Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Kwa lugha iliyotumika hapo juu Ndugu Al Watan uko sahihi.[/SIZE]
 
Then mkuu upige mpunga $2000 uendeleze ligi isiyo na msingi. Mimi sinyweswi chai kitahisi[emoji23]

Wewe nawe bado hujakubali tu hata baada ya kuonyeshwa screenshot au hii post ya awali?

$ 2,000 ni relative mbona hizo tunaoata kwa mishe mishe nyingine kibao hata bila ku trade?

Ilikuwa haijaulizwa screen shot. Ndiyo maana screenshot ilikuwa haijaletwa.

Soma thread uone mzozo nini.

Umeuliza screen shot. Umepewa screenshot. Au hujapewa?

Kitu ambacho wewe usiye na hulka ya kukomalia ukweli utaona ligi isiyo na msingi, mimi ambaye sipendi kuona ukweli unapotoshwa nitaona ni kitu cha msingi.

Kuna watu walikuwa wanafuatilia hawakujua kwamba kuna sehemu watu wanafanya trading Sunday 6 PM.

Sasa wamejua na huyu mzushi kawa exposed kwamba muongo.

Sasa watu kupata kujua hilo kwa uhakika unaona jambo dogo?

Ulitaka uongo kwamba hakuna anaye trade Jumapili jioni uachiwe ukubalike?



Sent from my Kimulimuli
 
Mkuu,, Hiyo mada ya time zone kaileta nani humu??? unaweza kuleta kitu ambacho hukijui??

Yaan nikupeleke bwawan mm alafu unaiambie sijui bwawa n kitu gani??
 
Heheeeheeh, Dah, Ndo nimepata muda wa kuwasha PC saa hizi, Duh huu mchuano wa time zones ulikuwa mkali kweli. Nadhani wa kujifunza wameshajifunza na wa kuelewa wameelewa.
 
Kwa lugha iliyotumika hapo juu Ndugu Al Watan uko sahihi.[/SIZE]
Hawa vinyamkela wengine kwani unafikiri wanabisha facts basi?

Wanabisha kwa roho ya korosho tu, yani wakisikia Al-Watan kapiga dola elfu kadhaa katika siku moja huku kakaa anakunywa juisi na kuangalia TV Jumapili jioni wao roho inawauma saaana.

Wanakuwa hawapendi kusikia hivyo.

Wanazusha ume copy paste kutoka Ast, unawaambia nipe link nime copy paste wapi, wananywea.

Wengine wanakuwa hawaamini, wanaomba screenshot, na mwanao Al-Watan alivyo walii hata kukataa hajui, unataka screenshot, hiyo hapo, nimewapa.

Sasa sijui watakuja na nini.

Hii roho ya wivu wa kijinga ni mbaya sana, mtu akionyesha njia na kuwaambia wengine jamani nimepiga hapa maelfu haya ya dola, huyo ni wa kuona anawatakia wenzake mema, badala ya kumuuliza umepigaje, tuonyeshe na sisi tupige, watu wanamuwekea roho ya kijicho na kumuita tapeli.

Ndiyo maana watu wengine wanaamua kufanya mambo yao kimyakimya.

Mi nikipiga dollar zangu bila mlavumbi kujua nitapungukiwa nini?

Kichwa changu nakiamini hakuna semina niliyoenda wala kufundishwa na mtu nimekomaa mwenyewe kwenye demo na vitabu na kusoma news.

Huyo mlavumbi akikataa wakati hela zipo katika akaunti yangu nitapungukiwa nini?

Tatizo sitaki upotoshaji tu hapa kusema hamna trading Jumapili.

Kama kijijini kwao nyumba hazina taa za umeme basi asifikiri dunia nzima ndiyo iko hivyo.
 
Mkuu,, Hiyo mada ya time zone kaileta nani humu??? unaweza kuleta kitu ambacho hukijui??

Yaan nikupeleke bwawan mm alafu unaiambie sijui bwawa n kitu gani??


Boss take it easy, Mlichokuwa mnabishania haikuelezwa moja kwa moja kama ni time zone, Ila base ya ubishi wenu ni time zone. Take your time to chck correctness of it, Ujiridhishe hope utapata jibu.
 
Boss take it easy, Mlichokuwa mnabishania haikuelezwa moja kwa moja kama ni time zone, Ila base ya ubishi wenu ni time zone. Take your time to chck correctness of it, Ujiridhishe hope utapata jibu.
Huyo jamaa ni kati ya wale maamuma wasiojua a wala be lakini wabishi kuliko mshipa wa punda.

Mtu hajui time zone ni nini halafu anabishana kuhusu kama watu wanaweza ku trade Sunday 6 PM US ET kwa ku link market ya New Zealand Jumatatu asubuhi, bila kujua hilo ni suala la time zones.

Anabisha kabisa hata haulizi aeleweshwe, anaanza kwa kutukana watu kama matapeli.

Mpumbavu kama huyo inabidi pigwe mpaka atoke damu ajue kuna watu hawapendi ujinga hapa.
 
Boss take it easy, Mlichokuwa mnabishania haikuelezwa moja kwa moja kama ni time zone, Ila base ya ubishi wenu ni time zone. Take your time to chck correctness of it, Ujiridhishe hope utapata jibu.
Hiyo haikua case.. aliamua ivutia huko.. kwakua haikua mada nikapotezea kashikia bango, kuna mambo ya kuwekwa sawa,


Issue ya time zone nilileta mm, n sawa nakuletea kijiko alafu unaniambia sijui kijiko


Jambo la msingi jamaa alilopaswa kufanya

Kwanza nilidhan labda yuko hapa hapa, baadae akaja kusema hayuko hapa

kilichofanya mada iwe ndefu n ubishi tu, anang'ang'ana na PM... Evening.. pm evening , n majibu ambayo hayajitoshelezi... Ukisoma maelezo yangu kuna wakat niliweka na mwongozo nikawambia... we niambie huko kwenu haiwezekan kwasababu moja mbili tatu, huku tulipo inawezekana kwasababu moja mbil... ilikua rahisi sana


Kuna mdau hapo katikat kajibu vizuri tu,

Anasema hujui kusoma, mara sijui umetoka kijiji gani [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mara hili mara lile.. swali moja tu, lilipaswa jibiwa na paragraph moja tu... anadunda kama katenesi... anyway.. mada ilishaisha, kwakua nimekuta kaendelea nam nikaendeleza
 
Watu wanaoniheshimu na ninaowaheshimu wameniomba niachane na mjadala huu kwa sababu ni mjadala unaopambanisha vitu ambavyo ni tofauti.

Ni kama pambano la ndondi kati ya heavyweight na light minimumweight, si pambano, ni kama mauaji.

Na mimi kwa sababu naheshimu watu wanaoniheshimu naamua kujitoa katika mjadala huu, kwa sababu pia muda wangu wa kupiga pesa zaidi ushawadia, nataka nikae nisome trend analysis etc, nipige maelfu zaidi.

Hawa maaluni wengine wakibishana sana hapa hawana cha kupoteza.

I have some serious money to make or lose.

Kwaherini.
 
Dr. adams faida

asante kwa ufafanuz

Ndio jibu lililopaswa kuwepo hapa.


At first nilidhan labda anaishi bongo, trading na jumapili mmh tango pori kabisa


anyway, katika mjadala wetu nadhan kuna kitu kilikosekana na ndio umekileta,

NISEME TU NIMEELEWA VIZURI TU


Nilimwambia nitatengua kaul akitoa ufafanuz wa kuelewaka kama hivi, kwann kule waweze fanya hvyo na sio huku kwetu, matokeo yake n mbilinge moja hatari sana [emoji13] [emoji13] [emoji13]


Kwakua lengo lilikua n kupata ufafanuz, na ufafanuz umepatikana

MR Al Watan, Natengua kauli yangu ya awali kuhusu mtazamo wangu juu yako, kwa maelezo haya kuna uwezekano ni kweli unafanya hvyo jumapil jion kama ulivyodai, tuishi kwa aman


Ila tu, iwe kweli upo huko North America sio North mara
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] Issue ya kupigwa pesa kwa sasa inatisha kuliko ukimwi, yaan ukifumba macho tu wamepita nayo
 
Parting shot.

Another $1050 in the bag for Monday's new profit , Forex options on NADEX.

