ONTARIO
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 1,884
- 17,096
- Thread starter
- #4,861
Hivi nani ametengeneza ata $100 tangu muanze shabikia forex trading? Dahaa! Amakweli! Kweli Magufuli kabana wizi holelaholela watu wanakimbili kwenye Forex!
Wewe bata utarudi hapa kuomba msamaha, afu kutuita watu wezi mama yako ndio mwizi na baba yako ndio tapeli, fala wewe... Acha tuanze, we all know forex is not an easy game, but we will get it done. Acha tuanze, results will speak not words. I spend few hours kuingiza pesa unayoingiza kwa mwaka. Convert $1,800 to Tsh rate ni 2235. Tulikubaliana tupeane muda, batch ya kwanza ikianza naomba unipe miezi mitatu...