Watakupa kwa kuchelewesha lkn
Kuna jamaa kajifunza Forex for more than five years.yeye anatumia sana Renko chart analysis ambayo ni kama iko supported na theory za naked Forex.yaani kwa kutumia Renko chart tu.ambayo has got no noise of time and volume.anapata kujua entry point na exit point.na Renko chart kikubwa inakupa overbought state na oversold state.ambayo inakupa picha clear ya uptrend Au downtrend.na inakuonyesha retracement zote zinazotokea ambazo kwa pro trader it's nothing as long as ushakuwa confirmed na Trend.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Hpn sio Nemeth,yeye ni mbongo hapahapa tz,,Joseph Nemeth na yeye ana concepts kama hizo kuna video moja anazungumzia strategy ya Haiken Ashi ambayo kidogo inafanana na Renko chart,,ila ndio yeye anakuambia never ever put a Stop Loss or TP,,Unamzungumzia Joseph Nemeth.? Maana trader huyu ana idea za ajabuajabu sana ambazo hazioani na most traders.
Una tumia Platform gan hii mkuu!!hii ni sehemu ya uchezaji wa forex ambayo na fanya kama mtu niliye anza na dola 7 usd.na jua wapo wanao penda kukwaza wenzao kwa kila jambo. elimu yake ni nzuri kama ukijua
Sent from my SM-G928C using JamiiForums mobile app
Kununua signal haimaanishi kwamba sina knowledge bali inaniwezesha ku-trade kila siku bila kutumia mda mwingi kufuatilia! Wewe kununua juice ya embe haimaanishi kwamba huwezi tengeneza!jamaa angu signal hazitakusaidia zpo kila kona wanatoa hzo vtu
kikubwa pata knowledge na tading strategies ndo kkubwa kwny hii game
huyo unaetaka akupe signal ye angefanya ivo asingekua leo hii na uwezo wa kusema yuko tayar kufundisha wengine.
an mkuu upate chanc ya kuonana na mtu yeyote aliefankiwa ktka forex afu ukaomba signal hata ye mwenyw atakushangaa
buh anyways n mawazo yko
"fish for me and i will eat for today, but teach me how to fish and i will eat for the rest of my life"
Post sent using JamiiForums mobile app
Nadhani ndio maana Ontario kwenye hii thread kaweka kama kichwa cha thread yakeHawatoi sababu za msingi, lkn hawataki watu wajue biashara hii ni aina ya mbinu ya kukuvunja moyo, wengi wamekumbana na tatizo hili
YapNadhani ndio maana Ontario kwenye hii thread kaweka kama kichwa cha thread yake
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa mkuu, haina haja yakubanana bila suluhuuWakiwa wanazingua sana basi tutahamia South Africa tukafanye trade na maisha uko uko kwani nini bhana au mnasemaje wana Forex maisha popote
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
😀 😀 hizi vitu nlishindwa kuzielewa kabisa
Dah kumbe mimi napitwa, basi mimi nimezoea kutrade kwa kutumia Double top&Bottom, Last Kiss, Big Belt, Big Shadow na Kangaroo tail.. Na huwa nagonga profit kama kawaSi lazima, Pros wanarecomend utumie price action. Ila indicators ukizitumia zaidi ya tatu ziinaweza kukupa picha halisi ya soko na trend. Hivi vinaipa uzito zaidi price action yako utakavyoisoma.
Dah kumbe mimi napitwa, basi mimi nimezoea kutrade kwa kutumia Double top&Bottom, Last Kiss, Big Belt, Big Shadow na Kangaroo tail.. Na huwa nagonga profit kama kawa
ANGALIZO
nina wapa tahadhari msijaribu ku trade kwa kutumia akaunti ya BANK YA CRDB..WATABLOCK PESA.
TUMIENI EQUITY NA FNB AU SKRILL AKAUNTI
I see, thank youBarclays wana Foreign Trading Account ko nadhani ni vizuri kwa Barclays kwa hii Forex
Mm imenikuta kwa ecobank,waliblock acc yangu kisa waliona transactions nyingi,nikauliza mbona namba yangu na email wanavyo,walishindwa kuwasiliana na mm!?Hawatoi sababu za msingi, lkn hawataki watu wajue biashara hii ni aina ya mbinu ya kukuvunja moyo, wengi wamekumbana na tatizo hili
Kuna jamaa yuko na acc fnb kanambia yeye anatoa hela in two days.Barclays wana Foreign Trading Account ko nadhani ni vizuri kwa Barclays kwa hii Forex
Kuna jamaa yuko na acc fnb kanambia yeye anatoa hela in two days.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh,ntaenda kwao aisee,asante mkuu.Barclays inatambua Forex na wana account kabisa ko unaweza ukafungua 2 in 1 yaan accoount 1 ikawa saving na hiyo hiyo ikawa forex acc sema unapewa namba 2 tofauti za account, ko kama ukitumiwa pesa zako za forex zinaenda kwenye acc yako ya forex na unatoa bila wasi wasi kwa ATM