Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Mimi natumia xm, but nahamia Tickmill kwani huyu anakubali m pesa japo ni kwa safaricom ya Kenya, huyu hana longo longo unachukua mshiko wako anytime
Una trade naked or kwa indicators?Mkuu sasa ntaka nifanye deposit,naomba mwongozo jinsi ya kudeposit pesa
Euro siku hizi ina nguvu ya ajabu sana.
Ila subiri ikianza kushuka ushuke nayo.
Una trade naked or kwa indicators?
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Ni kweli ndugu hawa jamaa ni janga aisee.
Ujajibu swali kijana. Hujajua ninataka nisemeje. Na kumbuka sio kila kitu ni mpaka ujibiwe na Ontario au bavaria au complex jifynze kusikiliza kila mtu then ndio ufanye maamuzi.Mkuu, kipofu haongozi kipofu.
MKUU ULIJIBIWA HUU UJUMBE???...maana hata mimi binary option ktk kusearch nikasikia ni scum tena jamaaa aliuliza swali nzuri sana JE UMEWASIKIA BILIONEA YEYOTE KATAJIRIKA KUTOKANA NA BINARY OPTION?? ukitazama video nyingi Utube waweza kurupuka nilimaster BILINGER BAND lkn nlivyo sikia ni scum nikasita......mbaya zaid nipo mkoa huyuu jamaa nitamkosaa huko twn
habari za siku Chizcomukweli ni kitu kizuri hakuna kitu rahisi kama hujui kinavo patikana.ni meonesha jinsi gani kuna faida na hasara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh enz Ontario anaanzsha hii thread nilkua nayo mguu kwa mguu bahat mbaya nkawa nje ya JF sahv cjui naanzia wap sasa maana pages ni nying mnoo.
Ile ofsi ishafunguliwa ili mie nianzie tu ofsn?
All in all salute to Ontario and all. Nami naja mdogo mdogo
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
aLot size na leverage zinaweza kuwa na faida sana na risk kubwa na wengi wanaotumia lot kubwa no naked trader ambao wako wanaingia kwa dakika 1,2,mpaka 10, naked trader yeye afati indicator,news anafata market kwa wakati ipoje akijua IPO katika sell time anafanya sell akijua IPO buy time anabuy ,hapa wanakua ivi mfano GPb/Eur on sell kwa kwa lots ya 0.1 alafu akamake profit with 30sec na sell tena kwa lot size ya 1 - 3( depend on balance) anachofanya ni akiona profit Inamtosha anaclode order manual unaweza check post za huyu mchaga www.Instagram.com/brownshirimawadau vipi?..nimekaa nikajiuliza, hivi ukifanya analysis yako ukapata opportunity ya uhakika inakuwaje ukiamua kupiga na lotsize kubwa?..
ukiwa na pair ukaifanyia kazi kisha analysis yako ikaendana na mambo mengine ya msingi kama vile news updates,indicators na mengineyo,yani kifupi kuna uhakika 99% kwamba mambo yataenda kama ulivyotegemea,inakaaje ukiamua kupiga lotsize kubwa?..naelewa umuhimu wa risk management ila hapa ifahamike kwamba aspects zote zinafavor position yako hivyo ukaamua kufungua position kwa volume kubwa..cheki hii screenshot hapa
utagundua ni pips kidogo ila impact katika profit ni kubwa mno....
kilicho nipelekea kutaka kujaribu hili ni baada ya kugundua traders wengi ambao ni professionals hawatumii 0.01 au 0.1..utapata wanapiga 2.00,3.00 n.k..yupo huyu msauzia Andile nimeona anapiga na 5.00.
ila sijapendekeza kwa namna yoyote ufwate hili.ni maoni tu.
Hivi wakiziblock wanazipeleka wapi?Ni kweli ndugu hawa jamaa ni janga aisee.
Huna haja ya kuikimbia hiyo mt4...mimi mwenyewe nilikuwa siielewi mwanzoni ila nimetafuta mtu amejicoach saiz safi tu!habari za siku Chizcom
Samahani naomba unisaidie jina la app ya platform unayo tumia pls. MT4 imenishinda
Natanguliza hukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba na mimi nikutafute unisaidie maana ni majangaHuna haja ya kuikimbia hiyo mt4...mimi mwenyewe nilikuwa siielewi mwanzoni ila nimetafuta mtu amejicoach saiz safi tu!
Kwahiyo solution siyo kuikimbia, ni nyepesi sana hiyo ukiijua!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu habari?
Naomba kujua hii forex Imeanz kufanya Kazi nchini Tz ?
Maana tunavutiwa nayo Sana Ndugu
Naomba feedback please na utaratibu mwingine if possible
iPhone 6s