Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Noo noo hilo ni kosa kubwa sana boss wangu, the bigger the lot size the larger the profits and as well the larger the loss. Hakuna kitu kama 100% perfect analysis, hkn anayejua sekunde 2 zijazo nini kitatokea kwenye forex, so why must u risk the whole of your account over 1 single trade. Ikikuendea kushoto maana yake umeunguza account. And remember hiyo ni pesa umeitolea jasho, then uipoteze in an eye blink.

Fanya analysis nzuri, uwe na sababu kama 4 kwanini unaingia kwa iyo trade na pia panga your exit point, then place proper lot size inayoendana na account yako.

Mfano hapo kwenye screen shot yako utaona umetumia lot ya 10 kupata faida ya $100 but I used 0.15 kupata more than that. So lot size doesn't matter. Mtu anaeza kutumia 0.02 akagonga faida kubwa hata zaidi ya mkurupukaji aliyetumia 5. So ni matter of patience and good entry point.
 
Duh! This dude really needs deep knowledge

Sent using Jamii Forums mobile app
Apart from the so called deep knowledge! What I see, the most important aspect(s) of this game is...

1. Your psychological state (psychology).

2. Your patience.

3. The courage to learn from your mistakes and to start afresh when things did not work as per your espectations! How are you able to handle the unexpected??

4. Capital

Source: My experience.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…