Kama hutojali ,nisaidie hii,
1.Barcrays a/c ya kawaida(saving) inagharimu kiasi gan
2.It takes how many days to be activated(start to be used for purchase ONLINE).
Thanks in ADVANCE
thanks,vip exchange rate zao, mana najua utakua unatumiwa dola na umefungua account ya shilingi inakuaje au broker wako anachange kabisa anakutumia in TSH, pili ningependa kujua ilikuchukua wewe muda gani kuwidraw fund baada ya kuwa credited na broker wako .Aksante kwa maelezo mazurKaka habari ningependa kukusaidia, mimi natumia benki ya Barclays bank Tanzania, nilifungua saving account ya kawaida wakinipa VISA ATM Card ambayo niliitumia kudeposit hela kwa broker wangu na kuwithdraw profit zikawa credited moja kwa moja kwenye bank account yangu. Broker ninayemtumia ni FX Pro Finacial Service Ltd iliyopo wiingereza na sababu ya kuwachagua nikwamba huwa wana sponsor sports events mbalimbali na wanadhamini team ya ligi kuu ya wiingereza itwayo Watford Fc na pia huwa wapo recomended na traders mbalimbali kwenye channel ya Bloomberg so far naona hawana shida na wana asset classes mbalimbali sio currencies tu.
Good analysis mkuu.GBPUSD Analysis.
Hii chati nimeichukua katika time frame ya siku (Daily timeframe) Kuna trendlines nimezinotice na nimeziainisha katika picha niliyoambatanisha chini. Ni analysis inayotupa picha ya wiki ijayo
View attachment 570832
Kuna hizo red lines ambazo zinaonesha support levels za hii pair. Na kwa bahati nzuri zote mbili zinaqualify sifa ya kutengeneza double bottom. Support level ya pili (hiyo red line fupi) imekuwa katika hii pair, Kwani wiki iliyopita ilifungwa kwa hii pair kuigusa hii line kwa mara ya tatu kitu kinachopelekea hii level kuzidi kuwa strong support level.
Pia tukirudi katika hizo blue line mbili, Zinatuonesha kuwa hiyo pair ilikuwa katika uptrend, na more interesting ni kuwa baada ya muda hizo line mbili za bluu zimefanikiwa kutengeneza pattern ya rising wedge. Na kwa mujibu wa principles za rising wedge patterns, hiyo down trend ilitarajiwa (mshale mwekundu), Na tayari inaonesha down trend inaelekea ukinngoni kama si ukingoni kabisa kwani tukiangalia hiyo downfall ni sawa kabisa na base height ya rising wedge.
Lakini interesting zaidi, ni kuwa hiyo down trend imeenda mpaka katika support ya pili na biashara kufungiwa hapo kwa siku ya ijumaa. Na kukamilisha double bottom pattern, ambapo kwa kanunu pindi inavyotokea hivi basi traders wanaangalia possible buy entry points.
Ukiangalia chini kuna stochastic indicator nimeiweka, level ya price ipo chini ya 20% kitu ambacho kinaashiria ipo katika oversold region, hivyo watu waangalie possible buy entries.
Kwa kuangalia vigezo hivyo, fellow traders muwe tayari kuona uptrend ya hii pair na muangalie possoble entry points za kununua hii pair.
nimechelewa kuiona hii thread hadi najitukana
pia nimeshindwa kusoma pages zote 800 nikihisi nyingi ni za member wengine sasa kama nipo wrong nisahihisheni nirudi nyuma nataka Nijue muda wa training ulishatolewa?
for sure am dammnn in mkuu ONTARIO kama kuna group la whatsapp naombeni link
Sent using Jamii Forums mobile app
I can guess the guys from SA will be here by next week
Wakuu bila shaka mambo yameiva tayari.samahanini lakini kwa taarifa hii isiyo rasmi maana me siyo msemaji[emoji23]
Sorry complex, bt you real meant sell limit or vice versa......??
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu Lodrick.nilipona tu Astroforex nimerudi kukushukuru ndiyo niicheki
Bora ubaki zako kwenye Kubeti tu aisee
I wish nijue hii kitu aisee nitadie trying kwa kweli.
Sent From Heaven