the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,372
hahaa..yani kando na kupiga mkwanja,hii kitu ni very interesting.Na kama gold ikipanda maana yake USD itashuka,
Kilichotokea jana baada ya japan kutishiwa yen ilipanda na dola ikashuka which means thamani ya gold ilipaa baada ya watu kui-dump dolla na kununua gold na yen ili wasipoteze thaman za investment zao!! hapa ndio utajua kwanini USA wanakomaa kumlinda mjapani!
Mazee,Mimi binafsi naamini uko vzuri, na ni kweli kwamb nlitamani kama ungekuwa personal mentor wangu.
Lakini kwa kauli hz za vijembe kwa WAZAZI na serikali, sitaki kuamini kuwa una uwezo wa kumuelimisha mtu akaelewa.
Danpol aliulizwa kuhusu ishu hz akasema yameisha, lakn wewe unarudi na kauli zilezile....
Just imagine kama tabia yako angekuwa nayo ontario, kila akirudi kwa uzi wake kutupa maneno ya kejeli na matusi tunaouliza maswali ya kijinga kama RSI...
unadhani ni wangapi wangevumilia? Unadhani wangapi wangebaki? Binafsi, ningeacha...
Wewe unaweza, muelimishe asiyeweza ili kesho asikuulize tena bro!
Kwanini mahali ambapo wengine twadhani tutapata mafanikio nyie mwatumia mianya hyo kututukania wazazi wetu? Huu ndo ustaarabu kweli?
Al watan, kama wewe tayari unaweza mambo haya, tuache wajinga wajinga tujikongoje wenyewe...
Ni bora niwe na kampani ya wajinga wanaoniheshimu, kuliko genious anayenidharau na kunitusi.
Sio poa, bro! Unatukatisha tamaa...
Kama Ontario angekuwa wewe, haki wengi tungekuwa tuko tu gizani...
Ukitaka kuntusi, ni sawa kwa upande wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi binafsi naamini uko vzuri, na ni kweli kwamb nlitamani kama ungekuwa personal mentor wangu.

Kama yameisha kwanini uje na kauli za "wasiojua time zone" na "time travel?"Mazee,
Mambo ya jana yameisha.Watu tunapiga pesa.
Unanitaka tena nianze kufumua post yako sentensi kwa sentensi?
Nawez.
Nikikaa kimya usifikiri siwezi kusema.
Unanitaka nianze kufumua post yako hii sentensi kwa sentensi?
Mimi si Ontario wala Quebec. Na usinitake niwe kama mtu mwingine, ushanielewa?
Mazee,

Ukali wa maneno mbona hata sijaanza, hapa nabembeleza watoto tu.Al-Watan ni mtoto wa kariakoo jamani mwacheni tu alivyo...sisi ambao tumekaa kidogo na watoto wa kariakoo wala hawatusumbui.
Hawaishiwi maneno hao cha muhimu ukianza nao ubishi ukiona mnakoelekea siko we nyamaza tu au muombe msamaha yaishe ila ukiamua kukomaa nao atakuhaibisha.....ndivyo walivyo watoto wa kariakoo
Zaidi ya yote hawapendi kushindwa yaani anaweza ata bishana na mtaa mzima na akatoka mshindi....na huwa hawachaguagi maneno ya kusema nawafahamu vzuri watoto wa kariakoo...we huoni hata kiswahili chake.
Mkuu Al-Watan naomba usiniamshie dude mkuu nilikuwa tu namwelewesha mkuu hapo kuhusu watoto wa kariakoo..
Ila mkuu punguza kidogo ukali wa maneno mkuu wangu....si unajua tena wengine tunaweza chukulia poa maana tunawafahamu watoto wa kariakoo ila wengine ndo hvyo tena....kama mkuu hapa kashamind mbaya..
Kwa sababu wewe umeyarudisha tena.Kama yameisha kwanini uje na kauli za "wasiojua time zone" na "time travel?"
Fanya utakavyo, bro.
It's all okay with me.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu wewe umeyarudisha tena.
Unataka nini?
