Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wako slow sana,fxtm wako vizuri sana kwny customer service,wako whatsapp na telgrm,hawa tickmill wanataka utume msg ujibiwe later wkt ttzo linaweza kurekebishwa haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma kuanzia page ya kwanza... Nikaja huku mwisho, lakin yapata miez mitatu sasa tangu hii thread ianze, je updates mpaka sasa ni ipi!?

Ofisi zimefunguliwa..? Nataka nijue hilo ili na mm nianze kusoma vitabu kwa uhakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fungua kama page tatu nyuma utapata updates

love thé love or hâte thé love.....
 

Attachments

Dah! Aisee baada ya kuhifadhi cku nyingi page iliokua na hizo video leo nikapata chance bwana ya kuzdowload na kuziangalia ndomaana nimeamua kuquote hii comment yako leo hii baada ya kuiangalia hiyo video ya kwanza hapo..
Hilo pindi lilikua la ukweli sana jamaa anatiririka utam kinoma kweli too bad audio imekata ila it's one of the best webinar nlizowahi kuziona!! Jamaa anaelekeza vizuri sana!!

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
MREJESHO

Siku ya ijumaa nilioanza rasmi kutrade, nilipiga kama usd 10 ndani ya dk tuuu... kiwewe kikanipata nikaona mchezo si ndo huu nikafungua position nyingi nikapigwa faida yote na kuloose ka usd 3.4 hivi.

N.B. Mchezo huu Hauhitaji hasira



Hii trade ukiwa siriazi unaweza ukawa milionea ndani ya saa kadhaa tu.

Thanks mkuu [HASHTAG]#ONTARIO[/HASHTAG] [HASHTAG]#BAVARIA[/HASHTAG] [HASHTAG]#LODRICK[/HASHTAG]



 
Ijumaa ni siku nzuri ukiweza kuielewa news vizuri,
Ila ukikosea na kufuata hisia utajikuta unalia tu.
Waliofanya analysis nzuri ijumaa leo wanashangilia tu.

love thé love or hâte thé love.....
 
hongera mkuu,hata hivyo ni hatua pia,mpk desemba,mchezo utakua umeeleweka
 
Ijumaa ni siku nzuri ukiweza kuielewa news vizuri,
Ila ukikosea na kufuata hisia utajikuta unalia tu.
Waliofanya analysis nzuri ijumaa leo wanashangilia tu.

love thé love or hâte thé love.....



Mkuu ebu naomba link ya major economic news calender kama unayo na kama hutojalia mkuu.. .kuanzia US...UK....JP...Eurozone...na kwingineko mkuu..
 

Mkuu ni video gani hiyo unazungumzia? Hebu share link hapa watu tupate hayo madini.
 
samahani wakuu hivi hakuna sehemu unayoweza kudeposit kupitia mitandao yetu kama vile
m-pesa
tigo.-pesa?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…