Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
The best traders stay in the flow because they don't try to get anything from the market; they simply
make themselves available so they can take advantage of whatever the market is offering at any given
moment.
 
njia bora kwa wageni kupata uzoefu wa biashara ya forex ni kufungua akaunti ya mazoezi. Karibu kila broker wa forex hutoa akaunti ya mazoezi ya bure kwa wateja wanaotarajiwa, unahitaji kufanya ni kusaini kwa moja kwenye wavuti wa Broker. Kufanya mazoezi kwa demo a/c mazoezi yanafadhiliwa hivyo unaweza kufanya biashara bila fedha halisi na kupata uzoefu jinsi biashara ya margin inavyofanya kazi. Tumia maagizo kukupa nafasi nzuri ya kupata soko la forex. Unaweza kuona jinsi bei inavyobadilika kwa nyakati tofauti za siku, jinsi jozi tofauti za sarafu zinaweza kutofautiana, na jinsi soko la forex inachukua mkondo mpya wakati habari kuu na data za kiuchumi zinatolewa. Unaweza pia kuanza biashara katika hali halisi ya soko bila hofu ya kupoteza pesa, jaribio la mikakati mbalimbali za biashara ili kuona jinsi wanavyofanya kazi, kupata uzoefu kutumia maagizo tofauti na kusimamia nafasi zilizo wazi, kuboresha ufahamu wako wa jinsi biashara ya margin na ustawi wa kazi, na kuanza Kuchambua chati na kufuata viashiria vya kiufundi. Tumia mazoezi ni njia nzuri ya kupata soko la forex na kulielewa mapema. Pia ni njia bora ya kupima na kuendesha vipengele vyote na utendaji wa forex unavyoenda na kumuelewa broker vyema.
 
Kumbuka kuna utambulisho mara mbili!! Mimi nilitumia kadi ya mpiga kura na bank statement kama proof of residency!
The best card ni hiko kitambulisho cha kura, bank statement inafaa but hata kadi ya kura pia inafaa kutumika kama proof of residence, na mimi niliitumia hiyo hiyo... Ngoja ataleta mrejesho atakaye tumia
 
Duh, kumbe kiswahili kigumu namna hii
 
The best card ni hiko kitambulisho cha kura, bank statement inafaa but hata kadi ya kura pia inafaa kutumika kama proof of residence, na mimi niliitumia hiyo hiyo... Ngoja ataleta mrejesho atakaye tumia
Vipi leseni ya udereva haiwezi kukubali??
 
Katika kuendelea na analysis za forex kwa hii pair, Nimeintroduce FIBONACCI. From it naona inatest 38% level. Level ambayo ni very supportive kwa uptrend market. Hivyo tunatarajia ascending ya candle (bullish movement). So trade long kwa kuweka stop loss, 10 PIPS below 38% level, Na take profit around at 10 PIPS above 0%

View attachment 552746

View attachment 552747
Kazi nzuri Complex.... big up! Pia baada ya Double bottom support pattern ungeweza kuongeza EMA indicator ukaangalia fast line na slow line zinavyo cross over... indicating trend reversal. Na pia ukapata good entry and exit points.
RSI naona kama haijakusaidia hapo kwa sababu umeseti 14 days, naona kama ungeweka 9 or 10 days ingekupa indication nzuri kwa M30 timeframe.

my humble opinion.
 
wadau wa jukwaa hili hamjambo?sio mfatiliaji wa uzi huu ila nawapongezeni sana kwa jitihada mlizonazo katika kutafuta uhuru wa kifedha (financial freedom)kupitia ujuzi wa biashara hii.

naamini wengi mnamfahamu mdau mwenzenu "the viking".nawaombeni sana mnisaidie kumuombea maana yupo hospitalini alihusika kwenye ajali wakati akirejea nchini kutoka kenya.nafahamu hili sio jukwaa la mambo ya kihivyo ila kwa vile ni mmoja wenyu msione vibaya kumuombea..ahsanteni...
 
Pole yake ...jamaa ni msitaraabu sana kwa kiasi chake kanisaidia sana kupata some ABC's about Forex.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee poleni sana,, ni kweli viking tunashirikiana nae vyema tu huku,, mwenyewz Mungu amjalie afya njema turudi kupambana.get well soon.
wadau wa jukwaa hili hamjambo?sio mfatiliaji wa uzi huu ila nawapongezeni sana kwa jitihada mlizonazo katika kutafuta uhuru wa kifedha (financial freedom)kupitia ujuzi wa biashara hii.

naamini wengi mnamfahamu mdau mwenzenu "the viking".nawaombeni sana mnisaidie kumuombea maana yupo hospitalini alihusika kwenye ajali wakati akirejea nchini kutoka kenya.nafahamu hili sio jukwaa la mambo ya kihivyo ila kwa vile ni mmoja wenyu msione vibaya kumuombea..ahsanteni...
 
wadau wa jukwaa hili hamjambo?sio mfatiliaji wa uzi huu ila nawapongezeni sana kwa jitihada mlizonazo katika kutafuta uhuru wa kifedha (financial freedom)kupitia ujuzi wa biashara hii.

naamini wengi mnamfahamu mdau mwenzenu "the viking".nawaombeni sana mnisaidie kumuombea maana yupo hospitalini alihusika kwenye ajali wakati akirejea nchini kutoka kenya.nafahamu hili sio jukwaa la mambo ya kihivyo ila kwa vile ni mmoja wenyu msione vibaya kumuombea..ahsanteni...

