wadau vipi?..nimekaa nikajiuliza, hivi ukifanya analysis yako ukapata opportunity ya uhakika inakuwaje ukiamua kupiga na lotsize kubwa?..
ukiwa na pair ukaifanyia kazi kisha analysis yako ikaendana na mambo mengine ya msingi kama vile news updates,indicators na mengineyo,yani kifupi kuna uhakika 99% kwamba mambo yataenda kama ulivyotegemea,inakaaje ukiamua kupiga lotsize kubwa?..naelewa umuhimu wa risk management ila hapa ifahamike kwamba aspects zote zinafavor position yako hivyo ukaamua kufungua position kwa volume kubwa..cheki hii screenshot hapa
utagundua ni pips kidogo ila impact katika profit ni kubwa mno....
kilicho nipelekea kutaka kujaribu hili ni baada ya kugundua traders wengi ambao ni professionals hawatumii 0.01 au 0.1..utapata wanapiga 2.00,3.00 n.k..yupo huyu msauzia Andile nimeona anapiga na 5.00.
ila sijapendekeza kwa namna yoyote ufwate hili.ni maoni tu.