Ndivyo binadamu tulivyo mkuu, Muhimu ni kujua hatupo sawa hivyo tuishi kwa kukubaliana na tabia na hali zetu. Huku kila mtu akili kichwani kwake
 
Pliz Ontario the big boss,your smart upstairs more than most of us,lakin naomba nkukumbushe vitu viwili
1.you are bigger than you think,you got million dollar worth of word hutakiwi kumjibu mtu kama mberoya,hold ur temper boss u let me down
2.try to not to prove wrong watu kama kina mberoya hao ni ma k...ma tu,acha muda uongee.
3,fanyia Kaz hayo over n over mkuu for the future,kina mberoya ni upepo tu wa ufukwen hauwez kuangusha mnaz
Ni hayo tu boss!!!!!
Waiting for the class anxiously
 
hapa ni book na mtaji nikianza forex real na nikafanikiwa hata nikifeli nitakua mwalimu wa wenzagu hapa ni demo na book
 
Reactions: MC7
Ok mkuu tumeona tumeelewa tumefunguka akili pia kwa hiyo article ime add some things na tutafanyia kazi... Kwa niaba ya wote niseme asante sana.
Welldone! Now you learning in the right way with humility and obedience, without throwing insults to people you don't know. Asante sana dogo!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…