- Hakuna muda maalum, hatakama utaikuza kwa siku moja na kufikia kiwango ambacho kimewekwa.
- Kigezo ni kuikuza hadi ufikishe USD 130
- Baada ya kuwa umefikisha USD 130
(a) Watachukua USD30 zao
(b) Utabakiwa na USD 100 faida yako - ambayo inatakiwa uihamishie kwenye real account yako.
- Login Kwenye Promo Account ($30 Welcome Account) yako.
- Click OPEN ACCOUNT na chagua kati ya CLASSIC (haina cammision) au ECN PRO (ina camission)
View attachment 563035
- Rudi kwenye Promo account na chagua internal transfer
View attachment 563038
- Hapo utaweza kuhamisha faida USD 100 kuingia kwenye Real account yako.
Hapo uamuzi ni wako uitoe hiyo faida, au uendelee kuifanyia trading kwenye real account yako.
View attachment 563045