That pushes Mondays profit to $2,080. USD/ CAD was adjusting down but we squeezed it nonetheless.

From Friday, here is how we stand. These are daily profits.Real account (some have asked if its demo)

Friday $3,800

Sunday $500

Monday $2,080

I may want to call it a day.
 


Sasa mkuu unatuaga unaenda wapi sasa wakati uwepo wako unahitajika hapa....ila duuuu..kweli mkuu we mtoto wa kariakoo..Nimelala nimeacha mtifuano...nimeamka bado unaendelea..
 
Sasa mkuu unatuaga unaenda wapi sasa wakati uwepo wako unahitajika hapa....ila duuuu..kweli mkuu we mtoto wa kariakoo..Nimelala nimeacha mtifuano...nimeamka bado unaendelea..
Nipo mkuu. Niende wapi?

Nilikuwa nasema hivi, watu wangu ninaowaheshimu na wao wanaoniheshimu, wamenifuata na kuniambia chonde chonde Al-Watan achana na malumbano na watoto ambao hawajui hata time zone ni nini.

Watoto hawajui time zone ni nini wanataka kubishana na kichwa kinachochambua Wave Particle duality ya Quantum Physics?

Wakaniambia hiyo si fair game.

Na mimi kuangalia ule muda wangu wa kutengeneza hela jioni ulikuwa umewadia.

Ikabidi niende kuangalia trends zinaendaje na kuweka kichwa huko.

Na kweli. Muda si mrefu nikapiga $1050 nyingine za jioni.

Nikichanganya na zile $1030 za asubuhi leo nimepiga $2080.

Sasa nina haja ya kubishana na mjinga mjinga asiyejua time zone from time travel?

Tena bora angekuwa hajui halafu anauliza kwa heshima ajulishwe, mbona wengi tumejifunza yote hayo? Yeye hajui halafu anatukana watu tunaoheshimiana na watu hapa matusi kuniita mimi tapeli? Mtu naaacha shughuli zangu kutia watu motisha hapa tusionekane wote tumefulia, leo aniite tapeli?

Ni hayo tu mkuu wangu.

Mtu kama huyu hawezi kunitoa mimi hapa.

Napiga hela halafu narudi kutoa feedback hapa.

Nilikuwa nasema tu siendelezi majibizano naye kwani nimekatazwa na watu ninaoheshimiana nao hapa.

Wanasema nikibishana na kichaa kuna watu wengine watashindwa kujua nani kati yangu mimi na huyo kichaa ni kichaa.

Unaweza kuambiwa mtu kamaliza Form Four hajui Time Zone ni nini!

Halafu anajishaua thread ya Forex.

FOH.

Sent from my Kimulimuli
 



Sawa mkuu nimekosoma....tatizo inawezekana inadhaniwa wote walio Jf wapo Nankurukuru....kumbe kuna akina US babe Nyani Ngabu wako nchi za watu huko.

Hv mkuu umeanza hii ishu ya forex/binnary baada ya mkuu Ontario kuleta huu uzi hapa jukwaani au ulikuwa unaijua tangia kitambo kidogo??

We ni physicist???...no wonder hii kitu umekomaa mwenyewe bila siminar wala mentor (kama ulivyosema).
 
Hebu tuweni serious kidogo... Mwl. RCT nchek kwa text unsaidie sana kupitia whatsapp, au lodrick au Mwana wa ngurumo, mi nahtaji msaada hafu hata cjui nahtaji msaada wapi... Ila hasa, graph analysis na kujua when to open position, and when to close... Naomben niwatext my number... Samahanini lakn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahhaa mimi pia nilikuwa nafikiria kwanini mkuu asilete angalau hizo screen shot za pesa alizopiga ili kumaliza malumbano au clear jina kwakuwa kazushiwa kuwa tapeli.very simple ,shut them mouth kwa kuprove them wrong with evidence

Mtu anayejua anachokifanya hana muda wa kutumia muda na nguvu zake kujibizana na mtu, passion na mission yake inabaki palepale

Kama una dreams na unaona kitu huna haja ya kuskiza mbu wapiga kelele mana ni wengi[emoji56][emoji56][emoji56][emoji91][emoji91][emoji91]
 
I won't text u my number, in pm, till you say so...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…