Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
A TRADER IN DARK IS A TRADER IN RED

Another setup for Head and Shoulders.

Let's wait and see if it will break the neckline before weekend market closure

Mkuu Complex would call me Mzee wa head and shoulders

0015d44a7e1f1cfee89baca3ec1d2cfc.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app


Hii umeipatia ila mpaka kuhit target inabidi usubiri sana...kama we si mvumilivu unaweza funga position maana kuna wakati utajikuta una loss ya maana kutokana na spikes..

Kila la kheri hope it gonna play your way..
 
H1, AUD/CHF timing for last kiss setup. Ingwaje stochastic na RSI zinaniambia tayari market ipo in oversold region which means consolidation is likely. Nataka nione which is which hapa na nini kitatokea.

View attachment 569187
Nilichelewa kuiona hii post!!

Ila hiyo sio LAST KISS. In such a situation huwezi uka-conclude direct kwamba ni last kiss!! Lazima kwanza uone indications, mfano inge break hiyo zone ikiwa inaelekea south, then trend ikiwa inashuka ipande tena ije kugusa support (ambayo kwa sasa ingekua resistance) ya hiyo zone atleast once!! from there unaweza ingia sokoni na sell-stop-order maana kinachofwata ni strong bearish trend!!

Nikiangalia hii graph kwa sasa naona imerudi north inshort haija break support line!!
 
Hii kitu ni mbaya sana!! Nakumbuka EURUSD ilitoka 1.2 mpaka 1.4 kama sikosei...

Unaweza jipa moyo itashuka kumbe inapanda slowly!! Ukija shtuka una marginal call na stop out level ina approach!!

Ukiendelea kuzubaa unakuta acc imewaka moto!!!

Kipindi cha major news ni vyema ukawa makin na stop loss!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu hizi news zinapatikana vip ..yani nawezaje kujua kuwa news zmetoka au zitatoka baada ya muda flan?
Sawa mkuu. Step by step procedures za ku-enable One Click Trading kwenye MT4 PC version ni Tools / Options / Trade / One Click Trading (check box)/ Accept Terms and Conditions / OK / OK

Baada ya hapo: Right Click / Select One Click Trading

A nice & small window will pop up. Tumia hiyo kwa fast opening of positions

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! mkuu naomba ufunguke zaid kuhusu hii website ..nmefungua lakini sijaelewa kitu chochote kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonyesha list ya events zote ndani ya sikuhusika!!

Kila event imewekewa importance/impact yake kwenye soko!

Kuna events zina low IMPORTANCE na kuna nyingine zina medium na nyingine zina HIGH IMPORTANCE!! events zenye high importace ndio mara nyingi zina impact kubwa kwenye soko!!

Take your time, ipitie utaielewa!
 
Kwa walio anza kutrade mbona hamuleti mrejesho wa nn kipo kwenye hii biashara?



Mkuu ONTARIO sema neno maana appetite ikizidi mwishowe tuta under go starvation,tupe mrejesho wa nn tutegemee hv karibuni!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom