Hujaelewa. Broker hakati commission mimi ninapopata hasara. Ila commission anaikata pale tu ninapotrade. Haijalishi nimepata faida au hasara.Ndio maana nikasema broker hata penda kila siku utengeneze faida kwani kwake itakuwa hasara.Kama unavyoona hapo umelose yy kapata faida so kinyume chake ukipata faida kwake ni hasara.
Sent using Iphone 7+
[emoji28] [emoji28] Hebu rudi kalale, umechoka sana mkuu, pumzisha akiliNdio maana nikasema broker hata penda kila siku utengeneze faida kwani kwake itakuwa hasara.Kama unavyoona hapo umelose yy kapata faida so kinyume chake ukipata faida kwake ni hasara.
Sent using Iphone 7+
hahah mkuu usimcheke hata wewe ulikuwa hivyo[emoji28] [emoji28] Hebu rudi kalale, umechoka sana mkuu, pumzisha akili
Kuna vitu watu hawapendi kuvisikia ila ndivyo vilivyo hasa pale unapoamini katika jambo fulani.swali ni moja tu je baadhi ya broker wana cheat wateja wao?Kama ni kweli why wana cheat jiulize hapo tu usipopata jibu basi uliza humu tuambizane why wanacheat.Katika biashara sio siku zote utafata njia halali ukikwepa kidogo ukaona kuna faida utaacha kukwepa tena ili utengeneze faida nzuri.hahah mkuu usimcheke hata wewe ulikuwa hivyo
unajua maana ya broker? ....kazi yake kubwa ni kukutengenezea wewe platform ya kufanya biashara au kwa lugha nyingine kukuunganisha kwenye biashara kwa malipo ya commision(hii ndio faida yake) ...we upate faida au hasara hiyo haimuhusu..!Sio kweli wanajua mengi ila kama ww unajua zaidi kuhusu Broker unaweza kutuelezea hapa mkuu.Tatizo sio forex au mm au ww ambao ni retail trader walidai changamoto ipo kwa Broker utayemtumia na siku zote tumezungumza forex hapa lakini hatujawahi zungumzia kwa undani majukumu ya Broker.Hatujawahi jiuliza broker yy anapaje faida? na mnalipana vip kwenye biashara hii.
Sent using Iphone 7+
Huu ushauri wao nna mashaka nao, wanasema ukiwa na 500usd ukiikuza unapata hasara alafu muda huo huo wanasema ni bora uwe na 5000usd, je ukiwa na 5000usd ukiikuza ndio hawatapata hasara?Tumekuwa muda wote tukizungumzia forex lakini baada ya kusoma vitabu kadhaa nikaona sio vibaya nikajiunga na club mbalimbali kwa watu waliotutangulia kufanya hiii kitu.Niliuliza swali je ni kweli unaweza anza na mtaji wa 500$ na kufikisha 5 figures or 6figures.Majibu ya wengi ilikuwa ni Yes and No.Nitaelezea kwa nn No.Walichonambia tatizo ni Broker wengi wana trade ila Broker sio wote waaminifu wana cheat why wana cheat ni kwa sababu account yako inapogrow kwao inasoma hasara sasa je ni nan anayependa hasara?Walinishauri kama unataka forex ikulipe weka mtaji angalau wa 5000$.Vinginevyo utahitaji kutumia nguvu nyingi kukuza mtaji wako kumbuka broker wako hatapenda kila siku aingie hasara.Wadau tusaidiane kumbe broker sio wote waaminifu.
Sent using Iphone 7+
I think anamaanisha kuna brokers ambao, sometimes, kupata kwako faida ni loss kwao!! mfano brokers ambao ni market markers mara flani flani huwa wana influence market prices (hii ni kwa mujibu wa maandiko mbali mbali including some books)!"Account yako inapo grow kwao inasoma hasara"
Kivipi mkuu? hebu fafanua kidogo hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni jamani nielekezwe njisi yakufungua Demo account nikufungua kwa baadhi ya brokers wanasema not registered in Tanzania , naombeni nielekezwe hata hata za mwanzo za kufungua Demo Account nianze kujifunza pole pole mnanitamanisha kichizi najaribu kufungua ila issue zinagoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio broker waote wako kama unavyosema!! Jua kuna market marker, ECN na STP brokers na wote wana sifa zao tofauti kabisa na ulichoandika!!Ndio maana nikasema broker hata penda kila siku utengeneze faida kwani kwake itakuwa hasara.Kama unavyoona hapo umelose yy kapata faida so kinyume chake ukipata faida kwake ni hasara.
Sent using Iphone 7+
Jama mbona tunarudishana nyuma tena swala la broker tumeshalizungumzia sana hapa kwenye uzi na ukiona mtu anauliza maswali yakizembe kama haya ujue hata kitabu kimoja hajamaliza kusoma.Sio broker waote wako kama unavyosema!! Jua kuna market marker, ECN na STP brokers na wote wana sifa zao tofauti kabisa na ulichoandika!!
Kuna wengine ukipata faida wao ndio furaha yao!!
Kuna vitu watu hawapendi kuvisikia ila ndivyo vilivyo hasa pale unapoamini katika jambo fulani.swali ni moja tu je baadhi ya broker wana cheat wateja wao?Kama ni kweli why wana cheat jiulize hapo tu usipopata jibu basi uliza humu tuambizane why wanacheat.Katika biashara sio siku zote utafata njia halali ukikwepa kidogo ukaona kuna faida utaacha kukwepa tena ili utengeneze faida nzuri.
Sent using Iphone 7+
Mkuu wangu, ndio maana uzi mpaka leo upo, na ndio maana kuna watu wapya wanajiunga JF na watu wapya wanauona huu uzi!! sio watu wote wanaouona huu uzi walianza nao toka mwezi May!!Jama mbona tunarudishana nyuma tena swala la broker tumeshalizungumzia sana hapa kwenye uzi na ukiona mtu anauliza maswali yakizembe kama haya ujue hata kitabu kimoja hajamaliza kusoma.
Kama umeuona leo uzi kwanini usiuweke chini uzembe ukaanza kupitia page moja baada ya nyingne?Mkuu wangu, ndio maana uzi mpaka leo upo, na ndio maana kuna watu wapya wanajiunga JF na watu wapya wanauona huu uzi!! sio watu wote wanaouona huu uzi walianza nao toka mwezi May!!
Just be kind to them and show them what to do!
Hujaewaelewa hapo wanashauri hivyo kwasababu ukitumia capital kubwa ni rahisi kwako ku manage risk na emotions tofauti na capital ndogoHuu ushauri wao nna mashaka nao, wanasema ukiwa na 500usd ukiikuza unapata hasara alafu muda huo huo wanasema ni bora uwe na 5000usd, je ukiwa na 5000usd ukiikuza ndio hawatapata hasara?
ANyways, ni mawazo yao!! nadhan ni vyema ukachagu broka ambaye yuko regulated....atleast!
They can manipulate the market, hilo sawa, lakn sio kwa mtindo ulio andika weweKuna vitu watu hawapendi kuvisikia ila ndivyo vilivyo hasa pale unapoamini katika jambo fulani.swali ni moja tu je baadhi ya broker wana cheat wateja wao?Kama ni kweli why wana cheat jiulize hapo tu usipopata jibu basi uliza humu tuambizane why wanacheat.Katika biashara sio siku zote utafata njia halali ukikwepa kidogo ukaona kuna faida utaacha kukwepa tena ili utengeneze faida nzuri.
Sent using Iphone 7+
Bro, kama pamoja na screeshot hzo, na maelezo ya kina hvyo bado hujaelewa,nadhani forex haikufai.Kuna vitu watu hawapendi kuvisikia ila ndivyo vilivyo hasa pale unapoamini katika jambo fulani.swali ni moja tu je baadhi ya broker wana cheat wateja wao?Kama ni kweli why wana cheat jiulize hapo tu usipopata jibu basi uliza humu tuambizane why wanacheat.Katika biashara sio siku zote utafata njia halali ukikwepa kidogo ukaona kuna faida utaacha kukwepa tena ili utengeneze faida nzuri.
Sent using Iphone 7+
Heheh so conclusion, kila tafsiri inayofaa kuvikwa basi ivikweHujaewaelewa hapo wanashauri hivyo kwasababu ukitumia capital kubwa ni rahisi kwako ku manage risk na emotions tofauti na capital ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
How can u manage risk ukiwa na capital kubwa? Mana nahc ukiluz una luz amount kubwa zaidi, au?Hujaewaelewa hapo wanashauri hivyo kwasababu ukitumia capital kubwa ni rahisi kwako ku manage risk na emotions tofauti na capital ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheh so conclusion, kila tafsiri inayofaa kuvikwa basi ivikwe