pappilon
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 3,192
- 3,559
Swali fikirishi, Katika vitabu imeandikwa kuwa kwa case ya moolahs na Warmies ni kuwa wameziclassify hizi kama special version ya double top & double bottoms respectively. Na kwa hizi pattern zote, wameclassify kuwa second touch lazima iwe Higher low kuliko first touch kwa warmies na pia iwe lower high kwa Moolahs, pia kwa pattern zote ni lazima kuwe na candlestics zaidi ya sita. Sasa swali langu ni hili,
1. kikawaida kwa warmies once condition zikiwa met, watu huwa wana enda long, na hii pattern inatakiwa iwe traded hivi. sasa je naweza nikaenda short kwa case ya Warmies, ikiwa second touch imeprint lower low than first touch.? na pia kuna less than six candles in between touches.? Same question vice versa kwa moolahs.
CC: Ontario, Bavaria. Nini experience yenu katika hii concept na swali nililouliza..?
Mkuu naona hapa unawataka watu wakusaidie kukusanya unavyotaka kuvitawanya....mkuu sorry kwa hili ila hao waliosema ufanye kama ulivoeleza hapo juu kuhusu Wammies and Moolahs nadhani hata wao waliona unayoyaona...unadhani kwa nn hawakupendekeza ulivyosema....mm nadhani kama price haijaobey Wammies and Moolah pattern kuna catalysts nyingine unaweza kutumia either to go long or short...kwani Wammies and Moolahs sio catalyst pekee zinazotumika kwa ajili ya trade set ups..
Samahani kwa kurukia ambacho sikuwa cced