Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
1.Hakikisha una invest 10% ya mtaji wako 2.pia invest maeneo atleast 5 kudiversify risk 3.tambua siku sahihi ya kuinvest(mfano siku bora za kuinvest ni jumanne,juma5 na nusu siku ya ijumaa) 4.pia tambua masaa sahii ya kuinvest(mfano kwa major markets,exotic n.k) 5.invest baadaya ya taarifa za kiuchumi na kibiashara za ulimwengu na sio kabla 6.kuwa na uhakika na unachokifanya kuepuka hasara na ili kutofautisha kati ya forex na kamali

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa wale wavivu wa kusoma, huu ni muhtasari maridhawa. Baada ya hapo unaenda kuongezea nyanga vitabuni tena.
 
8c8c0b979879f3b8ba060900a916a10e.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mpaka nimetetemeka....ila Mungu mkubwa kwa bidii na muongozo wenu mliotangukia kujua hii Biashara hakika tutafika....sijawai kusema sana Kuhusu shukrani zangu kwa mkuu Ontario kwa kuileta hii ishu hapa Jf kwani sina maneno mazuri sana ya kutoa hizo shukrani....ila Mungu wangu unajua kilicho moyoni mwangu Kuhusu huyu Kijana...
ndio.mkuuu azija ingia mpaka leo na nimeshaenga mpaka nimesha enda NMB branch moja apa kitaaa nikawaielezea wakajiambia awajui dah apo ndipo nimeona bongo bado sna
Hizo OTP huwa zinatumwa as sms ya kawaida tu aijaingia?

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah yule tapeli aisee acha tu sasa kwa mini anajikosha tena? Inamaana haoni hata aibu?

Any way ngoja niendelee na msuli tapeli nae atapita tu mana tudhakatishwa tamaa sana kuanzia may paka Leo tupo tu na bado watakuja tu but we stick in a plan and the best plan in kwamba
Afe kipa Afe beki ila Forex must be understood!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa sauti ya mkuu ONTARIO "kutosoma vitabu katika forexhakujawahi kumuacha trader SALAMA "....all in all tuko pamoja kaka..... Mwenyezi MUNGU azidi kukupa nguvu ya kutupigania wahenga wenzako pia shukrani kwa kutuokoa kwny midomo ya mamba...... Maana wapo weng,wakitega mabomu we unafyatua hahahaha.... USIOGOPE MAADUI, NA STARRING HAUWAWI. .. .......nko live tickmill yangu.... Huku namsubri sir.J
jam wonderz.png
 
Wadau leo nime test kusoma chart tu na ku try kucheck trend inavokwenda especially nili base sana kwenye Price Action and it's history za currency pairs tofauti tofauti,nikawa kama scalper hivi basi zimejipa kinoma nimekula pips za kutosha kwenye demo kama ni live account kwa pesa za madafu it's almost 1 million hivi just today only today.jamani Chief Ontario anavyosisitiza kusoma sio utani ni Kweli kabisa.knowlwdge and skills abt the chart and other stuffs abt forex is very crucial.Tusome zaidi jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thompson ni hivi.... hapo ishu ni setup ya stop-loss umeikosea katika mazingira haya: Wakati una sell hiyo pair ilikuwa kwenye range, kwa hiyo ilitakiwa uweze ku- identify key technical levels za hiyo timeframe (15m)...na maanisha support and resistance. key technical levels huweza kusaidia kupata key price levels for setting stop-loss order. when you are setting stop-loss, you also need to focus on margin of error. Margin of error is just a distance from key price levels where u think retest can happen and can not hit your stop-loss.

Read on Margin of error au error of margin .....utaelewa ishu yako.. Its very important, mana unaweza ona ndege uliyemkamata anaenda hivihivi baada ya ku hit stop-loss.
mkuu shukrani, nitazingatia..ila nina swali jingine..kuna hii trailing stop, hii ni aina ya stop loss ambayo ina lock in profit zako baada ya price ku move kwenye position yako uliyoamua, sasa mimi leo (Alhamisi) nime sell USDJPY at 109.757 nimeset take profit kwenye 109.188, nika set pia trailing stop ya 40 points..hii inamaanisha inge lock profit zangu kila price inapo move 40 points au 4 pips kwenda upande wangu, ila ajabu position yangu imekuwa locked kwenye 109.688 na price ilishuka sana leo hadi 109.153 hivi..imenikosesha hela nyingi, tatizo ni nini?
 
