You're welcome mkuu...Mwezi mmoja uliopoita ndyo niliuona huu uzi na nikakutana na michango yako tofauti tofauti ukitoa analysis zako . Kiukweli nlikuwa naona chenga sikuwa na elewa chochote Zaidi ya kuona maluelue.
ila sasa nakuelewa Sana .
Lodrick Thomas pia kachangia pakubwa kunifanya niwe makini.
Same applies to USDJPY, ipo just above its over 2 month support. Trump akimsemea mbaya Kim Jong wiki hii, USD ita-plunge kuitafuta 105...na baadaye double digitsNice observation mkuu!!
Hapo ningekua mimi wala nisinge sell kwanza!!
What if ikatokea break-out na ikahama zone??
Hapo ninge-introduce sell-stop-order few pips below the current price, ili incase isipo-obey resistance then niwe safe!!
Kwa kuongezea tu...
Sasa hivi kuna dalili za USD kuingia vitani na bwana mapank (N. Korea), Incase ikitokea kuna uwezekano mkubwa dola ya marekani ikashuka sana!! Na kama ikishuka XAUUSD itakua so bullish na panaweza kuwa na possibily kubwa ya kuvunja hiyo zone!!
So, In such a scenario you can not be so certain! The safe way is to wait for the comfimation before you excute anything!!
Ni kweli mkuu!!Same applies to USDJPY, ipo just above its over 2 month support. Trump akimsemea mbaya Kim Jong wiki hii, USD ita-plunge kuitafuta 105...na baadaye double digits
Sent using Jamii Forums mobile app
Nice observation mkuu!!
Hapo ningekua mimi wala nisinge sell kwanza!!
What if ikatokea break-out na ikahama zone??
Hapo ninge-introduce sell-stop-order few pips below the current price, ili incase isipo-obey resistance then niwe safe!!
In such a scenario you can not be so certain! The safe way is to wait for the comfimation before you excute anything!!
Kwa kuongezea tu...
Sasa hivi kuna dalili za USD kuingia vitani na bwana mapank (N. Korea), Incase ikitokea kuna uwezekano mkubwa dola ya marekani ikashuka sana!! Na kama ikishuka XAUUSD itakua so bullish na panaweza kuwa na possibily kubwa ya kuvunja hiyo zone!!
Yeah kwl indicators zinalag but pia kama alivyosema mkuu Lodrick kuwa ataweka order then kama price ikishuka then itakuwa triggered..bt kwa kuingia direct unaweza ukapigwa loss kwa fakeout na stop loss ikawa touched...so my point ilikua kutoingia mapema ili kuepuka ku counter trend Maana Institution Traders nao wana Observe majority watafuata ili watumie hiyo chance then they leave the continuation stop loss zenu zikiwa triggered.Stochastic haina priority mbele ya price action, Sababu kubwa ni kwamba indicators zina lagging characteristic.
Asante mkuu nimesha karibia Tuko pamoja nna Kama wiki hivi nimeanza real account xm,You're welcome mkuu...
Infact, tulianza kipindi hichoo, ontario alipo post hii thread kwa mara ya kwanza kabisa. By then hatukujua hata EURUSD ina maana gani!!
Ila tukajifunza, na bado tunajifunza na tutaendelea kujifunza kadri uwezo utavyoruhusu!!
Pamoja sana + Thank you!!
The main point ni kwamba UNANGOJA CONFIRMATION!!Yeah kwl indicators zinalag but pia kama alivyosema mkuu Lodrick kuwa ataweka order then kama price ikishuka then itakuwa triggered..bt kwa kuingia direct unaweza ukapigwa loss kwa fakeout na stop loss ikawa touched...so my point ilikua kutoingia mapema ili kuepuka ku counter trend Maana Institution Traders nao wana Observe majority watafuata ili watumie hiyo chance then they leave the continuation stop loss zenu zikiwa triggered.
Hongera sana mkuu!!Asante mkuu nimesha karibia Tuko pamoja nna Kama wiki hivi nimeanza real account xm,
sijaweka salio natumia bonus Yao.
Nimeanza kutumia demo ya XM kwa MT5 ths wkend... Japo bado cjamaster vzur. Je wewe ulotumia kwa muda waonaje? Na watumia platform gan?Asante mkuu nimesha karibia Tuko pamoja nna Kama wiki hivi nimeanza real account xm,
sijaweka salio natumia bonus Yao.
demo sikutumia xm, platform natumia mt4.Nimeanza kutumia demo ya XM kwa MT5 ths wkend... Japo bado cjamaster vzur. Je wewe ulotumia kwa muda waonaje? Na watumia platform gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mwandishi wa stori hivi uko vizuri kaka jaribu kutunga stori kama uataweza ujipatie pesa piaKatika mapambano ya kujikwamua kiuchumi, ndani ya wingi wa fikra pevu za mafanikio zilizolala kwa kukosa mitaji,
katika nchi yenye rasimali nyingi za kusaidia mtu kufikia malengo yake, katika safari yenye moyo wa ujasiri wa kusongo mbele,
katika imani isiyokata tamaa, ndipo tunapokutana na watu wa kariba yako Ontario (May God bless u bro). Watu walioamua kuweka wazi jambo jema la mafanikio, linalohitaji uvumilivu na utulivu wa kujifunza pole pole.
Kwa mbaaaali nauona mwanga wa mafanikio.
Tutazidi kuvuta subira hadi siku ya kwanza ya safari yetu darasani itakapowadia.
Naendelea kufungua kitabu, ni page 297 ..."surf's up dudes"
Leverage: huandikwa kwa uwiano, mf, 1:10, 1:15..... Mpaka 1:200 na kuendelea.Naomba wakuu, pale unaposema kuwa leverage ni kubwa haiendani na mtaji wako inakuwaje? Na inapokuja kuipunguza iendane na mtaji wako unafanyaje? Naombeni ufafanuzi tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app