Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Naona unatafuta kiki tuu maana hata unachokiongea hukijui! In short swali halikuhusu wewe!

Post sent using JamiiForums mobile app
Kama hunywi bia saa hizi nenda kalale. Wacha kuwaza easy money ambayo hutopata kiraisi rahisi kwa signal. Oyeeeeeee!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Unataka signal kiraisi raisi? Hivyo unafikiri ma broker wapo kwa ajili ya kukunufaisha wewe kwa kukupa signal?Duh! wewe una mawazo ya ajabu sana.
Msema kweli mpenzi wa Mungu..Magufuli oyeeee!

Post sent using JamiiForums mobile app
Jamani, nakushauri tu kwamba usipende kuingilia mambo yasiyokuhusu! Sijakuuliza wewe na wala sijakuomba ushauri, sio kwamba sitambui uwepo wako bali najua hapa sio mahala pako sahihi! Sitakujibu tena.

Kula bia mpaka asubuhi au lala asubuhi nenda church. Unawaza sana pesa mjomba! Yaani hulali sababu ya FOREST trading? The love of money is the root of all injurious things. Hupo hapo?
 
Unataka signal kiraisi raisi? Hivyo unafikiri ma broker wapo kwa ajili ya kukunufaisha wewe kwa kukupa signal?Duh! wewe una mawazo ya ajabu sana.
Msema kweli mpenzi wa Mungu..Magufuli oyeeee!

Post sent using JamiiForums mobile app
You are not focused and oriented to the topic!
Naona unacheka cheka tuu, unabishana na kila mtu, yani upo upo tuu!

Sidhani kama utabadilisha chochote, we endelea na kelele zako ila mwisho wa siku hutaamini!

Yaani hujalala? Mjomba nenda kalale utakufa na lack of sleep. Shauri yako!
 
Weekend haijapoa, wewe ndio umepoa boss wangu. Something should always keep you busy sheikh wangu - all times, ht kama ni kula bata au kusoma gazette.

Mimi natumia leo na kesho kukagua my other real life businesses. Never ever depend on 1 source of income alisema Muhenga Warren Buffet (Mentor wa Bill Gate)
c8a67a5a2c50cdc06a7033937972a935.jpg

45aa600136066f80335238badbe0c9b4.jpg

82855f7c463e7c04a0a61cc159da22c0.jpg
e7632df4a18c8e17a6e6a237b4d7e709.jpg
f31fed31cc9665c51673ccf9c61e331e.jpg

72287e0ab406c2ce28820bf0c2f0058a.jpg
cc3ae991adfc556b5bbdedd59329a2f4.jpg
Every successful person thinks about other people, impact unayoweka kwenye maisha ya watu is remarkable, kweli wewe ni MHENGA, Allah akupe maisha marefu WAHENGA tukufaidi.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ontario, natamani uanzishe mpango wa kututumia signals kisha tuwe tunalipia!
Ni mwendo wa kusema uza/nunua

Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji115]

Hayo maswali ndiyo kuwa focused and oriented to the topic? Mjomba wacha kukeshea njaa usiku kucha, utakufa kwa ukosewa wa usingizi!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
sio lazima kuwa forex tu,unaweza kuwa CDF au kuwa invester na kuweza kununua broker ukawekeza pesa na kuchezeshewa.hata kampuni zote ununua mabroker

Post sent using JamiiForums mobile app
Jamaa unajua kukwepa swali, hebu lijibu braza atulie[emoji4] [emoji4]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kula bia mpaka asubuhi au lala asubuhi nenda church. Unawaza sana pesa mjomba! Yaani hulali sababu ya FOREST trading? The love of money is the root of all injurious things. Hupo hapo?
Forest and timber trade, kweli bia tamu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Weekend haijapoa, wewe ndio umepoa boss wangu. Something should always keep you busy sheikh wangu - all times, ht kama ni kula bata au kusoma gazette.

Mimi natumia leo na kesho kukagua my other real life businesses. Never ever depend on 1 source of income alisema Muhenga Warren Buffet (Mentor wa Bill Gate)
c8a67a5a2c50cdc06a7033937972a935.jpg

45aa600136066f80335238badbe0c9b4.jpg

82855f7c463e7c04a0a61cc159da22c0.jpg
e7632df4a18c8e17a6e6a237b4d7e709.jpg
f31fed31cc9665c51673ccf9c61e331e.jpg

72287e0ab406c2ce28820bf0c2f0058a.jpg
cc3ae991adfc556b5bbdedd59329a2f4.jpg
Aisee kila nikiangalia hizi picha, napata hamasa natamani niitafune simu yangu, natamani nipige kelele kubwa la shangwe la kuwaamsha wahenga wote Wa mzizima wasome fx

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Ontario darasa linaanza lini nimekuelewa kidogo na nina imani ni jambo linalowezekana sasa napenda nijue zaidi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ontario, natamani uanzishe mpango wa kututumia signals kisha tuwe tunalipia!
Ni mwendo wa kusema uza/nunua

Post sent using JamiiForums mobile app
jamaa angu signal hazitakusaidia zpo kila kona wanatoa hzo vtu
kikubwa pata knowledge na tading strategies ndo kkubwa kwny hii game
huyo unaetaka akupe signal ye angefanya ivo asingekua leo hii na uwezo wa kusema yuko tayar kufundisha wengine.
an mkuu upate chanc ya kuonana na mtu yeyote aliefankiwa ktka forex afu ukaomba signal hata ye mwenyw atakushangaa
buh anyways n mawazo yko
"fish for me and i will eat for today, but teach me how to fish and i will eat for the rest of my life"

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sasa Ontario mbona hatukuon ukiendesha tractor kulima? Wazungu wa SA, Zimbabwe, USA na Europe wanalima wenyewe siyo kutegemea maskini wawalimie! Wao wanalima, masikini/wafanyakazi wanavuna na kusort out mazao. Nyiye mmevamiamia mashamba ya masikini kwa visenti vyenu na kuwalipa peanuts wenyeji, alafu mnajiita wakulima!
Nyinyi ni wajasiliamali ambao mmezulumu land ya wenyeji masikini sababu ni wajanja mnajua fiddling around huko ardhi mkafanikiwa.
Kilio cha hao masikini uliowapiga picha ku show off kumefika mbinguni mjomba! Zurma zurma zurma.
Nilichogundua una wivu wa chuki ya mafanikio yake na sasa umehamia kwenye chuki ktk mafanikio yake ktk kilimo, kisha naamini utaelekeza chuki zako kwa wale waliompa tuzo,kisha utarudi Forbes na media za kimataifa zinazothamini jitihada za kijana, na hautaishia hapo kwa sababu tatizo lako in mafanikio yake.
Ontario nakuomba sana usimjibu huyu tena,sababu ameshaona dalili kwamba huwa hushindwi ktk kusamamia yale unayopanga kufanikisha na sasa alichobakia ni writhing in agony
 
Sasa Ontario mbona hatukuon ukiendesha tractor kulima? Wazungu wa SA, Zimbabwe, USA na Europe wanalima wenyewe siyo kutegemea maskini wawalimie! Wao wanalima, masikini/wafanyakazi wanavuna na kusort out mazao. Nyiye mmevamiamia mashamba ya masikini kwa visenti vyenu na kuwalipa peanuts wenyeji, alafu mnajiita wakulima!
Nyinyi ni wajasiliamali ambao mmezulumu land ya wenyeji masikini sababu ni wajanja mnajua fiddling around huko ardhi mkafanikiwa.
Kilio cha hao masikini uliowapiga picha ku show off kumefika mbinguni mjomba! Zurma zurma zurma.
Chaliii Sasa unanyeg* na sio wivu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Naomba msaada: mwenye kitabu cha kitabu cha currency trading for dummies kile kikubwa akitume hapa. Tx in advance

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Chaliii Sasa unanyeg* na sio wivu.

Post sent using JamiiForums mobile app
Mbona unaleta disturbance watu wamelala saahizi! Kama nyiye hamulali usiku kucha sababu forex shauri yenu!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mbona unaleta disturbance watu wamelala saahizi! Kama nyiye hamulali usiku kucha sababu forex shauri yenu!

Post sent using JamiiForums mobile app
Last time ulisema hautarudi tena. Au ulikua unatudanganya??

Nini kimekurudisha??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom