Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Habari mkuu..

najua unashauritusi mtumie crdb kutokana na hudumazake dhoofu..

Kuna tatizo kama mtu atafungua MasterCard a/c ya crdb akawa anaitumia kwa lengo la kudeposit fund kwa skrill tu?, kwenye kutoa atumie Payoneer MC.....
Mkuu hadi sasa sijui hatima ya pesa yangu imeshikiliwa na CRDB...NARUDIA TENA..IKIMBIENI CRDB KAMA ZINAA
 
Mkuu, ebe tuweke wazi.. Maana na Mimi huwa natumia crdb na kwa sasa kuna mpunga was kutosha huko.. Niambie ninii ishu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukirudi nyuma kidogo page chache nimeeleza sana matatizo ya local banks, they are not friend user katika hizi online business. Ukifanya transaction huwa wanahold pesa. Fuatilia kwa umakini nilichoeleza...natamani nirudie hapa lkn nakimbia kazini labda utupie maswali yako pm ntayakuta...humu nimeeleza sana sana
 
Wadau wa tickmill,hivi ukiikuza welcome account wanaruhusu kutoa pesa yako ndani ya muda gn?

Sent using Jamii Forums mobile app
- Hakuna muda maalum, hatakama utaikuza kwa siku moja na kufikia kiwango ambacho kimewekwa.
- Kigezo ni kuikuza hadi ufikishe USD 130
- Baada ya kuwa umefikisha USD 130

(a) Watachukua USD30 zao
(b) Utabakiwa na USD 100 faida yako - ambayo inatakiwa uihamishie kwenye real account yako.
  • Login Kwenye Promo Account ($30 Welcome Account) yako.
  • Click OPEN ACCOUNT na chagua kati ya CLASSIC (haina cammision) au ECN PRO (ina camission)
upload_2017-8-11_8-32-4.png

  • Rudi kwenye Promo account na chagua internal transfer
upload_2017-8-11_8-36-13.png

  • Hapo utaweza kuhamisha faida USD 100 kuingia kwenye Real account yako.
Hapo uamuzi ni wako uitoe hiyo faida, au uendelee kuifanyia trading kwenye real account yako.
upload_2017-8-11_8-41-1.png
 
- Hakuna muda maalum, hatakama utaikuza kwa siku moja na kufikia kiwango ambacho kimewekwa.
- Kigezo ni kuikuza hadi ufikishe USD 130
- Baada ya kuwa umefikisha USD 130

(a) Watachukua USD30 zao
(b) Utabakiwa na USD 100 faida yako - ambayo inatakiwa uihamishie kwenye real account yako.
  • Login Kwenye Promo Account ($30 Welcome Account) yako.
  • Click OPEN ACCOUNT na chagua kati ya CLASSIC (haina cammision) au ECN PRO (ina camission)
View attachment 563035

  • Rudi kwenye Promo account na chagua internal transfer
View attachment 563038

  • Hapo utaweza kuhamisha faida USD 100 kuingia kwenye Real account yako.
Hapo uamuzi ni wako uitoe hiyo faida, au uendelee kuifanyia trading kwenye real account yako.
View attachment 563045
Nashukuru mkuu

Haya yote ntayajua... Ngoja niwe vzur kwa theory ya trade, na kutumia demos... Ntakuchek unibrush kwa haya ya accounts

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuhhh yaani baada ya Ontario kujitokeza hapa tutaowaona sana wataalaam wengi wa Forex.. Walikuwa wapi siku zote?? Never Trust Them!!
Pitia humu jf vizuri kuna tangazo la 2016 march mkuu, hawajaanza leo. Kuna uzi wa siku nyingi but haukuwa na mwamko kama huu wa Ontario
Mkuu nicheki plz
 
Hivi wote tukikimbilia kufanya biashara ya Forex atanunua nani? Isitoshe sijaona nadharia ya kufanya biashara hii hapa kwetu Tz penye uchumi dhaifu usiokuwa na transactions nying za pesa za kigeni. S. Africa wana maviwanda (I doubt if they're not neuclear power) hivyo na mzunguko wake ni babu kubwa. Pale OR Tambo International airport kuna ndege zirukazo na kutua every passing minute from big cities all over the world. Huku kwetu angalia hata London kwenyewe huwezi kwenda moja kwa moja lazima uunganishe sehemu nyingine, hiyo biashara ya forex waachie wajukuu zenu, nyie kwanza fikirieni kulima chakula cha kuwatosha, tuwe na umeme wa uhakika, maji matibabu nk.
Kwani yeye Ontario aliifanya hii biashara akiwa wapi? Halafu ni biashara ya hela za kigeni zaidi
 
Wadau leo nime test kusoma chart tu na ku try kucheck trend inavokwenda especially nili base sana kwenye Price Action and it's history za currency pairs tofauti tofauti,nikawa kama scalper hivi basi zimejipa kinoma nimekula pips za kutosha kwenye demo kama ni live account kwa pesa za madafu it's almost 1 million hivi just today only today.jamani Chief Ontario anavyosisitiza kusoma sio utani ni Kweli kabisa.knowlwdge and skills abt the chart and other stuffs abt forex is very crucial.Tusome zaidi jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Good!!

Hiyo tunaita pure price action!!

Tafuta kitabu kinaitwa NAKED FOREX TRADER utajifunza mengi sana!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom