Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Habari mkuu..

najua unashauritusi mtumie crdb kutokana na hudumazake dhoofu..

Kuna tatizo kama mtu atafungua MasterCard a/c ya crdb akawa anaitumia kwa lengo la kudeposit fund kwa skrill tu?, kwenye kutoa atumie Payoneer MC.....
Mkuu hadi sasa sijui hatima ya pesa yangu imeshikiliwa na CRDB...NARUDIA TENA..IKIMBIENI CRDB KAMA ZINAA
 
Mkuu, ebe tuweke wazi.. Maana na Mimi huwa natumia crdb na kwa sasa kuna mpunga was kutosha huko.. Niambie ninii ishu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukirudi nyuma kidogo page chache nimeeleza sana matatizo ya local banks, they are not friend user katika hizi online business. Ukifanya transaction huwa wanahold pesa. Fuatilia kwa umakini nilichoeleza...natamani nirudie hapa lkn nakimbia kazini labda utupie maswali yako pm ntayakuta...humu nimeeleza sana sana
 
Wadau wa tickmill,hivi ukiikuza welcome account wanaruhusu kutoa pesa yako ndani ya muda gn?

Sent using Jamii Forums mobile app
- Hakuna muda maalum, hatakama utaikuza kwa siku moja na kufikia kiwango ambacho kimewekwa.
- Kigezo ni kuikuza hadi ufikishe USD 130
- Baada ya kuwa umefikisha USD 130

(a) Watachukua USD30 zao
(b) Utabakiwa na USD 100 faida yako - ambayo inatakiwa uihamishie kwenye real account yako.
  • Login Kwenye Promo Account ($30 Welcome Account) yako.
  • Click OPEN ACCOUNT na chagua kati ya CLASSIC (haina cammision) au ECN PRO (ina camission)


  • Rudi kwenye Promo account na chagua internal transfer


  • Hapo utaweza kuhamisha faida USD 100 kuingia kwenye Real account yako.
Hapo uamuzi ni wako uitoe hiyo faida, au uendelee kuifanyia trading kwenye real account yako.
 
Nashukuru mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya yote ntayajua... Ngoja niwe vzur kwa theory ya trade, na kutumia demos... Ntakuchek unibrush kwa haya ya accounts

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuhhh yaani baada ya Ontario kujitokeza hapa tutaowaona sana wataalaam wengi wa Forex.. Walikuwa wapi siku zote?? Never Trust Them!!
Pitia humu jf vizuri kuna tangazo la 2016 march mkuu, hawajaanza leo. Kuna uzi wa siku nyingi but haukuwa na mwamko kama huu wa Ontario
Mkuu nicheki plz
 
Kwani yeye Ontario aliifanya hii biashara akiwa wapi? Halafu ni biashara ya hela za kigeni zaidi
 
Good!!

Hiyo tunaita pure price action!!

Tafuta kitabu kinaitwa NAKED FOREX TRADER utajifunza mengi sana!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…