Kama hunywi bia saa hizi nenda kalale. Wacha kuwaza easy money ambayo hutopata kiraisi rahisi kwa signal. Oyeeeeeee!Naona unatafuta kiki tuu maana hata unachokiongea hukijui! In short swali halikuhusu wewe!
Post sent using JamiiForums mobile app
Jamani, nakushauri tu kwamba usipende kuingilia mambo yasiyokuhusu! Sijakuuliza wewe na wala sijakuomba ushauri, sio kwamba sitambui uwepo wako bali najua hapa sio mahala pako sahihi! Sitakujibu tena.Unataka signal kiraisi raisi? Hivyo unafikiri ma broker wapo kwa ajili ya kukunufaisha wewe kwa kukupa signal?Duh! wewe una mawazo ya ajabu sana.
Msema kweli mpenzi wa Mungu..Magufuli oyeeee!
Post sent using JamiiForums mobile app
Kula bia mpaka asubuhi au lala asubuhi nenda church. Unawaza sana pesa mjomba! Yaani hulali sababu ya FOREST trading? The love of money is the root of all injurious things. Hupo hapo?Jamani, nakushauri tu kwamba usipende kuingilia mambo yasiyokuhusu! Sijakuuliza wewe na wala sijakuomba ushauri, sio kwamba sitambui uwepo wako bali najua hapa sio mahala pako sahihi! Sitakujibu tena.
Post sent using JamiiForums mobile app
You are not focused and oriented to the topic!Unataka signal kiraisi raisi? Hivyo unafikiri ma broker wapo kwa ajili ya kukunufaisha wewe kwa kukupa signal?Duh! wewe una mawazo ya ajabu sana.
Msema kweli mpenzi wa Mungu..Magufuli oyeeee!
Post sent using JamiiForums mobile app
Yaani hujalala? Mjomba nenda kalale utakufa na lack of sleep. Shauri yako!You are not focused and oriented to the topic!
Naona unacheka cheka tuu, unabishana na kila mtu, yani upo upo tuu!
Sidhani kama utabadilisha chochote, we endelea na kelele zako ila mwisho wa siku hutaamini!
Post sent using JamiiForums mobile app
Soko LA fx ndio limepoa na limefanya kila MTU akapoa, so wahenga tumepoahii weekend imepoaje dah
Every successful person thinks about other people, impact unayoweka kwenye maisha ya watu is remarkable, kweli wewe ni MHENGA, Allah akupe maisha marefu WAHENGA tukufaidi.Weekend haijapoa, wewe ndio umepoa boss wangu. Something should always keep you busy sheikh wangu - all times, ht kama ni kula bata au kusoma gazette.
Mimi natumia leo na kesho kukagua my other real life businesses. Never ever depend on 1 source of income alisema Muhenga Warren Buffet (Mentor wa Bill Gate)
Wewe nimekustukia unaogopa forex sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]These stuffs are more tangible and real, could you please emphasise more on these mkuu.
Regards
[emoji115]Ontario, natamani uanzishe mpango wa kututumia signals kisha tuwe tunalipia!
Ni mwendo wa kusema uza/nunua
Post sent using JamiiForums mobile app
Jamaa unajua kukwepa swali, hebu lijibu braza atulie[emoji4] [emoji4]sio lazima kuwa forex tu,unaweza kuwa CDF au kuwa invester na kuweza kununua broker ukawekeza pesa na kuchezeshewa.hata kampuni zote ununua mabroker
Post sent using JamiiForums mobile app
Forest and timber trade, kweli bia tamuKula bia mpaka asubuhi au lala asubuhi nenda church. Unawaza sana pesa mjomba! Yaani hulali sababu ya FOREST trading? The love of money is the root of all injurious things. Hupo hapo?
Aisee kila nikiangalia hizi picha, napata hamasa natamani niitafune simu yangu, natamani nipige kelele kubwa la shangwe la kuwaamsha wahenga wote Wa mzizima wasome fxWeekend haijapoa, wewe ndio umepoa boss wangu. Something should always keep you busy sheikh wangu - all times, ht kama ni kula bata au kusoma gazette.
Mimi natumia leo na kesho kukagua my other real life businesses. Never ever depend on 1 source of income alisema Muhenga Warren Buffet (Mentor wa Bill Gate)
jamaa angu signal hazitakusaidia zpo kila kona wanatoa hzo vtuOntario, natamani uanzishe mpango wa kututumia signals kisha tuwe tunalipia!
Ni mwendo wa kusema uza/nunua
Post sent using JamiiForums mobile app
Hapana sijaogopa mkuu. You quote me wrong!Wewe nimekustukia unaogopa forex sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Post sent using JamiiForums mobile app
Nilichogundua una wivu wa chuki ya mafanikio yake na sasa umehamia kwenye chuki ktk mafanikio yake ktk kilimo, kisha naamini utaelekeza chuki zako kwa wale waliompa tuzo,kisha utarudi Forbes na media za kimataifa zinazothamini jitihada za kijana, na hautaishia hapo kwa sababu tatizo lako in mafanikio yake.Sasa Ontario mbona hatukuon ukiendesha tractor kulima? Wazungu wa SA, Zimbabwe, USA na Europe wanalima wenyewe siyo kutegemea maskini wawalimie! Wao wanalima, masikini/wafanyakazi wanavuna na kusort out mazao. Nyiye mmevamiamia mashamba ya masikini kwa visenti vyenu na kuwalipa peanuts wenyeji, alafu mnajiita wakulima!
Nyinyi ni wajasiliamali ambao mmezulumu land ya wenyeji masikini sababu ni wajanja mnajua fiddling around huko ardhi mkafanikiwa.
Kilio cha hao masikini uliowapiga picha ku show off kumefika mbinguni mjomba! Zurma zurma zurma.
Chaliii Sasa unanyeg* na sio wivu.Sasa Ontario mbona hatukuon ukiendesha tractor kulima? Wazungu wa SA, Zimbabwe, USA na Europe wanalima wenyewe siyo kutegemea maskini wawalimie! Wao wanalima, masikini/wafanyakazi wanavuna na kusort out mazao. Nyiye mmevamiamia mashamba ya masikini kwa visenti vyenu na kuwalipa peanuts wenyeji, alafu mnajiita wakulima!
Nyinyi ni wajasiliamali ambao mmezulumu land ya wenyeji masikini sababu ni wajanja mnajua fiddling around huko ardhi mkafanikiwa.
Kilio cha hao masikini uliowapiga picha ku show off kumefika mbinguni mjomba! Zurma zurma zurma.
Mbona unaleta disturbance watu wamelala saahizi! Kama nyiye hamulali usiku kucha sababu forex shauri yenu!Chaliii Sasa unanyeg* na sio wivu.
Post sent using JamiiForums mobile app
Last time ulisema hautarudi tena. Au ulikua unatudanganya??Mbona unaleta disturbance watu wamelala saahizi! Kama nyiye hamulali usiku kucha sababu forex shauri yenu!
Post sent using JamiiForums mobile app