Pangah2011
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 260
- 218
Huku ni nyumbani buanaHahahahhahaaaaa umefika huku
Nimejaribu kuiangalia screenshot ya EURZAR kwa jicho la P.A, inanionyesha ni bearish, except for little 15 pips upward movement ambayo in this case I will treat as consolidation. The overall trend is downward unless there will be a sign for breakout of which I see none. These are my views mkuu. Lets see how this will play out on MondayAnalysis setups za kuamkia Jumatatu.
EUR/ZAR
View attachment 570038
kwa kuangalia hii pair ya EUR/ZAR katika H1 timeframe, tunaona jana ijumaa soko lake limefungwa kwa pair kuprint candle ambayo imeenda kugusa exactly katika red line niliyaochora na hivyo kukamilisha double botton pattern. Na hii double bottom pattern ni special, kwani imeprint Warmie pattern ambapo second touch imetengeneza higher low. Pia tukiangalia hiyo blue box tunaona first touch ya double bottom ni lowest low kwa kipindi kirefu kwani toka tarehe 8 hakuna candle iliyofikia level hiyo. Tuangalie hii pair with buying opportunities hiyo jumatatu baada tuu ya kuona pair imeprint bull candle with closing price karibu na edge ya wick. Ingawaje wale waliozoea kurisk wanaweza print hivyohivyo ila stop loss waweke chini kidogo ya lowest level ilipoishia.
EUR/CAD
View attachment 570052
View attachment 570053
Hii pair ni kama EUR/ZAR ilivyoprint, Tofauti ni kwamba hii tayari ishakamilisha indicators zote za warmie/double bottom. Hivyo kwa hii unaweza weka buy stop juu kidogo ya last candle, kwani last candle katika chart zote nilizoweka za H4 na H1 timeframe zimequalify kuwa long entry points kwa hii pair ya EUR/CAD. Weka stop loss chini kidogo ya lowest low ya first warmie touch.
NZD/USD
..... To be continued
Ina maana ni mimi tu hamna wadada wengine au?Mdada pekee kwenye huu uzi?
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Oohhhh kumbe sikujuaHuku ni nyumbani buana
Haha nilitegemea kumuona miss natafuta na miss chaga maana majina yao yamekaa kihela hela tuIna maana ni mimi tu hamna wadada wengine au?
oooohhhh okayHaha nilitegemea kumuona miss natafuta na miss chaga maana majina yao yamekaa kihela hela tu
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Heheh ukuje tudiscus hii forex aiseoooohhhh okay
Nimejaribu kuiangalia screenshot ya EURZAR kwa jicho la P.A, inanionyesha ni bearish, except for little 15 pips upward movement ambayo in this case I will treat as consolidation. The overall trend is downward unless there will be a sign for breakout of which I see none. These are my views mkuu. Lets see how this will play out on Monday
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nimesema nimeangalia screenshot yako, sijafanya analysis ku-counter yours. Na pia sijazungumzia kuhusu indicators kabisa, nimesema ni price action...plus it was my views[emoji1] . Nikitulia (nipo njiani) will dive into it ila meanwhile ingekua vizuri pia kwenye analysis yako kusema bullish na price range yake. Bila price range there is a 50% chance anyone can correctly predict the movement. Lengo ni kujifunza mkuuUmeiangalia katika time frame gani.?, Hebu weka Picha na sketches za ulichokiona wewe. Mimi nimeona setup ya bullish kutokana na hiizo double bottom zilizojichora hapo. Lakini indications hazijatimia ili mtu kufanya final decissions za kwenda long. kwani kwa principle ya warmie ni kwamba lazima baada ya second touch kuwe na bullish candle yenye good closing price. So hapo ni kwamba tunasubiria hiyo candle iprint baada ya second warmie touch. Na kwa haraka haraka ninaweza sema itaenda kuprint kwani last candle ni bearish candle yenye long downward tail, Kitu ambacho kinaashiria kwamba sellers walizidiwa nguvu na bulls kitu ambacho kilipelekea kuwa na hiyo long tail iliyosababishwa na rejection ya bears actions. Na pia kati ya first touch na second touch kuna candles za kutosha zaidi ya 15, kitu ambacho kinaashiria kuwa ni strong price action.
Kwa kuwa hiyo chart ni ya 1H timeframe, hivyo tunategemea angalau within next four or five candles baada ya hapo tuone hiyo bullish candle itakayotupa buy signal. since hii ni 1H chart, hivyo tutarajie masaa manne mpaka matano baada ya market kufunguliwa tuione hii candle, kwa muda wa kwetu hapa itakuwa ni usiku wa manane
Case 1: Wammies with lower lows + six candlestrick between touches!1. kikawaida kwa warmies once condition zikiwa met, watu huwa wana enda long, na hii pattern inatakiwa iwe traded hivi. sasa je naweza nikaenda short kwa case ya Warmies, ikiwa second touch imeprint lower low than first touch.? na pia kuna less than six candles in between touches.? Same question vice versa kwa moolahs.
CC: Ontario, Bavaria. Nini experience yenu katika hii concept na swali nililouliza..?
Mkuu, nimesema nimeangalia screenshot yako, sijafanya analysis ku-counter yours. Na pia sijazungumzia kuhusu indicators kabisa, nimesema ni price action...plus it was my views[emoji1] . Nikitulia (nipo njiani) will dive into it ila meanwhile ingekua vizuri pia kwenye analysis yako kusema bullish na price range yake. Bila price range there is a 50% chance anyone can correctly predict the movement. Lengo ni kujifunza mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Case 1: Wammies with lower lows + six candlestrick between touches!1. kikawaida kwa warmies once condition zikiwa met, watu huwa wana enda long, na hii pattern inatakiwa iwe traded hivi. sasa je naweza nikaenda short kwa case ya Warmies, ikiwa second touch imeprint lower low than first touch.? na pia kuna less than six candles in between touches.? Same question vice versa kwa moolahs.
CC: Ontario, Bavaria. Nini experience yenu katika hii concept na swali nililouliza..?
Case 1: Wammies with lower lows + six candlestrick between touches!
Mkuu, moja kati ya sifa za wammie, kama ulivyosema, ni kwamba lazima pawe na lower high! sasa ikitokea moja ya vigezo hivi havikufikiwa, siwezi nika-classify such a set-up kama wammie set-up!!
But it depends, what if pakawa na lower low badala ya lower higher alafu pakatokea bullish big shadow tena kwenye strong support line? hauta buy? kwa case kama hii nisingeingie direct sokoni, ningeingia na buy-stop-order tena few pips above the tail of bullish candlestick!
Long story short, kwa case yako nisinge sema ni wammie, ningeangalia catalyst nyingine kama big shadows ndo zingenisaidia kujua what to do next!!
Hapo sawa. Na ndio maana nilisema naona bullish movement ya at least 15 pips. Baada ya hapo, most likely bearish itaendelea....au hiyo "consolidation ya 15 pips" itabaki until a bearish breakout occursSure, Kwa analysis yangu kama nitaingia long katika hyo trade, take profit nitaiweka katika turning point ya hiyo warmie ambapo nimelabel namba 1, na stop loss nitaweka chini kidogo ya lower low yaa hiyo warmie ambayo nielebel level kama namba 2. Though mtu unaweza kuwa in close watch ukawa unasogeza stop loss na take profit upwards, ila hii inabidi maccho yako muda wote yawe katika chart. But ili mtu usiiingie katika trade kama last condition ya warmie haitakuwa fullfiled as i said earlier.
View attachment 570148
Hapo sawa. Na ndio maana nilisema naona bullish movement ya at least 15 pips. Baada ya hapo, most likely bearish itaendelea....au hiyo "consolidation ya 15 pips" itabaki until a bearish breakout occurs
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliishia kusema am in ππππππ hayo madude mengine hata sielewi mi nataka hela tuHeheh ukuje tudiscus hii forex aise
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app