Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu.. hizo trend line unachoraje kwenye app (ya cm?)

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vzr kama utatumia computer kufanya analysis kwa ujumla. It is much easier than using a smartphone.
Kuchora hizo ingia kwnye chart tab kisha tap on the screen once then select alama flani to the left of + sign. Itakupeleka kwenye objects screen. Then tap the + sign on top, utaziona analysis aiding tools zote hapo. You select the object you want to use you c

e9d4317fcfc1ed45f394ad238ca81ee3.jpg


473299ca3459e6bdc8f868418c9afabb.jpg


291e03db56a80be10cb5a18eecbca5d8.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
CFDs ni fursa nzuri ukiifahamu lakini ni very risk unaweza kupoteza mtaji wako wote ndio maana kama mtoa mada alivyosema inabidi ujifunze kwa kusoma na upate mentor wa kukusaidia mimi nilijifunza tokea mwaka 2014 mpaka sasa naendelea pia nina ndoto ya kuweza kusajili hapa Tanzania ili tufundishe watu bila kuvunja sheria za nchi. Nipo tayari kusaidiana na wenzangu watu wajue, nimeshashiriki mashindano makubwa ya kimataifa na kufanya vyema kwa kuiwakilisha Tanzania.

Naona umejiunga tu juzi humu, bila shaka huu uzi ndo umekufanya ujiunge...Nakushauri nenda direct kwenye point yako maana naona kuna kitu umekikusudia
 
It seems you are a good scalper, seems you are trading H5 and H15...which is good for you, practise other strategies also
Ninatumia instaforex demo... Najarb kuhamisha manually stop loss kuishusha, ninaposell, inagoma,... How do you guys set it.? Mana at the end inabidi nikae kuangalia nkiona naluz nklose postxn

View attachment 568364

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuuu.....Lugha ya forex haijawai kumuacha mtu salama.
Yaani, we acha tu! Hapa mimi natoa macho tu!

Ila nadhani kusudi la mleta uzi kuna wanaoanza kulipoteza hapa

Mleta mada hasa hasa alitulenga sisi tusio na ABCs kuhusu hii biashara ili tujifunze taratibu na hatimaye atakayevutiwa na kuona anauwezo wa kuimudu ajifunze zaidi na aingie rasmi!

Sasa kuna watu humu tayari wanaifahamu biashara hii na wanatumia uzi huu kubadilishana ujuzi kitu kinachotuacha tusioelewa tunatoa macho tuu!

Ombi langu, wale ambao hii ni biashara yao na wanataka kubadilishana uzoefu wangeandaa uzi wao wakutanie huko ili wakija huku waje kumsaidia Ontario kutuelewesha elewesha sisi ambao bado tunahitaji kujifunza basics kwanza!

Ni hayo tu jamani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks nkwarisambu for your highlights. They real make sense

I have gone back to the books and read again and gained much more skills on the pattern

In some of the patterns I combined the head and shoulders look-like pattern with top down analysis and trend riding strategy (check the NZDUSD analysis I shared and back test yourself - the pattern, then do top down analysis from D1 and H1 and then ride the trend).
So it is a combination of head and shoulders formation, top down analysis and trend riding strategy.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu samahani ..naomba link ya ki(vi)tabu pamoja na video(s) ili nipate kuvisoma kwa undani zaid mkuu ..nipate kuelewa zaid na zaid. Ni hayo tu mkuu. .mengine badae!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
H1, AUD/CHF timing for last kiss setup. Ingwaje stochastic na RSI zinaniambia tayari market ipo in oversold region which means consolidation is likely. Nataka nione which is which hapa na nini kitatokea.

Capture.PNG
 
mkuu embu assume zote position zikaenda on the right way, na kila position moja ikapiga atleats $2, .. means $2*10POSITION=..... JIBU UNALO
ambapo ungekua na hiyo hiyo position moja ambapo ungekua na ile ile $2.
upo apo

ungetumia leverage ya 0.1 bado ungepata 20usd kwa position moja haina haja ya kufungua position zote hizo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom