pappilon
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 3,192
- 3,559
Ukifungua live chat muite jamaa anaitwa Paul....utaunganishwa naye...jamaa yuko poa sana atakuelekeza na kukusaidia chochote utakachukuwa umekwama..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako slow sana,fxtm wako vizuri sana kwny customer service,wako whatsapp na telgrm,hawa tickmill wanataka utume msg ujibiwe later wkt ttzo linaweza kurekebishwa haraka.Ukikwama chat nao live kama alivyosuggest mkuu hapo.. Kuna mtu nae alisumbuliwa kama wewe alikusanya bills, bank statement lakn zaid ya mara tano wakawa bado wanamwambia wanataka proof of residence alivyochat nao siku hiohio waka approve
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha haa,anza kusoma vitabu,hata mm wkt naanza niliona nyota nyota tu.Wakuu mi sijui nianzie wapi kwa kweli, halaf Uzi umekuwa mrefu. Najaribu kusoma naona madini matupu, mpaka najihic kupata papara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fungua kama page tatu nyuma utapata updatesNimesoma kuanzia page ya kwanza... Nikaja huku mwisho, lakin yapata miez mitatu sasa tangu hii thread ianze, je updates mpaka sasa ni ipi!?
Ofisi zimefunguliwa..? Nataka nijue hilo ili na mm nianze kusoma vitabu kwa uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaahhh.... Nilishapita mkuu !... Asante.... Ila hvo vtabu vnapatikana wap ???
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums mngeweka link za vitabu vilivyopendekezwa kwenye post ya aliyeanzisha thread ili kurahisisha utafutaji maana Uzi ni mreefu
Dah! Aisee baada ya kuhifadhi cku nyingi page iliokua na hizo video leo nikapata chance bwana ya kuzdowload na kuziangalia ndomaana nimeamua kuquote hii comment yako leo hii baada ya kuiangalia hiyo video ya kwanza hapo..Aisee hiyo video ya kwanza jamaa kamwaga booonge la pindi. Tena kwa live trade alikuwa anarekodi hilo indi. Bahati mbaya wakati naendelea kufurahia pindi Dakika ya 33 audio ikakatika. Ila so far, nimeongeza kitu kichwani.
Ngoja nianze kuangalia second video. Nimesubscribe kabisa na hiyo channel ya urbanfx.
Ijumaa ni siku nzuri ukiweza kuielewa news vizuri,MREJESHO
Siku ya ijumaa nilioanza rasmi kutrade, nilipiga kama usd 10 ndani ya dk tuuu... kiwewe kikanipata nikaona mchezo si ndo huu nikafungua position nyingi nikapigwa faida yote na kuloose ka usd 3.4 hivi.
N.B. Mchezo huu Hauhitaji hasira
View attachment 560106
Hii trade ukiwa siriazi unaweza ukawa milionea ndani ya saa kadhaa tu.
Thanks mkuu [HASHTAG]#ONTARIO[/HASHTAG] [HASHTAG]#BAVARIA[/HASHTAG] [HASHTAG]#LODRICK[/HASHTAG]
hongera mkuu,hata hivyo ni hatua pia,mpk desemba,mchezo utakua umeelewekaMREJESHO
Siku ya ijumaa nilioanza rasmi kutrade, nilipiga kama usd 10 ndani ya dk tuuu... kiwewe kikanipata nikaona mchezo si ndo huu nikafungua position nyingi nikapigwa faida yote na kuloose ka usd 3.4 hivi.
N.B. Mchezo huu Hauhitaji hasira
View attachment 560106
Hii trade ukiwa siriazi unaweza ukawa milionea ndani ya saa kadhaa tu.
Thanks mkuu [HASHTAG]#ONTARIO[/HASHTAG] [HASHTAG]#BAVARIA[/HASHTAG] [HASHTAG]#LODRICK[/HASHTAG]
Ijumaa ni siku nzuri ukiweza kuielewa news vizuri,
Ila ukikosea na kufuata hisia utajikuta unalia tu.
Waliofanya analysis nzuri ijumaa leo wanashangilia tu.
love thé love or hâte thé love.....
Dah! Aisee baada ya kuhifadhi cku nyingi page iliokua na hizo video leo nikapata chance bwana ya kuzdowload na kuziangalia ndomaana nimeamua kuquote hii comment yako leo hii baada ya kuiangalia hiyo video ya kwanza hapo..
Hilo pindi lilikua la ukweli sana jamaa anatiririka utam kinoma kweli too bad audio imekata ila it's one of the best webinar nlizowahi kuziona!! Jamaa anaelekeza vizuri sana!!
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Nenda comment no 3869.. Alizipost Bavaria utazipata zote hapo.Mkuu ni video gani hiyo unazungumzia? Hebu share link hapa watu tupate hayo madini.
Nenda playstore pakua app inaitwa MyfxbookMkuu ebu naomba link ya major economic news calender kama unayo na kama hutojalia mkuu.. .kuanzia US...UK....JP...Eurozone...na kwingineko mkuu..
https://www.dailyfx.com/calendarMkuu ebu naomba link ya major economic news calender kama unayo na kama hutojalia mkuu.. .kuanzia US...UK....JP...Eurozone...na kwingineko mkuu..
Nitarudi kukujibu niko biz kidogo..nikichelewa nikumbushe