Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Perfect analysis ila hyo sababu kubwa ni bi Yellen speech.Hiyo program/software unatumia kufanya analysis na kutrade inaitwaje?nimeipenda.
Hahaaa mkuu unanikumbusha enzi hizo tukifungwa mechi tunajipa moyo jamaa pinzani wamesaidiwa na upepo. Siku-trade news at all. Ukiangalia vizuri USDJPY kabla ya fundamental ilikua inaenda bearish either way.
Natumia tradingview kufanya analysis.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Disclaimer before I comment. I am a stock trader by professional with few licenses. To trade currency or speculate currency is not an easy thing. Now if you get a proper knowledge and good mentorship. You might have a chance to win big.

My simple advise ni kwamba this is not a get rich quick process. It will take time mpaka ufahamu fundamentals. Then understand analytics/ technical process kusoma charts and things of that nature. But all in all it is doable.
 
Shukrani sana mkuu, Barikiwa kwa ushauri mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahaaaaa umenifurahisha mkuu ,anyway kwa hii pair ulifanya kosa kuitrade namna hiyo pengine kama ilikua analysis hmnaa shida.jana usiku iliclose around 109.70 na ilikua ina consolidate baada ya hapo kwa maana speech ya leo ndo ilikua inaamua direction.Na next time jitahid kufatilia news kabla ya kutrade pair hii ni,
very suspectible to news hasa Yen so note that.
 
Asante kwa maelezo mazuri tatizo nyie wataalam hamtupi full lecture mnadonoa tu jaman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Janet Yellen and the Jackson Hole bunch delivered.

A $3,800 profit today on long EUR/USD options. That's only because I was being overly cautious to protect my money, could have jacked it up to $10,000 - 15,000 profit. But you know how it goes, bigger rewards come with bigger risks.

There was a point when the EUR shot up so high so suddenly it felt like a rocket reaching for the moon.

Closing the week on a high note.
 
ni real account hio mkuu,hongera
 
Mkuu ONTARIO SISI TULIOKO MIKOANI TUKITAKA KUJIUNGA KWA HII AWAMU YA KWANZA KTK FOREX TRAINING TUFANYE NINI?

,
 
ni real account hio mkuu,hongera
Ni real mkuu, kwenye demo nilipiga mara kumi ya hivyo, nilikuwa natest zali demo kidogo kabla ya kuingia real. Ndiyo maana nikasema ningekuwa nataka kuchukua risk kubwa hata $15,000 ningetengeneza, ila Euro ilipanda sana ghafla, na mara nyingine ikipanda sana ghafla inaweza kushuka sana ghafla ikiwa inatafuta a fair middle, so nikawa skeptical.

Nafikiri wiki ijayo EUR/USD inaweza kuendeleza rally. Tutaendeleza.
 
Dah, nifanyie hata $200 nipate mtaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu leo siku yangu imekuwa nzuri sanaa, uzi huu ni wa muda mrefu hapa lakini leo ndio nimepata nafasi ya kupitia vizuri. Ubarikiwe mno, sijui nitafanyaje maana nimetamani nikumeet personally, kuna vitu bado nahitaji sana toka kwako. Thanks again.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu count days hadi siku ya kuzindua training ni saba(6) tu.Tafadhali tujuze training ya first 300 kina nani wapo,first batch ni kina nani,each batch itakuwa trained for how long?time ya mafunzo pia kuanzia saa ngapi hadi ngapi each day for each session.ili upande wa waliobahatika wajiandae pia.Naomba kuwasilisha hoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda kukuuliza kijana Ontario kuhusu Swala la mda wa Training
Means start time for Training !! Kingine Kunavigezo vyovyote vile vinavyotakiwa kama qualification ? Pia wenzangu namimi tulio vimba na vitabu vyote ulivyotaja nakumaliza kuvisoma ila tukawa nachangamoto ya kutokuwa na laptop tutarusiwa kuingia kwenye Training?
Tusiokuwa na start Capital yakuanzia kuturade kama moja ya andiko lako moja lilivyosema tutaruhusiwa kuingia kwenye Training?
Mapendekezo yangu Training iwe mda wa saa12 jioni nakwendelea I stand to be corrected !!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mmoja atata kujua baadhi ya mambo kwanza tumshukuru mungu kwa kuwa na fursa kama hii pili tukubali kuwa hatuwezi kuwa wote kwa wakati mmoja tatu vigezo vyovyote vitakavyotumika tukubaliane navyo kwa faida yetu sita jisikia vizuli tunakomaa navitabu tunapo kwenda kwenye tred tunachoma acc vigezo vitakavyotumika kwa ajili ya kutujenga tulivamie soko kama simba mwenye njaa watakao bahatika wasiwe wachoyo kuhusu vifaa vya kufanyia kazi utakuwa hujajipanga vizuri kwa ajili class usichukue elimu utayo ifungia kabatini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…