Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nipo nkaza vitabu na video you tube brother Ontario I'm in ur first class
 
If you want to know how Tanzanian are, find an idea then introduce to them after one week every one is a master of your idea, even if they don't improve it and understand it, they will tell you that it's possible.

Ontario asante baadaa ya kuintroduce hii kituu kila mtu mwalimu saivi,kuna group nilijoin bhanaaa limeandikwa faidika na forex najua kuna member wengine umuu so huwa wanaadd watu sanaaaa hata kama hawamjui what's going on there baadae wanaingia you tube na magroup mengine wanatuma picha kwamba leo market ilikua nzuriii bhanaaa kumbe ni kukopi na kupest from Ontario chart na kutoka kwenye demo za watu wengine, leo mwewe anasema hizo mambo acheni haiwaongezei maarifaa ila mnapoteza pesa muda WENU bureee. Ninauhakika 99% of all people waliongia rasmi kutrade real account and demo account bado hawaelewi where to buy and where to sell.

Kama unatumia muda wako kujua movement ya market ikojee everyday your coming to be like our master Ontario kuliko makisio yanayo fanywa na wengi bila kujua.

Jamaa anakwambia market imesupeculate how, pips of this day how. Kuweni wapole jifunzeni siyo kuwadanganya watuu kiivo.

Jiulize kablaa mkuu Ontario hajaiweka live hii kituu who knows it kwa wabongo wengi na wengine tunao jua kutumia mitandao vizuri.

Hao wanaojiita walimu walikuwa wapii muda wotee wajee kuibukaa saivi. Mungu anawaona trust in this man Ontario ni ushauri wangu tuu kwa wanao endelea na tizi endeleeni kujifunza sana

Walimu wengi bila faidaa ni bora kuwa na mwalimu mumoja wa faidaa.

Jioni njemaaa learn without stopping.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Good, unatumia broker gani?
 
Jamani anae wafahamu AVATRADE vizuri anisaidie coz naona kila Niki trade nikilala nikiamka na kuta mtonyo wakutosha.nashawishika kufungua real account. Anae wafaham vizuri aniambie sio matapeli?

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_2017-07-10-20-33-45.png
    16.8 KB · Views: 74
Watu wanapiga hela jamani... Kikubwa ni kusoma kwa bidii bila kukata tamaa!!! View attachment 539181
Kaka hiki unachofanya is not practical when you come to trade with real account. Lot size ya 12 hiyo hata professional traders hawafanyi sembuse wewe biginner[emoji15] [emoji15]

Punguza account yako hadi say $300 halafu anza kuzipandisha, hayo maluelue ya sijui $1,000+ yatakuwa ndoto. Ukiona umezipandisha hadi angalau $600 wewe ni mwanaume. Maana kwa lot size zako ambazo ni impractical kabisa ndo maana just a few pips in your favour bring you huge $ amounts.
Ukishusha account yako hadi 300, hizo 4 pips will bring you say 0.3 $. Kwani lot size utakazotumia will not go to 12 na hivyo profit yake inaweza kuwa ndogo.

Ni risk kubwa kutumia lot size kubwa kwani the bigger the lot size, the huge the loss or profit and vice versa.

Lakini ni hatua nzuri kwa kuanzia. pamoja tunaendelea kujifunza.


Sent from my CUBOT CHEETAH 2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hiyo ni trade ya pro trader tena ni real acc sio demo.... Huyo sio mimi
 
Nimefungua group whatsapp for forex Trading info,kwa ambao hawajui chochote na wale wanaojua ili tuweze kueleweshana, link [emoji117] Forex Trade

Sent from my D2303 using JamiiForums mobile app
 
Hii game ukimuwin broker...baasi

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app

Ukimuwin broker kivipi.? Broker anahusikaje katika mafanikio yako ya kufanikiwa katika biashara ya forex.?

Kwa maana broker ni kwamba anakupa platfoam tuu ya wewe kuingia sokoni, na si yeye anayepanga price ya how currency should react on each other. Kinachoamua how certain currency ireact against currency nyingine ni nguvu ya supply and demand.

Supply na demand ndo vinavyoamua namna soko linavyotakiwa kuwa, na namna curency pair zitakavyoreact. Hakuna broker anayepanga soko kama vile gambling house wanavyopanga odds.
 
Zile kejeli na dharau ulizoanza kuja nazo katika huu uzi umeziacha wapi.?
Ahah mkuu ujue watanzania wengi wanaumwa magonjwa ya akili ila hawajitambui naamini huyo jamaa ni mmojawapo

Sent from my BEGIN 101 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…