hindustan
Senior Member
- Oct 15, 2014
- 184
- 181
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sehem natakiwa kujaza acc type,najaza nn?M pesa kenya wako na deal na skrill lkn tz bado but baada najua m pesa tz itaunganishwa. Kuna option ya ku add akaunt uta add pia
Mkuu Bavaria hii kitu haifunguki aisee, kama hutajali naomba nitumie kwa email fredmlay@gmail.com ikiwa kwenye excelDone.
How to use it.
Green - Bullish
Red - Bearish
Partial Green - Partial Bullish
Partial Red - Partial Bearish
Not all the time the sheet works. Don't rely on it all the time, but it works most of the time..
You need also to test it and incorporate to your trading strategy.
Don't copy and paste.
The fundamental side can be changing most of the time and doesn't stick to one pair per see. So, news pay not affect the pair started on the sheet.
So be careful with it, it's not a dogma to stick to it.
Be flexible.
safi nijulishe hili mana na mimi ni muathirika wa NBCCRDB waliblock pesa zangu, hawakujua kuwa wananipa akili, sasa natumia mastercard nawithdrawal as mtalii tena kwa rate sahihi na sio za local banks.
Hakuna kuchunguliana tena
SAFI SWALI LA MSINGI, nakufuatilia mdauHiyo pioneerbank of america inatawi hapa bongo au ndo inakuaje kupata MasterCard yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
safi mkuu bado hujatueleza jinsi ya kupata mastercard ya payoneer, na pi je ni bank zote wanakubali hii huduma pili ni benk gani unatumia baada ya kuhama CRDB kama hutojali mana mimi natumia equity BankHizi huduma nimezijua baada ya kushikiliwa pesa na CRDB. ndipo nikapewa siri na rafiki zangu namna ya kuepukana na suluba hizi.
Skrill ac ni dakika chache unafungua na inakubalika na broker karibu wote.
Payoneer pia sio ngumu kufungua, ujiandae ku upload:
1.Bank ac and banking statement,
2.Swift code ya bank yako..mfano crdb ni corutztz
3. ID yako eg pasport, driving l .nk
4. Physical address(not p.o.box) eg livingstone str. Dar.
5. Maelezo ya biashara..jibu ni ONLINE WORKING AND FOREX. vinginevyo utakwama, ukitaja biashara wanataka na link
Hayo ni mambo muhimu zaidi. Ukikwama nicheki
Aisee hiii mambo haifungukDone.
How to use it.
Green - Bullish
Red - Bearish
Partial Green - Partial Bullish
Partial Red - Partial Bearish
Not all the time the sheet works. Don't rely on it all the time, but it works most of the time..
You need also to test it and incorporate to your trading strategy.
Don't copy and paste.
The fundamental side can be changing most of the time and doesn't stick to one pair per see. So, news pay not affect the pair started on the sheet.
So be careful with it, it's not a dogma to stick to it.
Be flexible.
Ukisha jiunga na Payoneer watakutumia mastercard ndani ya siku 10 za kazi.safi mkuu bado hujatueleza jinsi ya kupata mastercard ya payoneer, na pi je ni bank zote wanakubali hii huduma pili ni benk gani unatumia baada ya kuhama CRDB kama hutojali mana mimi natumia equity Bank
Je kwenye simu inaweza funguka mkuuu...??.Wote mnaasema attachment ya Bavaria kuwa haifunguki, fanyeni hivi. Hiyo attachment imekuwa compressed na software ya WINRAR, na ili kuona kilichomo ndani ambacho ni excel yakupasa uiextract kwa software husika. So ili uifungue, download WINRAR kisha install katika PC yako. Then utaweza kuiextract na kuiona excel iliyo ndani yake.
kifanikiwa nijulishe ili na mimi nijiunge
Hizi huduma nimezijua baada ya kushikiliwa pesa na CRDB. ndipo nikapewa siri na rafiki zangu namna ya kuepukana na suluba hizi.
Skrill ac ni dakika chache unafungua na inakubalika na broker karibu wote.
Payoneer pia sio ngumu kufungua, ujiandae ku upload:
1.Bank ac and banking statement,
2.Swift code ya bank yako..mfano crdb ni corutztz
3. ID yako eg pasport, driving l .nk
4. Physical address(not p.o.box) eg livingstone str. Dar.
5. Maelezo ya biashara..jibu ni ONLINE WORKING AND FOREX. vinginevyo utakwama, ukitaja biashara wanataka na link
Hayo ni mambo muhimu zaidi. Ukikwama nicheki
Ahaaa, ukiwa na pesa kwa skrill na unataka kuzitoa kwa bank unazihamisha tu kwenda bank na kuzitoa chap.Mkuu does it mean kwamba ukishaweka pesa zako kwenye skrill account unaweza enda kwenye bank yoyote na ATM CARD yako ukawithdraw pesa zikatoka? Au sijakupata vizuri!!
Ahaaa, ukiwa na pesa kwa skrill na unataka kuzitoa kwa bank unazihamisha tu kwenda bank na kuzitoa chap.
Hii ni sawa na kuhamisha pesa toka m pesa kwenda bank ili utoe kwa atm
Hii ni sawa na paypal ,au worldremit nk mkuu, online tuOooh OK. So yenyewe haina intervention za Akina BoT na blaa blaa zao??
Mkuu na kujaza dollar kwny hyo MasterCard ambayo haina ac unajazaje sasa pesa au ndo unatumia local bank ac ambayo inasupport online transactions kujaza kwny hyo mastercard au kuna njia nyingine?Ukisha jiunga na Payoneer watakutumia mastercard ndani ya siku 10 za kazi.
Hapa bongo tunia I&M bank upewe mastercard isiyo na ac ambayo utakuwa unajaza dolari zako na kumtumia broker kupitia skrill