Papaa Azonto
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 319
- 277
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noo noo hilo ni kosa kubwa sana boss wangu, the bigger the lot size the larger the profits and as well the larger the loss. Hakuna kitu kama 100% perfect analysis, hkn anayejua sekunde 2 zijazo nini kitatokea kwenye forex, so why must u risk the whole of your account over 1 single trade. Ikikuendea kushoto maana yake umeunguza account. And remember hiyo ni pesa umeitolea jasho, then uipoteze in an eye blink.wadau vipi?..nimekaa nikajiuliza, hivi ukifanya analysis yako ukapata opportunity ya uhakika inakuwaje ukiamua kupiga na lotsize kubwa?..
ukiwa na pair ukaifanyia kazi kisha analysis yako ikaendana na mambo mengine ya msingi kama vile news updates,indicators na mengineyo,yani kifupi kuna uhakika 99% kwamba mambo yataenda kama ulivyotegemea,inakaaje ukiamua kupiga lotsize kubwa?..naelewa umuhimu wa risk management ila hapa ifahamike kwamba aspects zote zinafavor position yako hivyo ukaamua kufungua position kwa volume kubwa..cheki hii screenshot hapa
![]()
utagundua ni pips kidogo ila impact katika profit ni kubwa mno....
kilicho nipelekea kutaka kujaribu hili ni baada ya kugundua traders wengi ambao ni professionals hawatumii 0.01 au 0.1..utapata wanapiga 2.00,3.00 n.k..yupo huyu msauzia Andile nimeona anapiga na 5.00.
ila sijapendekeza kwa namna yoyote ufwate hili.ni maoni tu.
You've made promising progress!
Apart from the so called deep knowledge! What I see, the most important aspect(s) of this game is...
Asante sana mkuuYou've made promising progress!
When you get used to your current account, try to open another demo account with very little amount,say 100usd or 1000usd! then trade with it, it'll help you alot!
Sioni vizuri mkuu.Naked traders again
Is this not what they call Head and Shoulders
View attachment 546555
ONTARIO
Bavaria
And all naked traders
Euro siku hizi ina nguvu ya ajabu sana.Naona USD inaendelea kuchezea kichapo....huyu rais wa ECB ni noma!!
Naked traders again
Is this not what they call Head and Shoulders
View attachment 546555
ONTARIO
Bavaria
And all
Unathubutu kumuita mentor wetu dogo?Ontario hongera dogo be blessed
none of the above
Ontario hongera dogo be blessed
none of the above
dogo kiumri ila kimaendeleo yuko mbele sana namkubali vibaya mnooo...Unathubutu kumuita mentor wetu dogo?
dogo kiumri ila kimaendeleo yuko mbele sana namkubali vibaya mnooo...
maana nilichokisoma leo acha tu[/QUO
barikiwa
Sawa lakin kwenye huu uzi wengi wetu tumemzidi umri ontario lakin hatujathubutu kumuita DOGO..neno sahihi ni kumuita MKUUdogo kiumri ila kimaendeleo yuko mbele sana namkubali vibaya mnooo...
maana nilichokisoma leo acha tu
sawa ngoja niedit...Sawa lakin kwenye huu uzi wengi wetu tumemzidi umri ontario lakin hatujathubutu kumuita DOGO..neno sahihi ni kumuita MKUU