Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Euro siku hizi ina nguvu ya ajabu sana.

Ila subiri ikianza kushuka ushuke nayo.
Screenshot_20170720-211921.png

Imeshaanza kushuka aisee.. Hapa mtu ukishuka nayo unaeka kabisa lot size ya tembo (in Ontario's voice) ila naona hasira zake sio zakitoto naona mpaka imebreak io zone ambayo haijawahi kubreak tangu 2014.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU ULIJIBIWA HUU UJUMBE???...maana hata mimi binary option ktk kusearch nikasikia ni scum tena jamaaa aliuliza swali nzuri sana JE UMEWASIKIA BILIONEA YEYOTE KATAJIRIKA KUTOKANA NA BINARY OPTION?? ukitazama video nyingi Utube waweza kurupuka nilimaster BILINGER BAND lkn nlivyo sikia ni scum nikasita......mbaya zaid nipo mkoa huyuu jamaa nitamkosaa huko twn

Don't Gamble On Binary Options
 
Duh enz Ontario anaanzsha hii thread nilkua nayo mguu kwa mguu bahat mbaya nkawa nje ya JF sahv cjui naanzia wap sasa maana pages ni nying mnoo.

Ile ofsi ishafunguliwa ili mie nianzie tu ofsn?

All in all salute to Ontario and all. Nami naja mdogo mdogo

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Duh enz Ontario anaanzsha hii thread nilkua nayo mguu kwa mguu bahat mbaya nkawa nje ya JF sahv cjui naanzia wap sasa maana pages ni nying mnoo.

Ile ofsi ishafunguliwa ili mie nianzie tu ofsn?

All in all salute to Ontario and all. Nami naja mdogo mdogo

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app

Kama ulikuwa una fuatilia toka mwanzo, hlf ukapotea sehemu. Maana yake kuna pages nyingi tu umesha pitia. Basi usiwe mvivu kupitia page ulizo kosa ili uwe kwenye mstari Na wengine. Ondoa uvivu, Kwani ukiuendekeza ujue fika KUWA huu mchezo haukufai. Utaweza kupitia vitabu zaidi ya viwili tu kwa mtindo huo? Gangamala kijana!
 
wadau vipi?..nimekaa nikajiuliza, hivi ukifanya analysis yako ukapata opportunity ya uhakika inakuwaje ukiamua kupiga na lotsize kubwa?..

ukiwa na pair ukaifanyia kazi kisha analysis yako ikaendana na mambo mengine ya msingi kama vile news updates,indicators na mengineyo,yani kifupi kuna uhakika 99% kwamba mambo yataenda kama ulivyotegemea,inakaaje ukiamua kupiga lotsize kubwa?..naelewa umuhimu wa risk management ila hapa ifahamike kwamba aspects zote zinafavor position yako hivyo ukaamua kufungua position kwa volume kubwa..cheki hii screenshot hapa


acbce9e9ddf96ec6c36f4cb2fec643f0.jpg


utagundua ni pips kidogo ila impact katika profit ni kubwa mno....

kilicho nipelekea kutaka kujaribu hili ni baada ya kugundua traders wengi ambao ni professionals hawatumii 0.01 au 0.1..utapata wanapiga 2.00,3.00 n.k..yupo huyu msauzia Andile nimeona anapiga na 5.00.

ila sijapendekeza kwa namna yoyote ufwate hili.ni maoni tu.
aLot size na leverage zinaweza kuwa na faida sana na risk kubwa na wengi wanaotumia lot kubwa no naked trader ambao wako wanaingia kwa dakika 1,2,mpaka 10, naked trader yeye afati indicator,news anafata market kwa wakati ipoje akijua IPO katika sell time anafanya sell akijua IPO buy time anabuy ,hapa wanakua ivi mfano GPb/Eur on sell kwa kwa lots ya 0.1 alafu akamake profit with 30sec na sell tena kwa lot size ya 1 - 3( depend on balance) anachofanya ni akiona profit Inamtosha anaclode order manual unaweza check post za huyu mchaga www.Instagram.com/brownshirima
 