Hebu niambie, unachotaka nini hasa?
Kinachokuwasha saaaana kipi? Sema ukunwe.
Yaishe wakati wewe ndiwe unayaamsha? Swali gani?Chonde chonde mkuu yaishe...yaishe mkuu....halafu mkuu mbona hukujibu swali langu???
Yaishe wakati wewe ndiwe unayaamsha? Swali gani?
Meanwhile AUD nayo inapanda kwa sababu Australia ndo largest gold producer in the worldNa kama gold ikipanda maana yake USD itashuka,
Kilichotokea jana baada ya japan kutishiwa yen ilipanda na dola ikashuka which means thamani ya gold ilipaa baada ya watu kui-dump dolla na kununua gold na yen ili wasipoteze thaman za investment zao!! hapa ndio utajua kwanini USA wanakomaa kumlinda mjapani!
Naam, USD inashuka, gold inapanda.
Mimi nimefanya trading off and on (mainly stocks ) tangu niko college, kuanzia penny stocks 2005 mpaka wakati wa financial crisis 2007 wakati nafanya kazi Wall St. na traders. Bitcoin imeanza naiona, nikasema hii Bitcoin watu wanapoteza hela zao tu, itakuja ku fizzle out. I was so wrong on that.Hilo hapo
Hv mkuu umeanza hii ishu ya forex/binnary baada ya mkuu Ontario kuleta huu uzi hapa jukwaani au ulikuwa unaijua tangia kitambo kidogo??
We ni physicist???...no wonder hii kitu umekomaa mwenyewe bila seminar wala mentor (kama ulivyosema)
Nataka kujua hii kitu niifanye hafu cjajua kwanini inanipa shida....Unataka nini?
Hebu niambie, unachotaka nini hasa?
Kinachokuwasha saaaana kipi? Sema ukunwe.
Mimi tena nitoe class? Mimi tapeli nisiyejua lolote ninayetapatapa hapa?Nataka kujua hii kitu niifanye hafu cjajua kwanini inanipa shida....
Chaniwasha kichwa, kwa materials yanayoingia hafu brain inashindwa kuyachanganua...
Wansaidiaje? A class, please? Me and you? Please?
Sent using Jamii Forums mobile app
Loh, bro ce mimi nlokuita tapeli, mi hata utake kuntapeli poa tu, watu wasichojua ni kwamba tapeli wa mtandaoni akiweza kukutapeli basi hata uliyetapeliwa hujajielewa.Mimi tena nitoe class? Mimi tapeli nisiyejua lolote ninayetapatapa hapa?
Unatafuta kupoteza fedha zako labda.
Mimi mwenyewe najifunza bado mkuu, level ya kutoa class sijafika bado.
toa darasa mkuu wengine tunakukubali kimya kimyaMimi tena nitoe class? Mimi tapeli nisiyejua lolote ninayetapatapa hapa?
Unatafuta kupoteza fedha zako labda.
Mimi mwenyewe najifunza bado mkuu, level ya kutoa class sijafika bado.
Mimi nimefanya trading off and on (mainly stocks ) tangu niko college, kuanzia penny stocks 2005 mpaka wakati wa financial crisis 2007 wakati nafanya kazi Wall St. na traders. Bitcoin imeanza naiona, nikasema hii Bitcoin watu wanapoteza hela zao tu, itakuja ku fizzle out. I was so wrong on that.
I was at the mint, and I left money on the table!
Ona hii story ya huyu jamaa Man buys $27 of bitcoin, forgets about them, finds they're now worth $886k
Nilikuwa na USD $3,000 siku moja wakati Bitcoin inaanza anza, nikawa na option ya kununua Bitcoin au kuwekeza kwenye ETFs, nikawekeza katika ETFs zikaenda ku fizzle out.
Ningetumia $50 tu kununua Bitcoin ningekuwa milionea mara nyingi sana wa USD sasa hivi.
But on the bright side, nimenunua nyumba mbili US, moja nakaa moja nimepangisha, so I am not starving.
You win some, you lose some.You look for the next best deal.