Liuumi
Senior Member
- Jun 17, 2015
- 164
- 165
Welcome back Mkuuhali vipi wanafunzi wenzangu?..nafurahi sana kuona kwamba mngali mnapiga darasa bila utani...inatia moyo sana kuona kwamba bado we are determined..niwapongeze wote na niwashukuru sana kwa bidii na kujitolea....
Sent using Jamii Forums mobile app