Wakuu Wiki ndio hiyo inayoyoma
Mana FX tunafunga mahesabu leo muda sio mrefu.
jumamosi na jumapili ni kupumzika na kuendelea na kula msuli

Hebu tuweze kujiassess kidogo
Kabla ya kuijua FX ulukua unatumia vipi muda wako
Kuanzia umeanza jifunza FX unagain ama unapoteza muda kupekua vitabu
Angali wewe kuanzaia wiki imeanza umeingiza nini kichwani kuhusu FX
Angalia ni kiasi gani umekua makini kufuatilia taarifa kuhusu ecomomic issues
Alafu angalia demo yako inasoma negative ama positive
Angalia kama leo umekua makini na kutafura pesa na umeachana na habari za udaku.
Kama wewe bado upo kwenye udaku, Kuishi maisha bora ni maamuzi yako mwenyewe.
May Allah bless all pips eaters

Tumshukuru Mungu kwa kutupa Mhenga mkuu kama ONTARIO

Guys lets absorb knowledge
 
Halooo nimesoma comments karibia zote ni majanga sana kwenye swala ya ku withdraw pesa ni very complicated unaweza kulia aisee. Kuna jamaa nimesoma comments yake lipiga profit $2500 , pesa zake zikaishia online jamaa watz wenzangu tupunguze miemuko unless otherwise ni kutafuta kilio.
MLIOFANIKIWA KATIKA HII BUSINESS NAOMBA USHAURI KUHUSU BROKER AMBAYE HANA UBABAISHAJI WA KUTOA PESA .

Soma hapa kama unatumia au unampango wa ku trade kupitia broker mwiz IQ Options.

https://blog.iqoption.com/en/how-do-i-withdraw-to-the-card/
 
  • Thanks
Reactions: smy
Mkuu habari?
Naomba kujua hii forex Imeanz kufanya Kazi nchini Tz ?
Maana tunavutiwa nayo Sana Ndugu
Naomba feedback please na utaratibu mwingine if possible

iPhone 6s
 
habari za siku Chizcom
Samahani naomba unisaidie jina la app ya platform unayo tumia pls. MT4 imenishinda

Natanguliza hukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna haja ya kuikimbia hiyo mt4...mimi mwenyewe nilikuwa siielewi mwanzoni ila nimetafuta mtu amejicoach saiz safi tu!
Kwahiyo solution siyo kuikimbia, ni nyepesi sana hiyo ukiijua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu habari?
Naomba kujua hii forex Imeanz kufanya Kazi nchini Tz ?
Maana tunavutiwa nayo Sana Ndugu
Naomba feedback please na utaratibu mwingine if possible

iPhone 6s



Mkuu utanisamehe kama nitakuwa nimekuudhi ila inaelekea dunia inaenda mbele wewe unarudi nyuma...mkuu wangu dunia ya sasa unaweza Kufanya Biashara marekani ukiwa Nankurukuru muradi tu una facilities zinazitakiwa kwenye hyo Biashara..

Forex sio Biashara ya nchi ni Biashara ya kimataifa na mtu yoyote anaweza Kufanya...Kwanza usome uelewe Biashara hii ni kitu gani na unatakiwa kujua nn na nn ili uifanye....yaani uwe nondo hasa Kuhusu forex trading...ukishaelewa kila kitu na kuwa tayari kuingia kwenye hii game..unachotakiwa kuwa nacho ni computer/simu iliyowezeshwa na internet...bando la kutosha....kianzio cha kuingia kwenye hii Biashara...then unaanza kutrade.

Angalizo forex trading is not for everybody kwa hyo kama unaona hii kitu sio saizi yako....mkuu endelea na mambo ingine maana huku kuna kupata na kupoteza pia...kama hujajiandaa kupoteza tafadhali usiingie...na cha muhimu zaidi usiingize pesa ambayo you can't afford to lose..yaani usije ukaanza trade na pesa ya MKOPO au pesa ambayo ikipotea itafanya ushindwe kuendesha maisha yako ya kawaida.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom