Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Sasa mimi hii pair baada ya analysis niliinunua asubuhi mida ya saa 5, ikaanza kuprint loss, baada ya hiyo kangaroo tail naona inarecover, hope my profit level will be met. Ila mimi nilinunua baada ile asubuhi baada ya kuona double bottom ambayo haijafullfill warmie condition. Nikajitosa katika double bottom hivyohivyo.
 
Nnamashaka nayo. Angalia hiyo bearish trend kwenye previuos candles...
 
Usisahau kuleta mrejesho...

Heheheee, Boss kwangu trend ni kama inavyoonekana hapo. Support ya double bottom imekuwa tested almanusura igonge stop loss zangu, Maana niliweka stop loss chini kidogo ya first touch ya double bottom as principle says. Ila naona inaretrace na naimani kitakachofuata ni upward trend. Hiyo support level ni ya toka July 7 na naamini hiyo pair itaitii hiyo level. Let me continue holding my position.


 
wakuu mi nimeanza hii issue leo hii hebu mniambie app gani mnatumia ndugu zanguni ntashukuru sana
 
wakuu mi nimeanza hii issue leo hii hebu mniambie app gani mnatumia ndugu zanguni ntashukuru sana
Unajua maana ya bull trend
Bear trend
Bearish position
Bull position
Differentiate btn spaculation ;gambling; and investiment
How can you hold position how you can manage risk
So mkuu cha kwanza kabisa soma vitabu ambavyo vipo humu
Usichoke soma page zote za comment za uzi huu
 
Tangu nianze kusoma na kukoment ckupata kuona link ya hlo grp, na ckuckia mtu anaongelea... Hebu niambie ni post namba ngap yenye grp niichek

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweza kuipata hyo unayoiita forex bible?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…