Eliya Dawa
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 270
- 164
1.Hakikisha una invest 10% ya mtaji wako 2.pia invest maeneo atleast 5 kudiversify risk 3.tambua siku sahihi ya kuinvest(mfano siku bora za kuinvest ni jumanne,juma5 na nusu siku ya ijumaa) 4.pia tambua masaa sahii ya kuinvest(mfano kwa major markets,exotic n.k) 5.invest baadaya ya taarifa za kiuchumi na kibiashara za ulimwengu na sio kabla 6.kuwa na uhakika na unachokifanya kuepuka hasara na ili kutofautisha kati ya forex na kamali
Sent using Jamii Forums mobile app
Pitia uzi huu juu nimesaha ni post namba gani? Ila kwa manufaa yako soma uzi huu wote utapata mwanga kupitia comments za watu walio changia na utakutana na link za vitabu hivyo
ndio.mkuuu azija ingia mpaka leo na nimeshaenga mpaka nimesha enda NMB branch moja apa kitaaa nikawaielezea wakajiambia awajui dah apo ndipo nimeona bongo bado snaMkuu mpaka nimetetemeka....ila Mungu mkubwa kwa bidii na muongozo wenu mliotangukia kujua hii Biashara hakika tutafika....sijawai kusema sana Kuhusu shukrani zangu kwa mkuu Ontario kwa kuileta hii ishu hapa Jf kwani sina maneno mazuri sana ya kutoa hizo shukrani....ila Mungu wangu unajua kilicho moyoni mwangu Kuhusu huyu Kijana...
mkuu shukrani, nitazingatia..ila nina swali jingine..kuna hii trailing stop, hii ni aina ya stop loss ambayo ina lock in profit zako baada ya price ku move kwenye position yako uliyoamua, sasa mimi leo (Alhamisi) nime sell USDJPY at 109.757 nimeset take profit kwenye 109.188, nika set pia trailing stop ya 40 points..hii inamaanisha inge lock profit zangu kila price inapo move 40 points au 4 pips kwenda upande wangu, ila ajabu position yangu imekuwa locked kwenye 109.688 na price ilishuka sana leo hadi 109.153 hivi..imenikosesha hela nyingi, tatizo ni nini?Thompson ni hivi.... hapo ishu ni setup ya stop-loss umeikosea katika mazingira haya: Wakati una sell hiyo pair ilikuwa kwenye range, kwa hiyo ilitakiwa uweze ku- identify key technical levels za hiyo timeframe (15m)...na maanisha support and resistance. key technical levels huweza kusaidia kupata key price levels for setting stop-loss order. when you are setting stop-loss, you also need to focus on margin of error. Margin of error is just a distance from key price levels where u think retest can happen and can not hit your stop-loss.
Read on Margin of error au error of margin .....utaelewa ishu yako.. Its very important, mana unaweza ona ndege uliyemkamata anaenda hivihivi baada ya ku hit stop-loss.
mkuu shukrani kwa maelezo mazuri sana, nitazingatia..ila nina swali jingine..kuna hii trailing stop, hii ni aina ya stop loss ambayo ina lock in profit zako baada ya price ku move kwenye position yako uliyoamua, sasa mimi leo (Alhamisi) nime sell USDJPY at 109.757 nimeset take profit kwenye 109.188, nika set pia trailing stop ya 40 points..hii inamaanisha inge lock profit zangu kila price inapo move 40 points au 4 pips kwenda upande wangu hadi pale ingefikia 109.188, ila ajabu position yangu imekuwa closed kwenye 109.688 na price ilishuka sana leo hadi 109.153 yaani ilipitiliza hadi ile take profit yangu.imenikosesha hela nyingi, tatizo ni nini?Mkuu mbona graph ilijieleza vizuri mno hapo kati ya 17:00 na 17:30 ulikua una liquidity kubwa mnoo.tuje kwenye swala lako sasa saa 13:00 hadi half an hour next ulikua na horizontal trend ambapo kitaalam unakua na risk kubwa ya loss kwasababu hujui trend itaenda wapi either upward au downward.ulichagua set muda wa saa moja lakini stop loss yako ililazimisha business yako ku shutdown next 20 minutes.naikitokana na stop loss yako ilikua ni ndogo mnoo.unashauriwa stop loss kubwa ya walau difference ya 5 kwenye fourth octate(tarakimu ya 4 baadaya desimali)mfano ungeweka 0.30361.umepata hasara kutokana na upward trend(inflation) ya ghafla dakika hizo japo graph haikukuonyesha kutokana na time frame yako uliweka 15minutes(M15)lakini katika dakika hizo chache ulizopigwa pesa hizo inaonekana pesa ilishuka thaman kwa kasi muda huo mchache(ukitaka uniamini review tena hicho kipande kwa time frame ya 1 minute (M1) utanielewa namaanisha nn).Kwa ushauri wa kitaaluma nakushauri pitia pitia kusoma trends za graph na kujua trend ipi inafaa kubuy au kusell au kusell short.pia pitia pitia jinsi ya kuitambua liquidity ambapo ndo pip(profit interest point) ambapo ndo pakupigia pesa au kwa lugha nyingine ndo profit kabla ya kuzidishiwa na multiplier(leverage).usikate tamaa lakini jifunze kutokana na makosa naamin next time utafanya vizuri.Pia kuhusu siku ya kutrade upo vizur kwasababu best days za kutrade ni jumanne,jumatano na ijumaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari mkuu..Uko sahihi...marekebisho kidogo;
Iko hivi, pesa ya kwanza unayoituma kwa broker mfano $100, lazima uwithidrawal kwa same acc uliyotumia kumtumia broker wako, ndipo zinazofuata unaweza kutuma kwa skrill a/c. Hivyo ninyi mnaoanza kwa ufahamu huu msifanye makosa kama mimi niliyeanza kwa CRDB.
Tuma kwa skrill a/c yako ndipo utume kwa broker ili iwe rahisi kuwithdrawal bila kulazimika kurudisha kwa local a/c.
Kuhususu mastercard ya I&M bank na barclays ni kwa ajili ya kudeposit $ zako tu kwa ajili ya kuzituma