Mkuu mbona graph ilijieleza vizuri mno hapo kati ya 17:00 na 17:30 ulikua una liquidity kubwa mnoo.tuje kwenye swala lako sasa saa 13:00 hadi half an hour next ulikua na horizontal trend ambapo kitaalam unakua na risk kubwa ya loss kwasababu hujui trend itaenda wapi either upward au downward.ulichagua set muda wa saa moja lakini stop loss yako ililazimisha business yako ku shutdown next 20 minutes.naikitokana na stop loss yako ilikua ni ndogo mnoo.unashauriwa stop loss kubwa ya walau difference ya 5 kwenye fourth octate(tarakimu ya 4 baadaya desimali)mfano ungeweka 0.30361.umepata hasara kutokana na upward trend(inflation) ya ghafla dakika hizo japo graph haikukuonyesha kutokana na time frame yako uliweka 15minutes(M15)lakini katika dakika hizo chache ulizopigwa pesa hizo inaonekana pesa ilishuka thaman kwa kasi muda huo mchache(ukitaka uniamini review tena hicho kipande kwa time frame ya 1 minute (M1) utanielewa namaanisha nn).Kwa ushauri wa kitaaluma nakushauri pitia pitia kusoma trends za graph na kujua trend ipi inafaa kubuy au kusell au kusell short.pia pitia pitia jinsi ya kuitambua liquidity ambapo ndo pip(profit interest point) ambapo ndo pakupigia pesa au kwa lugha nyingine ndo profit kabla ya kuzidishiwa na multiplier(leverage).usikate tamaa lakini jifunze kutokana na makosa naamin next time utafanya vizuri.Pia kuhusu siku ya kutrade upo vizur kwasababu best days za kutrade ni jumanne,jumatano na ijumaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu shukrani kwa maelezo mazuri sana, nitazingatia..ila nina swali jingine..kuna hii trailing stop, hii ni aina ya stop loss ambayo ina lock in profit zako baada ya price ku move kwenye position yako uliyoamua, sasa mimi leo (Alhamisi) nime sell USDJPY at 109.757 nimeset take profit kwenye 109.188, nika set pia trailing stop ya 40 points..hii inamaanisha inge lock profit zangu kila price inapo move 40 points au 4 pips kwenda upande wangu hadi pale ingefikia 109.188, ila ajabu position yangu imekuwa closed kwenye 109.688 na price ilishuka sana leo hadi 109.153 yaani ilipitiliza hadi ile take profit yangu.imenikosesha hela nyingi, tatizo ni nini?
 
Uko sahihi...marekebisho kidogo;
Iko hivi, pesa ya kwanza unayoituma kwa broker mfano $100, lazima uwithidrawal kwa same acc uliyotumia kumtumia broker wako, ndipo zinazofuata unaweza kutuma kwa skrill a/c. Hivyo ninyi mnaoanza kwa ufahamu huu msifanye makosa kama mimi niliyeanza kwa CRDB.
Tuma kwa skrill a/c yako ndipo utume kwa broker ili iwe rahisi kuwithdrawal bila kulazimika kurudisha kwa local a/c.

Kuhususu mastercard ya I&M bank na barclays ni kwa ajili ya kudeposit $ zako tu kwa ajili ya kuzituma
Habari mkuu..

najua unashauritusi mtumie crdb kutokana na hudumazake dhoofu..

Kuna tatizo kama mtu atafungua MasterCard a/c ya crdb akawa anaitumia kwa lengo la kudeposit fund kwa skrill tu?, kwenye kutoa atumie Payoneer MC.....
 
Forex bible inanifungua kweli hapa,napata mkusanyiko wa packages nyingi sana kuhusu forex.ontario anavosisitiza tusome kweli anajua nini utapata.ngoja nikusanye madini niweze kuyaaply yote na sio nusunusu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom