Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
ungetumia leverage ya 0.1 bado ungepata 20usd kwa position moja haina haja ya kufungua position zote hizo


Mkuu mbona unashindwa kutofautisha kati ya leverage na size of position in lot????
 


Hii umeipatia ila mpaka kuhit target inabidi usubiri sana...kama we si mvumilivu unaweza funga position maana kuna wakati utajikuta una loss ya maana kutokana na spikes..

Kila la kheri hope it gonna play your way..
 
H1, AUD/CHF timing for last kiss setup. Ingwaje stochastic na RSI zinaniambia tayari market ipo in oversold region which means consolidation is likely. Nataka nione which is which hapa na nini kitatokea.

View attachment 569187
Nilichelewa kuiona hii post!!

Ila hiyo sio LAST KISS. In such a situation huwezi uka-conclude direct kwamba ni last kiss!! Lazima kwanza uone indications, mfano inge break hiyo zone ikiwa inaelekea south, then trend ikiwa inashuka ipande tena ije kugusa support (ambayo kwa sasa ingekua resistance) ya hiyo zone atleast once!! from there unaweza ingia sokoni na sell-stop-order maana kinachofwata ni strong bearish trend!!

Nikiangalia hii graph kwa sasa naona imerudi north inshort haija break support line!!
 
Wakuu hizi news zinapatikana vip ..yani nawezaje kujua kuwa news zmetoka au zitatoka baada ya muda flan?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! mkuu naomba ufunguke zaid kuhusu hii website ..nmefungua lakini sijaelewa kitu chochote kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonyesha list ya events zote ndani ya sikuhusika!!

Kila event imewekewa importance/impact yake kwenye soko!

Kuna events zina low IMPORTANCE na kuna nyingine zina medium na nyingine zina HIGH IMPORTANCE!! events zenye high importace ndio mara nyingi zina impact kubwa kwenye soko!!

Take your time, ipitie utaielewa!
 
Kwa walio anza kutrade mbona hamuleti mrejesho wa nn kipo kwenye hii biashara?



Mkuu ONTARIO sema neno maana appetite ikizidi mwishowe tuta under go starvation,tupe mrejesho wa nn tutegemee hv karibuni!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…