Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good, unatumia broker gani?Ndo maana demo account yangu nimeishusha mpaka $190, kisha natakaniipandishe nione kama nitatusua.
Nimeangalia pips ambazo ametengeneza ni chache around 6 ambazo zimeleta profit inayoonekana kubwa kwa sababu ya kutumia lot size kubwa. So ukiishusha account yako mpaka at least $ 200 utaona jinsi ilivyoshida kuipandisha maana hizo pips 6 unakuta huku inasoma kama $0.4, kama ukufanya analysis vzr unashangaa ghafla kitu kinaanza kuwa negative.
Ninatrade zinarun hapa moja nimetumia lot size 0.05 account ikiwa na just $123 nimeshatengeneza pips 20+ but profit inayosoma hapa it is just $12+ ambapo kama account ingekuwa na $3,000 ingekuwa profit sahizi inasoma $200+ for just one position.
Kama walivyoshauri wengine tupunguze account zetu to at least $300 na maximum leverage isiwe kubwa just 1:50 to me is more than enough, kisha pandisha na ukiona umeifikisha at least $600 we mwanaume. That's why wanasema look for pips and not $. Ukiangalia fedha na sio pips utashangaa kwenye real kwa kuwa account size yako ni ndogo, utaambulia just 0.5$ or 1$ kwa pips zilezile zilizokuletea say $90 kwenye virtual account size kubwa.
See my currently running positions
![]()
Mkuu namtumia JP Market but it is still demo accountGood, unatumia broker gani?
Nikupe wewe kama nani?Akimbilie wapi? Na brokers wanaoeleweka ni nani hao? Tupe list yao!
Wacha uchoyo babuu! Toa hizo list za mabroker wa ukweli wanauzi wanaitaji.Nikupe wewe kama nani?
Jamaa anascalp hadi raha, pips 4 tu anaclose position, lot size ya tembo, ,Watu wanapiga hela jamani... Kikubwa ni kusoma kwa bidii bila kukata tamaa!!! View attachment 539181
Kaka hiki unachofanya is not practical when you come to trade with real account. Lot size ya 12 hiyo hata professional traders hawafanyi sembuse wewe biginner[emoji15] [emoji15]Watu wanapiga hela jamani... Kikubwa ni kusoma kwa bidii bila kukata tamaa!!! View attachment 539181
Mkuu hiyo ni trade ya pro trader tena ni real acc sio demo.... Huyo sio mimiKaka hiki unachofanya is not practical when you come to trade with real account. Lot size ya 12 hiyo hata professional traders hawafanyi sembuse wewe biginner[emoji15] [emoji15]
Punguza account yako hadi say $300 halafu anza kuzipandisha, hayo maluelue ya sijui $1,000+ yatakuwa ndoto. Ukiona umezipandisha hadi angalau $600 wewe ni mwanaume. Maana kwa lot size zako ambazo ni impractical kabisa ndo maana just a few pips in your favour bring you huge $ amounts.
Ukishusha account yako hadi 300, hizo 4 pips will bring you say 0.3 $. Kwani lot size utakazotumia will not go to 12 na hivyo profit yake inaweza kuwa ndogo.
Ni risk kubwa kutumia lot size kubwa kwani the bigger the lot size, the huge the loss or profit and vice versa.
Lakini ni hatua nzuri kwa kuanzia. pamoja tunaendelea kujifunza.
Sent from my CUBOT CHEETAH 2 using JamiiForums mobile app
Kwa maelezo yake aliiacha usiku mzima ameamka asubuhi anakuta kitu kimejibuJamaa anascalp hadi raha, pips 4 tu anaclose position, lot size ya tembo, ,
OK but don't try this at homeMkuu hiyo ni trade ya pro trader tena ni real acc sio demo.... Huyo sio mimi
Yeah kuna nyingine alihold, ila eur/jpy ya kwanza kachukua pips 4 tuMkuu hiyo ni trade ya pro trader tena ni real acc sio demo.... Huyo sio mimi
unatumia kwa leverage ya ngapi?Mkuu namtumia JP Market but it is still demo account
Sent from my CUBOT CHEETAH 2 using JamiiForums mobile app
Hii game ukimuwin broker...baasi
Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
Wacha uchoyo babuu! Toa hizo list za mabroker wa ukweli wanauzi wanaitaji.
Ahah mkuu ujue watanzania wengi wanaumwa magonjwa ya akili ila hawajitambui naamini huyo jamaa ni mmojawapoZile kejeli na dharau ulizoanza kuja nazo katika huu uzi umeziacha wapi.?