Mpe pole sana. Mwenyezi Mungu atampa nafuu.
 
Dah, mfikishie pole yangu. Mwambie namtakia nafuu na uponyaji katika majeraha na maumivu yote yanayompata katika kipindi hiki.
 
Trade when you see your setup.
Don't force when you don't see your setup.
Wakuu,mimi nabukua bado sijaanza ku trade hata kwenye demo, nauliza kwenye hizi type za order kuna pending order na market execution, hii pending order mbona naona kama haina risk? maana pending order unai set inunue bei ikiwa chini ya market price, au iuze bei ikiwa juu ya market price,
kwa maana uki set inunue chini ya market price itakuwa haifanyi chochote hata price ikipanda juu , nikiwa nai set inunue kwenye range za chini za market kila siku si nitakua naondoka na pips bila kuingia risk (kitu ambacho haki make sense)??? hapa kuna risk gani au disadvanytage gani ukilinganisha na market execution?
Complex au Root ONTARIO nielewesheni hizi mambo
 
Mimi nasubiri darasa la Ontario lianze niende class nikifuzu ndo nipate maelekezo ya kufungua real acc..
Nasema haya coz kuna jamaa kama wanne hivi wali-go live acc wakapigwa sasa wanaugulia kimyakimya...hata jf hawapiti tena.
Yaani jana jioni nilicheka sana..kamshahara ka July kwishney..
sawa lakini kwani Ontario na yeye aliliwa marangapi kabla ya kua pro, au unafikir fundishwa na Ontario ndo hutaloose trade, hapana usiogope umeshapewa wazo la biashara lifanyie kazi na usiogope kupoteza, tumesha ambiwa usitrade kwa hela ambayo huwezi kuipoteza,
 
Wakuu,mimi nabukua bado sijaanza ku trade hata kwenye demo, nauliza kwenye hizi type za order kuna pending order na market execution,
Mkuu habari yako?!

Okey iko hivi, unaosemea "market excusion" unamaanisha kama ukiuza/ukinunua kitu basi utanunua kwa bei ambayo uko sokoni mda huo! Mfano kama bei ya EURUSD ni 1.4000 basi kwa market excusion utainunua kwa bei hiyo hiyo yaani 1.4000!!

Sasa tunaposemea "pending order" ni order ambayo inasubiri na bado haijatekelezwa. Kwa lugha rahisi ni kama umetega mtego, maana kwamba mtego utafanya kazi ukitegeuliwa!!

Mfano kama bei ya EURUSD ni 1.4000 na unataka ku-go long ikifikia bei Fulani mfano 1.4005, basi kwa kutumia pending order ndio unaweza uka-set ikifika 1.4005 ununue! kwa case kama hii utatumia "buy-stop order"!

hii pending order mbona naona kama haina risk?
Pending order ukiiset ni kweli inakua haina risk ila ikifikia bei uliyo-set ndio utaona risk yake!! ni kama unapotega bomu, hutaona madhara yake mpaka litapolipuka!!

kwa maana uki set inunue chini ya market price itakuwa haifanyi chochote hata price ikipanda juu ,

Uko sahihi, ni kweli haitafanya chochote mpaka bei uliyoset ifikiwe!

nikiwa nai set inunue kwenye range za chini za market kila siku si nitakua naondoka na pips bila kuingia risk (kitu ambacho haki make sense)???
Uko sahihi, lakini utakua "unaondoka na zero pips"! hii order inafanya kazi only if target/price ikiwa imefikiwa. Ikiwa na maana kama umeset bei za chini na kama hizo bei hazijafikiwa ni kwamba hazita be excuted, which mean zero risk and zero pips as well!

Niongezee tu huwezi kuweka pending order bila kuwa na uhakika au bila kufanya analysis ukawa na uhakiaka kiasi Fulani kwamba hii graph itatrend mpaka price level Fulani. Ni vyema ukafanya analysis ya soko kujua unaelekea wapi then uweke pending order!!

hapa kuna risk gani au disadvanytage gani ukilinganisha na market execution?
Kwa mtazamo wangu pending order haina risk na inakua na risk mpaka pale itapokua excuted! Pia oending order ni kama defensive mechanism flani kwamba ikifikia level Fulani nunua isipofikiwa maana ni kwamba haitanunuliwa, hapa unakua umejilinda!

Tofauti na market excusion ambayo ukiingia umeingia haina mjadala wala kujilinda na kama mambo yakienda hovyo basi cha kukuokoa ni stop loss kama uliiset na kama hukuiset ndio basi tena either ukubali hasara au uishie kutia kibiriti akaunti!!

Pending order mara nyingi inatumika kama uko sure kwamba price Fulani lazima itafikiwa na kama ikifikiwa tu basi order inakua excuted!!, au kama hauko-sure na direction ya graph basi kama soko likienda tofauti unakua umepona tofauti na market excusion ambayo soko likienda hovyo ndio basi tena huna jinsi Zaidi ya kukubali loss!!

Sijui kama umenielewa ila naomba ukasome hivi vitakusaidia kuielewa Zaidi pending order...

Ukiweza kasome hizi terminologies kwanza...

1. Pending order

2. Buy limit

3. Sell limit

4. Buy stop

5. Sell stop

6. Stop loss

Books that I recommend: Terminologies zote ziko chapter ya mwanzo kabisa!!

1. The bible of forex

2. Astrofx

3. Forex trading for dummies

Unaweza angalia youtube pia, utapata video walizoelezea vizuri Zaidi!!

Karibu sana mkuu!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom