Forex Jumapili???, hahahaKuna vitoto vidogo vinavyokua huwa vinakuwa na "Oppositional Defiant Disorder".
Vinataka vitambulike kwamba na vyenyewe vipokwa kubishabisha mambo tu,bila hoja wala msingi.
Oppositional defiant disorder - Wikipedia
Hao Nadex wana mambo mengine mengi mengi tu wana trade, sio forex pekee, labda kama n hayo mengine unatrade hapo panaweza pakawa na walakin, tofaut na hapo n story za kusadikika tu , hamna kituSasa mbona Nadex watu wana trade saa 12 jioni Jumapili, wakati ambapo masoko ya US East Coast yamefungwa, kwa kutumiamasoko ya New Zealand ambayokwa muda huowa saa 12 jioni US East Coast, New Zealand ni Jumapili asubuhi?
Unajua kusoma wewe?
Holidays & Hours
Trading hours
Nadex is open for trading from 6pm ET Sunday through 4:15pm ET Friday, excluding end-of-day processing hours which occur between 5pm and 6pm ET on Monday through Thursday. Our customer services team is available during all regular trading hours.
Trading hours for individual contracts are given in the Contract Specs for each market.
Sema huwezi kujibu, kwa sababu huna link, kwa sababu habari nzima umetunga.Kuna sababu gani hata moja ya mm kujb wakati umeshindwa jieleza???
Wapi umeona watu wana fanya Forex Jumapili??
Weka link ya Ast niliko copy.
Hujaweka bado hiyo link.
Ukishjindwa niombe radhi.
Ukishindwa vyote wewe ni mzushi usiye na chembe ya credibility.
Labda?Hao Nadex wana mambo mengine mengi mengi tu wana trade, sio forex pekee, labda kama n hayo mengine unatrade hapo panaweza pakawa na walakin, tofaut na hapo n story za kusadikika tu , hamna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Niweke ya nn??Weka link ya Ast niliko copy.
Hujaweka bado hiyo link.
Ukishjindwa niombe radhi.
Ukishindwa vyote wewe ni mzushi usiye na chembe ya credibility.
Huyu mzushi.Mkuu Al-Watan we kiboko....unajua kumng'ang'ania mtu kweli kweli.....duuuuu...ningekuwa mm ningeshanyoosha mikono zamani..
Niweke ya nn??
Kuwapa watu warning [emoji615] tu inatosha.. we kuna swali ulilo jibu?? kwann nikujibu???
Ungesema tu,, Nyie Tanzania hamuwez kuchukua advantage ya muda wa soko la Australia linapofunguliwa kwasababu moja mbili tatu
Sisi huku tuliko tunaweza kwasababu moja mbili tatu, ilikua rahisi mno
Na kaul ningetengua, tofaut na hapo n uongo mtupu,, utapel wa daraja la kwanza
Hakuna public sympathy [emoji13] [emoji13] we piga kelelee weee... Utakapoweza kusema hilo linaweza vipi, nitaenda fungua kitabu na kuleta hapa na kutengua kauli pia, tofaut na hapo mkuu... hilo basi lako panda mwenyeweSemahuwezi kujibu, kwa sababu huna link, kwa sababu habari nzima umetunga.
Jamani ee, mnamuona mzushi huyu?
Kazusha nime copy paste maneno.
Nimembana anipe nilipocopy wapi?
Kashindwa kunipalink ya haponilipo copy.
Sasa analeta longolongo hapa.
Huyu ni mzushi na maneno yake hayana uzito wa kuaminiwa na mtu yeyote anayekwenda kwa kutafuta ukweli.
Toa link ya wapi nime copy Ast.Hakuna public sympathy [emoji13] [emoji13] we piga kelelee weee... Utakapoweza kusema hilo linaweza vipi, nitaenda fungua kitabu na kuleta hapa na kutengua kauli pia, tofaut na hapo mkuu... hilo basi lako panda mwenyewe
Ni kweli... na wala siendelei na mjadala.. mjadala ulikua mfupi sana huu... sema jamaa kwa maksud kaamua urefusha, swali analoulizwa hajibu, ananyofoa anataka ajibiwe ya kujitetea ambayo hata kama akijibiwa ama asipo jibiwa hayana impact kwa mtu mmoja mmojaWakuu i dont wanna be in anyside but kama watu wazima ts better tukasameheana tulipokoseana nd moving with our journey of forex discussion as it was while waiting for class time.
Those arguiments zinatu lead kwenye wrong direction na kushusha heshima ya huu uzi kwa ujumla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumapili Jion???
Kuna harufu ya utapeli hapa... i smell tapeli here... someone PM huko... please kua mwangalifu
We all know weekend hii biashara yetu penda inakua imefungwa, na mda wa kufunguliwa wote twaujua...
Hii nafikiri ni mpya kwa wale wajanja tumekaa pembeni tunausoma mchezo!
Muda si mrefu ataning'inizwa mtu....
Mzee pita kushoto
Wewe kibwengo unaelewa hata binary ni nini?
According to currency trading fo dummies-;Dr.adams faida
Soma hapa
Holidays & Hours
Trading hours
Nadex is open for trading from 6pm ET Sunday through 4:15pm ET Friday, excluding end-of-day processing hours which occur between 5pm and 6pm ET on Monday through Thursday. Our customer services team is available during all regular trading hours.
Trading hours for individual contracts are given in the Contract Specs for each market.
According to currency trading fo dummies-;
Around the World in a Trading Day
The forex market is open and active 24 hours a day, from the start of business hours on Monday morning in the AsiaPacific time zone straight through to the Friday close of business hours in New York. At any given moment, dependingon the time zone, dozens of global financial centers — such as Sydney, Tokyo, or London — are open, and currency trading desks in those financial centers are active in the market. In addition to the major global financial centers, many financial institutions operate 24-hour-a-day currency trading desks, providing an ever-present source of market interest. It may be a U.S. hedge fund in Boston that needs to monitor currencies around the clock, or it may be a major international bank with a concentrated global trading operation in Singapore.
The opening of the trading week There is no officially designated starting time to the trading day or week, but for all intents the market action kicks off when Wellington, New Zealand, the first financial center west of the international dateline, opens on Monday morning local time. Depending on where you live, it roughly corresponds to early Sunday afternoon in North America, Sunday evening in Europe, and very early Monday morning in Asia. The Sunday open represents the starting point where currency markets resume trading after the Friday close of trading in North America (5 p.m. eastern time [ET]). This is the first chance for the forex market to react to news and events that may have happened over the weekend. Prices may have closed New York trading at one level, but depending on the circumstances, they may start trading at different levels at the Sunday open.