Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu Bavaria hii kitu haifunguki aisee, kama hutajali naomba nitumie kwa email fredmlay@gmail.com ikiwa kwenye excel
 
CRDB waliblock pesa zangu, hawakujua kuwa wananipa akili, sasa natumia mastercard nawithdrawal as mtalii tena kwa rate sahihi na sio za local banks.
Hakuna kuchunguliana tena
safi nijulishe hili mana na mimi ni muathirika wa NBC
 
safi mkuu bado hujatueleza jinsi ya kupata mastercard ya payoneer, na pi je ni bank zote wanakubali hii huduma pili ni benk gani unatumia baada ya kuhama CRDB kama hutojali mana mimi natumia equity Bank
 
Aisee hiii mambo haifunguk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hiii mambo haifunguk

Sent using Jamii Forums mobile app

Wote mnaasema attachment ya Bavaria kuwa haifunguki, fanyeni hivi. Hiyo attachment imekuwa compressed na software ya WINRAR, na ili kuona kilichomo ndani ambacho ni excel yakupasa uiextract kwa software husika. So ili uifungue, download WINRAR kisha install katika PC yako. Then utaweza kuiextract na kuiona excel iliyo ndani yake.
 
safi mkuu bado hujatueleza jinsi ya kupata mastercard ya payoneer, na pi je ni bank zote wanakubali hii huduma pili ni benk gani unatumia baada ya kuhama CRDB kama hutojali mana mimi natumia equity Bank
Ukisha jiunga na Payoneer watakutumia mastercard ndani ya siku 10 za kazi.
Hapa bongo tunia I&M bank upewe mastercard isiyo na ac ambayo utakuwa unajaza dolari zako na kumtumia broker kupitia skrill
 
Je kwenye simu inaweza funguka mkuuu...??.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kusubiri hadi ufundishwe.[/QUOTE]

Mkuu Bavaria hapo haujamshauri vyema!!
 
Mkuu does it mean kwamba ukishaweka pesa zako kwenye skrill account unaweza enda kwenye bank yoyote na ATM CARD yako ukawithdraw pesa zikatoka? Au sijakupata vizuri!!
 
Mkuu does it mean kwamba ukishaweka pesa zako kwenye skrill account unaweza enda kwenye bank yoyote na ATM CARD yako ukawithdraw pesa zikatoka? Au sijakupata vizuri!!
Ahaaa, ukiwa na pesa kwa skrill na unataka kuzitoa kwa bank unazihamisha tu kwenda bank na kuzitoa chap.
Hii ni sawa na kuhamisha pesa toka m pesa kwenda bank ili utoe kwa atm
 
Ahaaa, ukiwa na pesa kwa skrill na unataka kuzitoa kwa bank unazihamisha tu kwenda bank na kuzitoa chap.
Hii ni sawa na kuhamisha pesa toka m pesa kwenda bank ili utoe kwa atm

Oooh OK. So yenyewe haina intervention za Akina BoT na blaa blaa zao??
 
Ukisha jiunga na Payoneer watakutumia mastercard ndani ya siku 10 za kazi.
Hapa bongo tunia I&M bank upewe mastercard isiyo na ac ambayo utakuwa unajaza dolari zako na kumtumia broker kupitia skrill
Mkuu na kujaza dollar kwny hyo MasterCard ambayo haina ac unajazaje sasa pesa au ndo unatumia local bank ac ambayo inasupport online transactions kujaza kwny hyo mastercard au kuna njia nyingine?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…