wipem5
Member
- Jun 3, 2017
- 25
- 38
hii fursa sisi wa mikoani ndo tushaikosa daaah!! pain
Unaonekana kuwa ni mtu wa kujikataa. Yaani unapenda kujisingizia mabaya tu. Mbaya zaidi una generalize..sisi wa mikoani. Assume Ontario angekuwa anaishi Kiteto.
Achana na meneno haya: yaani sisi...ona sisi...haya sio yetu....sisi wa hivihivi tu.
Kama mpambanaji tafuta njia yyte ili uipate hii elimu. Read books, start Demo, attend seminar za Ontario once started, etc
Thanks
Mkuu viking.
Naomba na mimi nikupinge kama ifuatavyo. Stop inaweza ikafanya kazi mbili,
1. Itatumika kuzuia usipate hasara zaidi endapo price itakwenda against na plan zako. Na hii ndio kazi kubwa ambayo watu wengi wanatumia
2. Itatumika kusecure profits zako in case kama uliiadjust and price imegoma kuhit your take profit. Kwa mfano umeenter a long position and umeshakusanya pips kadhaa, price bado inapanda lkn bado haijafika kwenye TP. Unao uwezo wa kuadjust stop loss yako ili hata kama price haitahit TP then ikareverse, basi usipoteze pips zako ulizokuwa umekusanya. Vipi kama hujuadjust SL yako then price ikareverse kabla ya kuhit TP then ikarudi mpaka ikagusa tena stop loss, si utakuwa umeingia hasara???
STOP LOSS INAWEZA KUHAMISHIKA NA NDIO MAANA KUNA TRAILING STOP LOSS AMBAPO TOFAUTI YAKE NA STOP LOSS YA KAWAIDA NI KWAMBA TU YENYEWE INAHAMA AS THE PRICE MOVE ON YOUR SIDE
I stand to be corrected.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app