Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
MREJESHO

MIMI NACHANJA MBUGA SIRUDI NYUMA ACHA NIKAFIE MBELE

Jana jamaa walinitaarufu wamecredit kwenye account yangu tayari ko tayari mzigo kuingia sokoni, wamenipa siku 10 niwe nimeanza kutrade la si hivyo pesa itarudishwa kwangu



nadhani hapo chini mnaweza mkaona USD 300 kama nilivyoanza nayo.
 
Kila la heri mkuu!!

Usisahau kutumia stop loss, kuopen few position with minimum position sizes na pia jitahidi kutumia leverage ndogo kwa kuanza!!

Othewise, Kila la heri!
 
Nasisi wa la saba vip mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hapa hamna cha la saba..bora uwe na nia manake wadau hapa wanaweka mambo straight..ukizama chimboni ukaona hujaelewa unakimbilia humu na kutupia swali lako..kisha jibu unalipata,tena from different points of view hivyo utaelewa tu upende usipende[emoji3] ..ila jikakamue sana usome vitabu vilivyopendekezwa..jaribu kupitia comments pia utapata jambo..
 
Goodluck..
 
Nimejaribu kuattach hii document ya excel nimeshindwa.

Nimejaribu kuconvert kwenda pdf, imetokea document nusu.

Nipeni ushauri wa cha kufanya..
 
Nimejaribu kuattach hii document ya excel nimeshindwa.

Nimejaribu kuconvert kwenda pdf, imetokea document nusu.

Nipeni ushauri wa cha kufanya..
mkuu nashauri ungemtumia Mw RcT kwa njia ya email nadhani yeye atakuwa na mbinu nyingi za kushare hiyo document hapa.
 
Nimejaribu kuattach hii document ya excel nimeshindwa.

Nimejaribu kuconvert kwenda pdf, imetokea document nusu.

Nipeni ushauri wa cha kufanya..
Compress hilo excel file liweke kwenye zipped file halafu halafu attach
 
Hii Biashara naipenda ila sina Laptop wala akaunti bank basi kosa hivyo ningeingia mzigoni.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…