Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,119
- 4,779
Nilichelewa kuiona hii post!!
Ila hiyo sio LAST KISS. In such a situation huwezi uka-conclude direct kwamba ni last kiss!! Lazima kwanza uone indications, mfano inge break hiyo zone ikiwa inaelekea south, then trend ikiwa inashuka ipande tena ije kugusa support (ambayo kwa sasa ingekua resistance) ya hiyo zone atleast once!! from there unaweza ingia sokoni na sell-stop-order maana kinachofwata ni strong bearish trend!!
Nikiangalia hii graph kwa sasa naona imerudi north inshort haija break support line!!
Yah, haikuwa yet last kiss. Nilikuwa najaribu kuivizia nione itakuwaje na kama itafullfill last kiss condition. Niliingia kwenye trade kwa kuweka pending order, na niliweka sell stop, so up to now sell target niliyoiweka haikufikiwa, na hivyo my selling order haijawa triggered. Na sasa naona price imerudi kwenye consolidation box