Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
The best card ni hiko kitambulisho cha kura, bank statement inafaa but hata kadi ya kura pia inafaa kutumika kama proof of residence, na mimi niliitumia hiyo hiyo... Ngoja ataleta mrejesho atakaye tumiaKumbuka kuna utambulisho mara mbili!! Mimi nilitumia kadi ya mpiga kura na bank statement kama proof of residency!
Duh, kumbe kiswahili kigumu namna hiinjia bora kwa wageni kupata uzoefu wa biashara ya forex ni kufungua akaunti ya mazoezi. Karibu kila broker wa forex hutoa akaunti ya mazoezi ya bure kwa wateja wanaotarajiwa, unahitaji kufanya ni kusaini kwa moja kwenye wavuti wa Broker. Kufanya mazoezi kwa demo a/c mazoezi yanafadhiliwa hivyo unaweza kufanya biashara bila fedha halisi na kupata uzoefu jinsi biashara ya margin inavyofanya kazi. Tumia maagizo kukupa nafasi nzuri ya kupata soko la forex. Unaweza kuona jinsi bei inavyobadilika kwa nyakati tofauti za siku, jinsi jozi tofauti za sarafu zinaweza kutofautiana, na jinsi soko la forex inachukua mkondo mpya wakati habari kuu na data za kiuchumi zinatolewa. Unaweza pia kuanza biashara katika hali halisi ya soko bila hofu ya kupoteza pesa, jaribio la mikakati mbalimbali za biashara ili kuona jinsi wanavyofanya kazi, kupata uzoefu kutumia maagizo tofauti na kusimamia nafasi zilizo wazi, kuboresha ufahamu wako wa jinsi biashara ya margin na ustawi wa kazi, na kuanza Kuchambua chati na kufuata viashiria vya kiufundi. Tumia mazoezi ni njia nzuri ya kupata soko la forex na kulielewa mapema. Pia ni njia bora ya kupima na kuendesha vipengele vyote na utendaji wa forex unavyoenda na kumuelewa broker vyema.
Vipi leseni ya udereva haiwezi kukubali??The best card ni hiko kitambulisho cha kura, bank statement inafaa but hata kadi ya kura pia inafaa kutumika kama proof of residence, na mimi niliitumia hiyo hiyo... Ngoja ataleta mrejesho atakaye tumia
Kazi nzuri Complex.... big up! Pia baada ya Double bottom support pattern ungeweza kuongeza EMA indicator ukaangalia fast line na slow line zinavyo cross over... indicating trend reversal. Na pia ukapata good entry and exit points.Katika kuendelea na analysis za forex kwa hii pair, Nimeintroduce FIBONACCI. From it naona inatest 38% level. Level ambayo ni very supportive kwa uptrend market. Hivyo tunatarajia ascending ya candle (bullish movement). So trade long kwa kuweka stop loss, 10 PIPS below 38% level, Na take profit around at 10 PIPS above 0%
View attachment 552746
View attachment 552747
Pole yake ...jamaa ni msitaraabu sana kwa kiasi chake kanisaidia sana kupata some ABC's about Forex.wadau wa jukwaa hili hamjambo?sio mfatiliaji wa uzi huu ila nawapongezeni sana kwa jitihada mlizonazo katika kutafuta uhuru wa kifedha (financial freedom)kupitia ujuzi wa biashara hii.
naamini wengi mnamfahamu mdau mwenzenu "the viking".nawaombeni sana mnisaidie kumuombea maana yupo hospitalini alihusika kwenye ajali wakati akirejea nchini kutoka kenya.nafahamu hili sio jukwaa la mambo ya kihivyo ila kwa vile ni mmoja wenyu msione vibaya kumuombea..ahsanteni...
wadau wa jukwaa hili hamjambo?sio mfatiliaji wa uzi huu ila nawapongezeni sana kwa jitihada mlizonazo katika kutafuta uhuru wa kifedha (financial freedom)kupitia ujuzi wa biashara hii.

Wakuu,mimi nabukua bado sijaanza ku trade hata kwenye demo, nauliza kwenye hizi type za order kuna pending order na market execution, hii pending order mbona naona kama haina risk? maana pending order unai set inunue bei ikiwa chini ya market price, au iuze bei ikiwa juu ya market price,Trade when you see your setup.
Don't force when you don't see your setup.
sawa lakini kwani Ontario na yeye aliliwa marangapi kabla ya kua pro, au unafikir fundishwa na Ontario ndo hutaloose trade, hapana usiogope umeshapewa wazo la biashara lifanyie kazi na usiogope kupoteza, tumesha ambiwa usitrade kwa hela ambayo huwezi kuipoteza,Mimi nasubiri darasa la Ontario lianze niende class nikifuzu ndo nipate maelekezo ya kufungua real acc..
Nasema haya coz kuna jamaa kama wanne hivi wali-go live acc wakapigwa sasa wanaugulia kimyakimya...hata jf hawapiti tena.
Yaani jana jioni nilicheka sana..kamshahara ka July kwishney..
Mkuu ulipiga kimyaMpe pole sana. Mwenyezi Mungu atampa nafuu.
Hii ni bora kabisa mkuuVipi leseni ya udereva haiwezi kukubali??
Mkuu habari yako?!Wakuu,mimi nabukua bado sijaanza ku trade hata kwenye demo, nauliza kwenye hizi type za order kuna pending order na market execution,
Pending order ukiiset ni kweli inakua haina risk ila ikifikia bei uliyo-set ndio utaona risk yake!! ni kama unapotega bomu, hutaona madhara yake mpaka litapolipuka!!hii pending order mbona naona kama haina risk?
kwa maana uki set inunue chini ya market price itakuwa haifanyi chochote hata price ikipanda juu ,
Uko sahihi, lakini utakua "unaondoka na zero pips"! hii order inafanya kazi only if target/price ikiwa imefikiwa. Ikiwa na maana kama umeset bei za chini na kama hizo bei hazijafikiwa ni kwamba hazita be excuted, which mean zero risk and zero pips as well!nikiwa nai set inunue kwenye range za chini za market kila siku si nitakua naondoka na pips bila kuingia risk (kitu ambacho haki make sense)???
Kwa mtazamo wangu pending order haina risk na inakua na risk mpaka pale itapokua excuted! Pia oending order ni kama defensive mechanism flani kwamba ikifikia level Fulani nunua isipofikiwa maana ni kwamba haitanunuliwa, hapa unakua umejilinda!hapa kuna risk gani au disadvanytage gani ukilinganisha na market execution?