Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
MKUU ULIJIBIWA HUU UJUMBE???...maana hata mimi binary option ktk kusearch nikasikia ni scum tena jamaaa aliuliza swali nzuri sana JE UMEWASIKIA BILIONEA YEYOTE KATAJIRIKA KUTOKANA NA BINARY OPTION?? ukitazama video nyingi Utube waweza kurupuka nilimaster BILINGER BAND lkn nlivyo sikia ni scum nikasita......mbaya zaid nipo mkoa huyuu jamaa nitamkosaa huko twn
 
Tupe tovuti kaka sio kutufanyia biashara kwa link we upige mawe.... Hii link ni redirect/affiliate programe mtu akijiunga kupitia hii we unakula commission yako..... Kila la kheri.
Tovuti hii hapa bro
Nilisoma hapo juu kwa aliyetoa hiyo link nikafuatilia nikakuta nikweli nika open acc na nikapewa free 30$ nimetrade nayo sasa nimepata 184$ nimesha wekewa kwenye my real account..

Huu ni msahada kwa wanafunzi ambao wako tayari ila hawana. mtaji

https://secure.tickmill.com/redirect/index.php?cii=10083&cis=1&lp=https://tickmill.com/

They are for real

Post sent using JamiiForums mobile app
 
CRDB, NBC ni duo threat kwa internet banking. Never try using them katika issues za online purchase.
Mi nili-deposit kama dola 25 kwenye benki ya NBC kilichonitokea najuta,hela imegoma kuhamishika nilivyowapigia sikupata majibu ya kuridhisha maana hawa jamaa customer care ni zero,nikaenda ofisini kwao napo majibu hayaeleweki wanadai hela yote imekatwa kama service charge na nabado nadaiwa japo kwenye balance yangu nikiangalia hela naiona,hapa nilipo nimetupilia mbali kadi yao naona hawana msaada kabisa yani.
 

Siku nyingine usijaribu kuwatumia hao NBC. Mimi huu mwaka wa tano sasa sijawahigi pata activation pin yangu ya paypal. Ilinibidi mpaka nisajili bank nyingine nikachukua cash card ndo ninayoitumia mpaka sasa katika online transactions.

Wapo hovyo sana katika internet banking
 
Tupe tovuti kaka sio kutufanyia biashara kwa link we upige mawe.... Hii link ni redirect/affiliate programe mtu akijiunga kupitia hii we unakula commission yako..... Kila la kheri.
Hiyo ni direct link ya tickmill na huo ni msaada tu...hakuna commission kwenye Forex .. Tafadhali rudi darasani

love thé love or hâte thé love.....
 
hiv muhenga mkuu ONTARIO upo mbona kimya sana nakusalimia muhenga kiongozi .
 
Hey guys There is the best broker i found few days ago.. Compare to all ECN brokers this one has got very litle commission, very faster in executing order, zero spread, Regulated, and among others if want to withdraw its withing 30mins your money is out to your bank .

There is the offer of free acc 30$ then once you reach 130$ you take your 100$ they take their 30$ , what i was suprised is that if you loss that 30$ they dont hold you accoubtable.
I started with their 30$ up to 184$ then they added it to my live acc..
I thought i should share this for those who do not have capital its a starting point.

https://secure.tickmill.com/redirec...ps://tickmill.com/promotions/welcome-account/



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tufafanulie kidogo hapo

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Uliopen real au demo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kwa mwenye tutorial about this list msaada tafadhali maana youtube baadh zimeyumba kidg..

1.big shadow
2.kangaroo tail
3.big belt
4.last kiss
5.shark
6.cypher
7.Moolah

cc
Bavaria, Ontario
 
sure mkuu
 
Shukran mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa poa mkuu.
 
wadau vipi?..nimekaa nikajiuliza, hivi ukifanya analysis yako ukapata opportunity ya uhakika inakuwaje ukiamua kupiga na lotsize kubwa?..

ukiwa na pair ukaifanyia kazi kisha analysis yako ikaendana na mambo mengine ya msingi kama vile news updates,indicators na mengineyo,yani kifupi kuna uhakika 99% kwamba mambo yataenda kama ulivyotegemea,inakaaje ukiamua kupiga lotsize kubwa?..naelewa umuhimu wa risk management ila hapa ifahamike kwamba aspects zote zinafavor position yako hivyo ukaamua kufungua position kwa volume kubwa..cheki hii screenshot hapa




utagundua ni pips kidogo ila impact katika profit ni kubwa mno....

kilicho nipelekea kutaka kujaribu hili ni baada ya kugundua traders wengi ambao ni professionals hawatumii 0.01 au 0.1..utapata wanapiga 2.00,3.00 n.k..yupo huyu msauzia Andile nimeona anapiga na 5.00.

ila sijapendekeza kwa namna yoyote ufwate hili.ni maoni tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…