Sitasahu hili jambo limenifunza kuweka stop loss.Me mwenyewe nilijiuliza kwanini JPY ipande wakati yenyewe ndo ipo kwenye matatizo.. ila kidogo hapo umenifungua.
Aisee kikubwa ni kuhakikisha hurudii kosa kama ushalijua maana wengine tunagundua kosa katika situation flani lakini baadae unajikuta unarudia kosa lilelile mpaka mwenyewe unajishangaa umerudiaje kitu ambacho ulisema hutarudia!!Sitasahu hili jambo limenifunza kuweka stop loss.
Nimenyoosha mikono sifanyi tena sclaping.
Me mwenyewe nilijiuliza kwanini JPY ipande wakati yenyewe ndo ipo kwenye matatizo.. ila kidogo hapo umenifungua.
Scalping ni nzuri ila kwa mtazamo wangu inaweza kuwa risky!! why...Sitasahu hili jambo limenifunza kuweka stop loss.
Nimenyoosha mikono sifanyi tena sclaping.
RSI (Relative strength index) ni mojawapo ya oscillators zinamuwezesha trader kujua hali ya soko ipoje kwa wakati huo. Kama tunavyojua katika soko kuna wanunuzi na wauzaji, hivyo inakusaidia kujua kama bidhaa husika (kwa case yetu bidhaa ni currency pair) imenunuliwa sana ama imeuzwa sana. Ukiangalia katika RSI graph utaona kuna leevel mbili 30% na 70%. Hii maana yake kaama graph iiwa chini ya 30% maana yake pair hiyo imeuzwa sana (oversold state) hivyo uangalie possible buying opportunities, na viceversa ikiwa juu ya 70 maana yake ipo katika overbought state.
Relative strength Index ,
Inatumika kuangalia overbought and oversold.
Ukicombine na strategies nyingine.Anhaaa.... Sasa nimejua... Manake, roughly, RSI ikiwa 70% ni muda mzuri wa kusell, na ikishuka mpka kugusa au kupitiliza 30% ndo kujipanga kubuy? Si ndio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha pole mkuu, kuna fanta ya baridi hapaSitasahu hili jambo limenifunza kuweka stop loss.
Nimenyoosha mikono sifanyi tena sclaping.
We watumia broker gani? Mi nko na demo ya instaforex, natumia mobile app yao na MT4, lakn bado nataman kupata broker mzur zaidi... Zaman ckupenda MT4 mana nliona ngumu hasaSitasahu hili jambo limenifunza kuweka stop loss.
Nimenyoosha mikono sifanyi tena sclaping.
ila kama ulivyoelezwa hapo juu,usiingie tu kwenye sell position kisa soko lipo overbought bila kuhusisha analysis zingine.kifupi,RSI itumie tu kama confirmation baada ya kufanya analysis zingine.Anhaaa.... Sasa nimejua... Manake, roughly, RSI ikiwa 70% ni muda mzuri wa kusell, na ikishuka mpka kugusa au kupitiliza 30% ndo kujipanga kubuy? Si ndio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuja mkuu.Hahaha pole mkuu, kuna fanta ya baridi hapa
sio kwamba candlestick ndio zilipaswa zikupe confirmation n nn kinafuata??ila kama ulivyoelezwa hapo juu,usiingie tu kwenye sell position kisa soko lipo overbought bila kuhusisha analysis zingine.kifupi,RSI itumie tu kama confirmation baada ya kufanya analysis zingine.
Tumia broker anaotumia JeffWe watumia broker gani? Mi nko na demo ya instaforex, natumia mobile app yao na MT4, lakn bado nataman kupata broker mzur zaidi... Zaman ckupenda MT4 mana nliona ngumu hasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipende ku trade kwa kutumia indicators peke yake!Ukicombine na strategies nyingine.
RSI alone is not the best way.
Kwa mfano ijumaa EurUsd ilihit 70 na ikaaminisha itatokea downtrend lakini kutokana na news EurUsd mpaka leo inauptrend na inapaa mpaka RSI 80's.
hii inategemea na strategy yako ila ni added advantage kama ukiwa na more than one confirmation factors..kuna indicators kibao ila kwa vile sio rahisi kuzisoma na kuzielewa zote,unachofanya ni kuchagua unazozielewa wewe..cha msingi uweze kuzitumia.wanapoiita forex forest ni kwa sababu kuna mambo mengi sana sana ya kujifunza kwenye forex ila kwa kuanzia ni vyema uwe na strategy yako kisha ukaifanyia kazi to be perfect on it.sio kwamba candlestick ndio zilipaswa zikupe confirmation n nn kinafuata??
Anyway, Sema jambo lenyewe halina formula maalumu, ila RSI mwanzon ilinipa tabu sana kuamua nn cha kufanya... yenyewe kama yenyewe haitoshi
[emoji106] [emoji106] [emoji106]hii inategemea na strategy yako ila ni added advantage kama ukiwa na more than one confirmation factors..kuna indicators kibao ila kwa vile sio rahisi kuzisoma na kuzielewa zote,unachofanya ni kuchagua unazozielewa wewe..cha msingi uweze kuzitumia.wanapoiita forex forest ni kwa sababu kuna mambo mengi sana sana ya kujifunza kwenye forex ila kwa kuanzia ni vyema uwe na strategy yako kisha ukaifanyia kazi to be perfect on it.
ila ni vizuri ukamaster candlestick patterns ukajua formation gani inamaanisha nini na hivyo utegemee nini..a strategy is a combination of various factors, to come up with a complete formulae,ukizingatia hivyo vipengee mbalimbali kisha ukaziunga pamoja utakuwa always a step ahead,kuliko mtu anayetegemea one or two factors[emoji106] [emoji106] [emoji106]
indicators sio dili..price action ndio mpango mzima.kwanza zinavyo lag huwa zinachelewesha sana na wakati mwingine kuvuruga entry point yako.Usipende ku trade kwa kutumia indicators peke yake!
Na kama gold ikipanda maana yake USD itashuka,Fundamental: Gold is epected moving higher amid N.Korea crisis.
Technical trader is betting on more gains for gold – here’s why (and how)
Stocks Drop, Gold Leads Haven Rally on Korea Fears: Markets Wrap
Gold Closes at Highest Level Since September 2016
ila kama ulivyoelezwa hapo juu,usiingie tu kwenye sell position kisa soko lipo overbought bila kuhusisha analysis zingine.kifupi,RSI itumie tu kama confirmation baada ya kufanya analysis zingine.
Ukicombine na strategies nyingine.
RSI alone is not the best way.
Kwa mfano ijumaa EurUsd ilihit 70 na ikaaminisha itatokea downtrend lakini kutokana na news EurUsd mpaka leo inauptrend na inapaa mpaka RSI 80's.
Cha kwanza hapa, resource kubwa ya kuweka hapa ni time, niweze kuistudy kwa ufasaha!Uzi umeuona leo kwa mara ya kwanza???
Mkuu, pitia taratibu mdogo mdogo, kuna mambo mengi mno yamejadiliwa ikiwa n pamoja na vitabu unavyopaswa kusoma
Ila tu kwa kifupi, Training bado haijaanza na utaratibu bado haujatolewa.. Uzinduzi utafanyika tar 1/9/2017...