Insert pale ulipoweka ya blue kama ni Simple ndiyo uliweka bas now weka Exponential ita appear ktk graph piaUnatumia MT4 au 5??? Una vipi?? Nime jitahd wee nimepata line moja (nyekundu,) mwenzie sijamwona
Ni vzr kama utatumia computer kufanya analysis kwa ujumla. It is much easier than using a smartphone.
CFDs ni fursa nzuri ukiifahamu lakini ni very risk unaweza kupoteza mtaji wako wote ndio maana kama mtoa mada alivyosema inabidi ujifunze kwa kusoma na upate mentor wa kukusaidia mimi nilijifunza tokea mwaka 2014 mpaka sasa naendelea pia nina ndoto ya kuweza kusajili hapa Tanzania ili tufundishe watu bila kuvunja sheria za nchi. Nipo tayari kusaidiana na wenzangu watu wajue, nimeshashiriki mashindano makubwa ya kimataifa na kufanya vyema kwa kuiwakilisha Tanzania.
Ninatumia instaforex demo... Najarb kuhamisha manually stop loss kuishusha, ninaposell, inagoma,... How do you guys set it.? Mana at the end inabidi nikae kuangalia nkiona naluz nklose postxn
View attachment 568364
Sent using Jamii Forums mobile app
H5, H15???It seems you are a good scalper, seems you are trading H5 and H15...which is good for you, practise other strategies also
H5, H15???It seems you are a good scalper, seems you are trading H5 and H15...which is good for you, practise other strategies also
H5, H15???It seems you are a good scalper, seems you are trading H5 and H15...which is good for you, practise other strategies also
H5, H15???
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Yaani, we acha tu! Hapa mimi natoa macho tu!Duuuuuu.....Lugha ya forex haijawai kumuacha mtu salama.
Mkuu samahani ..naomba link ya ki(vi)tabu pamoja na video(s) ili nipate kuvisoma kwa undani zaid mkuu ..nipate kuelewa zaid na zaid. Ni hayo tu mkuu. .mengine badae!Thanks nkwarisambu for your highlights. They real make sense
I have gone back to the books and read again and gained much more skills on the pattern
In some of the patterns I combined the head and shoulders look-like pattern with top down analysis and trend riding strategy (check the NZDUSD analysis I shared and back test yourself - the pattern, then do top down analysis from D1 and H1 and then ride the trend).
So it is a combination of head and shoulders formation, top down analysis and trend riding strategy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna faida gani ya ku open position ya aina moja mara kumi, badala ya kufungua position 1 na kuweka leverage 1:10? Kwan c ni sawa? Au?
Sent using Jamii Forums mobile app
yaaaap hazina tofauti kabisaLodrick Thomas , MWANA WA NGURUMO et al.
Naomba kuuliza waungwana, prediction/trend zinazo onekana kwenye DEMO a/c na kwenye real ni sawa?
Thanks in advance.
H5, H15???
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
mkuu embu assume zote position zikaenda on the right way, na kila position moja ikapiga atleats $2, .. means $2*10POSITION=..... JIBU UNALO
ambapo ungekua na hiyo hiyo position moja ambapo ungekua na ile ile $2.
upo apo