Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Yah, haikuwa yet last kiss. Nilikuwa najaribu kuivizia nione itakuwaje na kama itafullfill last kiss condition. Niliingia kwenye trade kwa kuweka pending order, na niliweka sell stop, so up to now sell target niliyoiweka haikufikiwa, na hivyo my selling order haijawa triggered. Na sasa naona price imerudi kwenye consolidation box

 
Dahh. kumbe jamaa anatafauta kiki eeh. nkajua yupo na real account, kumbe ajui ata maana ya FX. Tunashukuru mkuu Ontario kwa kutuweka wazi.
 
Kweli mkuu!! na kama ungeingia direct na ukasahau kuweka SL mda huu ungekua unaugulia maumivu!!
 
A TRADER IN DARK IS A TRADER IN RED

Another setup for GOLD

KANGAROO TAIL pouring out blues soon



Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua spread za gold zikoje mkuu wangu??

Naona hapo hizo candlestick mbili za mwisho zinaonyesha ni strong bullish movement! what if hiyo set-up iki fail? Maana hapo kuna uwezekano soko limetulia linangoja kuendelea kwenda north!!

Kama una trade sikushauri uingie direct, ingia na sell-stop-order atleast tena iwe few pips below hiyo kangaroo candlestick!
 
Yes - you are right man.

Nimeangalia muda Fulani tena, hizo candles 2, zinaweza zisimuache mtu salama

Nikiangalia kwa sasa ktk H1 TF naona iko kwenye consolidation. let me wait and see it is part of learning
 
Yes - you are right man.

Nimeangalia muda Fulani tena, hizo candles 2, zinaweza zisimuache mtu salama

Nikiangalia kwa sasa ktk H1 TF naona iko kwenye consolidation. let me wait and see it is part of learning
Angalia EURAUD kwenye daily chart! Jana ili-print bullish kangaroo tail lakin kwa sababu kulikua na strong bearish candlestick behind naona badala ya kupanda inashuka!!

Kangaroo tail ni signal nzuri kwenye trading lakini lazima uwe makini unapoitumia hasa panapokua na strong trend maana mara nyingi zikitokea muda kama huu zinaashiria soko lime-pause na mda si mrefu litaendelea na halita-reverse kama unavoweza zani!!
 
Yes I see it
One more point ni lazima kangaroo tail itokee on the zone ili iwe a strong reversal signal.

Kwenye analysis hiyo niliyotoa ya Gold nime go short kwa sbb nilipoanalyse kwenye D1 TF, kitu ilikuwa tayari kwenye zone which was respected since September 2016, so I combined with kangaroo tail in H1 TF. Na hiyo hasa ndo ilinifanya niuze Gold.

Let me wait and see maana bado kitu iko kwenye consolidation, it doesn't move anywhere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ziko factor nyingi za ku-conclude kwamba it is the right signal. Ulichowaza uko sahihi, ila ulisahau kuangalia kama previous candlestics zinasemaje!! Na hiki ndicho kilicho disqualify hiyo kangaroo tail!!

Keep it in your mind saa kumi na moja kuna event release ya USD, na ujue USD ina uhusiano kiasi fulani na gold!

You wait, may be itaweza reverse japo sizani sana!!
 
Thank you mkuu Lodrick Thomas

Kwenye hiyo pair ya EURAUD, licha kuonyesha kangaroo tail hiyo, naona kuna triple tops whose peaks connect with downward trend. In my opinion I would go short



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you mkuu Lodrick Thomas

Kwenye hiyo pair ya EURAUD, licha kuonyesha kangaroo tail hiyo, naona kuna triple tops whose peaks connect with downward trend. In my opinion I would go short



Sent using Jamii Forums mobile app
Kulikua na news release ndio maana unaona AUD imepanda ghafla!

Kama ni real acc Kuwa makini maana huwezi jua labda inaweza rudi kwenye trend yake kabla ya news reliese!
 
MREJESHO:

Mkuu Lodrick Thomas

GOLD has hit my SL. I have been kicked out of the rally


Sent using Jamii Forums mobile app
I told you!!

Ile kangaroo tail haikua sahihi maana palikua na two giant previous bullish candlesticks ambazo zilionyesha upward trend itaendelea. na kangaroo tail ili toa singnal kwamba soko lime pause ila palikua na uwezekena likaendelea kwenda juu!!

Kama ukiweza anza kusoma kitabu cha NAKED FOREX kimeelezea mambo mengi sana kuhusu kangaroo tail na mengine mengi katika anga za pure price action!!

NB: Kuwa makini kuna news release inaenda tokea mda si mrefu! kama una position yeyote yenye USD anza kujiandaa mapema...
 

Pia ukiiangalia katika aspect ya Fibonacci, unaweza ona hii kitu. Iliretrace katika 23% level. na sasa ipo katika 0 level inatafuta resistance. Huku bado kuna support na resistance ambazo inazitii toka march.





 
Swali fikirishi, Katika vitabu imeandikwa kuwa kwa case ya moolahs na Warmies ni kuwa wameziclassify hizi kama special version ya double top & double bottoms respectively. Na kwa hizi pattern zote, wameclassify kuwa second touch lazima iwe Higher low kuliko first touch kwa warmies na pia iwe lower high kwa Moolahs, pia kwa pattern zote ni lazima kuwe na candlestics zaidi ya sita. Sasa swali langu ni hili,

1. kikawaida kwa warmies once condition zikiwa met, watu huwa wana enda long, na hii pattern inatakiwa iwe traded hivi. sasa je naweza nikaenda short kwa case ya Warmies, ikiwa second touch imeprint lower low than first touch.? na pia kuna less than six candles in between touches.? Same question vice versa kwa moolahs.

CC: Ontario, Bavaria. Nini experience yenu katika hii concept na swali nililouliza..?
 


Tatizo la @ mwana wa ngurumo ni uoga...mara nyingi sana naona stop loss zake anaweka karibu sana kiasi kwamba price ukispike kidogo tu inahit stop loss...kama akitrade pair zenye spikes atakuwa analala na hasara kila siku....Hata leo angepata faida sema stop loss aliweka karibu sana..mimi mwenyewe ninazo positions kwa pair ya Gold na bado sijazifunga inagaweje zina faida...target yangu ni 1270.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…