Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
hii fursa sisi wa mikoani ndo tushaikosa daaah!! pain

Unaonekana kuwa ni mtu wa kujikataa. Yaani unapenda kujisingizia mabaya tu. Mbaya zaidi una generalize..sisi wa mikoani. Assume Ontario angekuwa anaishi Kiteto.
Achana na meneno haya: yaani sisi...ona sisi...haya sio yetu....sisi wa hivihivi tu.

Kama mpambanaji tafuta njia yyte ili uipate hii elimu. Read books, start Demo, attend seminar za Ontario once started, etc

Thanks


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huwa upo makini utafikiri umekanyaga nyoka mpaka huwa nashindwa kukuelewa sijui unaongozwa na nini kumjua mbaya na mzuri.
Jamaa anataka kutumia ganda la ndizi hizi harakati ulizozianzisha hakika zinamejaaa upako maana majabari unayopitia siyo ya kitoto.
 
Hiyo Training ambayo inaweza kuanza wakati wowote kuna applications ambazo watu wamefanya tayari? Please naomba anayefahamu anisaidie
 
huuu uzi umekua kama sala yangu kabla ya kulala na baada ya kuamka lazima niupitie nisijepitwa na lolote,
mkuu ontario cjui unaiona hiyo side effect....
😉😛🙄 just kidding....
hahahah huu uzi yaani lazima nipite aisiii maana unaweza shangaa Kamanda Ontario akawaita watu ukajikuta umeachwa na ukichelewa kidogo tu unakuta page ya 400 kama haupiti mara kwa mara
 
Hiyo Training ambayo inaweza kuanza wakati wowote kuna applications ambazo watu wamefanya tayari? Please naomba anayefahamu anisaidie
Hapana. Tupo bize na vitabu kwanza kupata idea ya bizz yenyewe. Kuna vitabu kama 4 hv, unatakiwa uvisome na kuelewa, kabla hujawaza kuhusu hyo training... Usijali... Mie hata cha kwanza cjamaliza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninatumia instaforex demo... Najarb kuhamisha manually stop loss kuishusha, ninaposell, inagoma,... How do you guys set it.? Mana at the end inabidi nikae kuangalia nkiona naluz nklose postxn



Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is the advantage of this strategy over opening a single position with X10 leVerage...

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha lot size sio leverage mkuu. Kufungua same pair mara nyingi inasaidia endapo una equity ndogo ambayo broker hawezi kukuruhusu kutumia lot size kubwa. Faida nyingine ni uwezo wa kufunga partial positions and let others continue running. Huwezi kufanya hilo kama una lot size ya 1, but kama una ten 0.1 lot sizes unaweza kufunga chache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anhaaa.... Nimekunyaka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is the advantage of this strategy over opening a single position with X10 leVerage...

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu embu assume zote position zikaenda on the right way, na kila position moja ikapiga atleats $2, .. means $2*10POSITION=..... JIBU UNALO
ambapo ungekua na hiyo hiyo position moja ambapo ungekua na ile ile $2.
upo apo
 

Boss kapitie vitabu tena au muulize Ontario kama anapinga ninachokisema au kapitie comment yangu inayofuatia baada ya hiyo comment yangu
 
OK maana Yake anatumia trailing stop order. If that is a case, nafikiri yuko sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa mtizamo wangu ninaona ni vizuri kutumia Trailing Stop kama upo mbali na screen ila kama unafuatilia trend inavyoenda ni bora uwe unaimove SL kidogo kidogo kama unaelekea kwenye profit maana hiyo Trailing Stop inaweza wakati mwingine kukupunja faida yako
 
Mkuu naomba unisaidie simple definition ya trailing stop..tafadhal in swahili language

All men are self made [emoji123]
 
Mkuu naomba unisaidie simple definition ya trailing stop..tafadhal in swahili language

All men are self made [emoji123]
Kwa ninachokijua, trailing stop loss ni stop loss ambayo yenyewe inakuwa inatembea. Tofauti na ile ambayo tumeshaizoea kwamba ukishaweka basi ndo umeweka, hii yenyewe inakuwa inatembea kama soko litakuwa linaenda kama ambavyo ww umepanga. Yaani kwa maana nyingine kama ule mstari wa price utakuwa unapanda kwenda juu, mstari wa stop loss nao utakuwa unapanda kwenda juu kuufuata ule wa price kulingana na points ambazo wewe umeweka, na kama price itaamua kureverse basi stop loss haitarudi chini itatulia palepale. Unaweza ukaingia youtube ukaandia "how trailing stop works?" wameelezea hata usipoelewa maelezo utaona tu kitakachokuwa kinatokea kwenye graph....



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupata mkuu...kwaiyo inakua kama ina monitor price vile

Ngoja nipite youtube umenipa mwanga..thanks

All men are self made [emoji123]
 
Mbona hukutupatia Taarifa Kabla ya hii Taarifa ya Habari,we tangu 2004 mpaka Leo ulikaaga tu nayo moyoni,yaan kama ungeanzisha Uzi wako kwa kipindi hicho ili kuhamasisha Fursa hii nadhan ungesaidia Watu,au unapenda kuzungukwa na watu masikini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatumia MT4 au 5??? Una vipi?? Nime jitahd wee nimepata line moja (nyekundu,) mwenzie sijamwona
 
Mkuu.. hizo trend line unachoraje kwenye app (ya cm?)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…